Nimekuwa nikishuhudia baadhi ya ndugu zetu wa nchi jirani wakitumia mofimu "kwa" katika namna ambayo siyo sahihi kwa mjibu wa Kiswahili sanifu na fasaha. Ninaelewa kuwa kuna utofauti wa kilahaja...
Utata (Ambiguity) ni hali ya neno au sentensi kuwa na maana zaidi ya moja. Mfano; Kima, kombe, meza, zama, barabara, kanda na katika sentensi "kaka zangu wote wana wake".
SABABU ZA UTATA
(i) Neno...
Tafsiri sisisi [ Literal translation]
Hii ni aina ya tafsiri ambayo maneno hufasiriwa yakiwa pweke pweke kwa kuzingatia maana za msingi katika lugha chanzi bila kujali sana muktadha (Mwansoko na...
Nikiwa mtoto nilikua nikisema shikamoo kwa upesi sana lakini kadri navyozidi komaa kiakili napata ugumu wakulisema pale napokutana na watu walionizidi umri. "Shikamoo" ni neno la kiswahili sanifu...
Habarini wadau,
Mimi ni mdau nilie kwenye utaratibu wa kurejeshwa kazini.
Nina barua yenye check namba..... inanitaka niombe kazi nionapo tangazo limetangazwa ili niweze kurejeshwa upya kwenye...
Kiswahili ni lugha ambayo imetokana na Kiarabu na Kibantu na maneno mengine machache yaliongezeka kidogo kidogo kutoka lugha zingine za Afrika, Uropa na Asia.
Kabla ya kuja wakoloni wa ki Uropa...
Kumekuwa na kasumba ya watendaji wakuu wa serikali kutoa maelekezona majibu kwa kutumia lugha ya kiingereza na kiswahli, Hali hii imepelekea wananchi wengi kubaki wasikilzaji wa sauti pasipo...
Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Alama, inayojulikana pia kama International Day of Sign Languages, husherehekewa kila mwaka tarehe 23 Septemba. Siku hii ilianzishwa na Umoja wa Mataifa ili kuongeza...
Baada ya Maghribi, Mitaa ya Kariakoo
Nipo jijini Dar es Salama, vitongoji vya mitaa ya Kariakoo, unyounyo na rafiki yangu, tukitembea sako kwa bako, hamadi kibindoni tukajikuta tupo mtaa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.