Hello Jf,
Everyone has got something thrilling in life, to me is learning new language.
Recently I have becoming desperately of learning English language but unfortunately my settings are not...
Amani iwe juu yenu..
Naomba kufahamu hili neno "eti" huwa linamaansha nn zaid ktk sentensi kama linavyotumka na baadhi ya wanawake, hususani mkiwa mnachati...
Mfano:-
- Nimekumic eti
-Sijala eti...
MASHAIRI YA SHAGALABAGALA
NCHI YA AZMA
*******
Nchi ya AZMA wasomi wake wanauza elimu kwa teuzi na mishahara, sina shaka na uelekeo unapoenda, Shaka ninalo namna utakavyofika unakoenda.
Nguvu...
Hivi ilikuwaje kwenye lugha ya kiswahili mpaka mke wa kaka akaitwa "shemeji" kwa ndugu wote wa mume yaani wakiume, na wa kike wanamwita "wifi". Ila mume wa dada akaitwa "shemeji" na jinsia zote...
Ndugu zangu kuna Msukuma anakijua vizuri zaidi basi please:
Umo wing'we anambeleje kutafsiri Lugano lwenulu na mambo gose du.
Tusaidiane tafadhali wasukuma. Nitumie tafsiri yake kupitia...
My dear Tanzanian compatriots, my fellow JF companions, it is with great eloquence and fervor that I implore you to eschew your linguistic provincialism and embrace the vast expanse of the English...
It is with great erudition and lexical dexterity that I make the assertion that Diamond Platinumz, the prodigious Tanzanian musician, should consider transitioning to singing in English. While it...
Imeibuka kasumba kwa wanaume nao kuiga misemo ambayo kusema kweli inatia ukakasi haiwezekan mwanaume na wewe unatumia neno tyuuu aisee tuangalie baadhi ya maneno sio kila kitu tunaiga binafsi...
Ninasikitika sana na ongezeko la watu wa jinsi ya kiume wanavyoandika na kutumia maneno kama tyu!
Yako maneno mengi yenye kero kubwa mfano "xaxa" akimaanisha "sasa".
Hata hivyo kati ya maneno...
Habari zenu wakuu?
Kuna hili swali Huwa najiulizaga muda mrefu sipatii jibu pengine hapa naweza pata ufahamu!
Nilipenda kujua muwa ni nini he ni tunda, kinywaji, mboga, nyasi au nini?
Asanteni
Wajuvi wa lugha mnisaidie,kwakuzingatia mzizi wa neno,kitenzi na matamshi upi ni usahihi wa maneno au sentensi hizi:
Onyesha-onesha
Kaka wake-kakaake
Hajala-hajakula
Hajaja-hajakuja
NB...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.