Nipo ndani ya jukwaa la lugha na pia napenda kutumia fursa hii kuwashukuru members wote wa jamii forums.
Lengo langu nikutaka kukuletea fursa mbalmbali za kujifunza lugha wakati unapokua KWENYE...
Mzuka wana JF!
Ni matumaini yangu wote wazima wa afya na mwenyezi Mungu anaendelea kutujalia uzima, amani, nguvu, afya na faraja wakati huu mgumu wa kumpoteza ndugu yetu Bernard Kamilius Membe...
Watanzania mmenishinda!
Msemo wa mitano tena umeshika kasi.
Kila kikitokea kitu hasi mtu anaposti......mitano tena!
Saa hapa ni kukata tamaa au kebehi za wazi?
Kwa kweli Watanzania ni watu wa...
Wakazi wa makkah ambao ni maquraish walikuwa na mashaka juu ya Utume wa Muhammad rehma na amani ziwe juu yake, hivyo walitaka kujiridhisha je huyu kweli ni Mtume wa Mungu au laa!
Basi kwakuwa...
1. Nchonyo-sehemu ya haja kubwa
2. Mwandu-uke
3. Kifuku-masika
4. Kureresa-hali ya pombe kutokuwa kali kuwa tamutamu
5. Kukaruka-pombe kuChacha yaani kuwa kali iliyochangamka
6...
Mbwa wa jirani
Mbwa wa jirani
Mtaji ni wangu
Hajui niliupate
Amenikuta nanunua na kuuza
Hajawai nipa hata mia
Mbwa wa jirani wanibwekeaje mimi
Mbwa wa jirani
Hacha fokea mimi
Mbwa wa jirani...
Habari Wakuu,
Katika Jukwaa letu la Lugha nimeweka huu uzi tusaidiane kwenye kujulishana maneno ya Kiingera ya kutumia ili walau mtu unapoandika Kiingereza usionekana kama upo kawaida sawa...
Hamjambo wanaJF,
Hili neno chawa au Machawa Huwa najiuliza maswali mengi bila majibu!Nikiwa Mtanzania Mwenye afya ya akili timamu huwa najiuliza sana, mtu anawezaje kujiita au kuitwa Chawa!Nikiwa...
Habari zenu.
Jina langu ni James Munn na mimi ni mwandishi wa kozi mpya ya msingi ya Kiingereza kwa wazungumzaji wa Kiswahili, inayoitwa Kiingereza - Hatua kwa Hatua. Ninaamini kuwa katika miaka...
Mwenzenu ninajongea, taratibu nawajia
Kwa haya yalotokea, ya kisima nawaambia
Hofu menisogelea, na nguvu zimeishia
kisima nimekiacha, maji hayanyweki tena
Kisima nilitumia, na mtu...
Anatafutwa mwalimu mahiri wa lugha ya Kikinga.
SIFA:
1. Ajue kuongea, kusoma na kuandika kikinga na KISWAHILI
2. Awe tayari kufanya kazi popote kwa muda wa miezi sita.
3. Umri kuanzia miaka...
Habari wadau, wapi ninaweza kupata vitabu alivyoandika mwandishi nguli wa hadithi Agoro Anduru.
Baadhi ya kazi zake nnazotafuta;
1. A Bed of Roses and Other Writings
2. Loyalty to My Friend
3...
Dear all
I hope this list will be of use to teachers and students of English. Further details of the script used to illustrate pronunciation will be provided in a future post.
Have a nice...
Chapa ya Mnyama
Mrefu tena mpole,rangiye ya kupendeza
Rangi kama ya vipele,manyoa ya kuteleza
Wale wazee wa kale,wao walipendekeza
Chapa ya huyo mnyama,yafaa wakilogewa.
Mwenye mwendo wa...
Habari ndugu wana JF,
Naomba kufahamu kichomi kwa kiingereza kinaitwaje?? Kuna mtu anajisikia kuumwa kichomi, maeneo ya chini ya kitovu..
Shukrani sana..
Pelekea na Sababisha
Pelekea ni mnyambuliko wa neno peleka ambalo maana yake ni kumchukua mtu au kitu na kukifikisha mahali panapotakiwa. Kwa kuzigatia maana ya peleka na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.