Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Sticky
Hongera sana mama kwa kuapishwa kuwa Rais wa Sita wa Tanzania. Sasa baada ya Tanzania kupata uzoefu wa kutosha kutokana na awamu zake za uongozi, na tukaona mazuri na mapungufu yake, na wewe pia...
69 Reactions
6K Replies
422K Views
  • Sticky
Ndugu wana JamiiForums, Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo...
58 Reactions
1K Replies
469K Views
  • Closed
  • Sticky
Hapana shaka kuwa kutakuwa na maoni na mawazo anuai juu ya masuala mbalimbali yanayojadiliwa katika Jukwaa hili. Washiriki hawatarajiwi kukubaliana na kila jambo linalojadiliwa! Kwa msingi huo...
294 Reactions
0 Replies
1M Views
  • Closed
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema,"Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini...
185 Reactions
10K Replies
875K Views
Binafsi nimefurahishwa na kasi ya Rais Dkt. Magufuli. Naamini wapo pia wengi wanaoungana nami katika furaha hii. Rais Magufuli ameanza kwa kasi ambayo kama ataimaintain, Tanzania haimalizi miaka...
115 Reactions
10K Replies
819K Views
  • Closed
Hii thread iwe Maalum kwa Maoni, Ushauri na Mapendekezo mbalimbali kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli. Mimi namuomba, Mheshimiwa Rais mteuliwa, kwa heshima na...
26 Reactions
7K Replies
916K Views
Wakuu habari, Tunawaletea kinachojiri kwenye Vikao vya CCM vinavyoendelea Dodoma. Fuatana nasi... Karibuni sana. ================== Updates: 1. Sasa mchakato unaanza rasmi, Wajumbe kamati...
82 Reactions
6K Replies
806K Views
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa...
137 Reactions
6K Replies
320K Views
Bado uchambuzi wa safari ya Kisiasa ya Dr. Willibrod Slaa unaendelea... Tumepelekwa moja kwa moja kutoka Hoteli ya Serena, JamiiForums imenituma kama mwakilishi wake. Mtangulizi wa shuguli...
55 Reactions
6K Replies
504K Views
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake This is a special thread and a tribute to the late J.P.M. Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama...
76 Reactions
6K Replies
93K Views
Kwa wale wapenzi, washabiki, wanachama na wananchi kwa ujumla wanaopenda kufahamu kinachoendelea katika mkutano wa ufunguzi wa Kampeni za CCM katika viwanja vya Jangwani watapata update hapa...
18 Reactions
5K Replies
452K Views
Haya kumeshakucha tena La mgambo likilia ujue kuna jambo. Kwa mujibu wa ratiba ya CCM, leo na kesho ni siku ya Mikutano Mikuu ya CCM ya Majimbo/Wilaya kupiga kura za maoni za wagombea wa ubunge...
97 Reactions
5K Replies
611K Views
Nimevumilia vya kutosha nikidhani kama kuna mtu anayekerwa na fumbuzi wa matatizo ya muungano yaliyotolea kwenye kikao cha pamoja kati ya Mh. Lowassa na Mh. Nahodha. Kitu kinachonitisha ni...
19 Reactions
5K Replies
525K Views
Habari wakuu, Leo tunamaliza ngwe yetu ya mwisho bungeni, baada ya wasilisho la ripoti ya PAC, majibu ya serikali na mjadala wa wabunge wa jana, moja kwa moja kutoka Dodoma tuwe pamoja kuimaliza...
42 Reactions
5K Replies
398K Views
Taarifa nilizozipata haraka sasa hivi ni kuwa watu wengi sana wanahisiwa kufa maji baada ya kivuko kubinuka juu chini, chini juu katika kisiwa cha UKARA wilayani Ukerewe. Wakazi wa Ukerewe...
55 Reactions
5K Replies
532K Views
Mada Maalum itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mama Samiah Suluhu. Agosti 25...
11 Reactions
4K Replies
268K Views
Habari wakuu, Kama tunavyofahamu leo tarehe 14 Desemba 2014 ni siku ya upigaji kura kwa ajili ya kuwapata viongozi wetu kwa ngazi ya serikali za mitaa Tanzania Bara, Muda si mrefu tutaingia...
116 Reactions
4K Replies
864K Views
  • Redirect
Picha: Hayati Rais Magufuli enzi uhai wake This is a special thread and a tribute to the late J.P.M. Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama...
51 Reactions
Replies
Views
Habari za muda mabibi na mabwana! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni...
34 Reactions
4K Replies
317K Views
Wakuu, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi. Kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma...
78 Reactions
4K Replies
470K Views
Mchungaji Dr.Josephat Gwajima, leo kanisani kwake mbele ya umati wa waumini akiwaita wanafamilia wake, ametoa maelezo yakinifu juu ya tuhuma zinazomkabili ndg. Paul Makonda na katika clip...
143 Reactions
3K Replies
422K Views
Angalia hapa kupitia Facebook Angalia hapa kupitia youtube Soma ripoti ya kwanza ya mchanga wa madini => IKULU: Rais Magufuli apokea ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini. Amtaka Waziri...
55 Reactions
3K Replies
238K Views
Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa...
68 Reactions
3K Replies
237K Views
Back
Top Bottom