Nianze na misemo ya kisukuma na maana zake
1. Chujaga mhela utizaguchuja nhola
Bora umkose nyati atakuhurumia kuliko kukosea kuoa.
2. Kushema Chonja kubundala
Huu ni sawa ule msemo mtaka cha...
Yaani Nawaza Kisichowezekana
Nimejiuliza sana, nikajiuliza tena na tena, hivi kwa nini Watoa Huduma wote wanatakiwa wawe na vyeti vya kufuzu masomo yao, na kama haitoshi, pale wanapotaka...
Wadau, siku hizi moyo wa kusoma vitabu vya aina zote-vya Taaluma na Riwaya umepungua sana na imepelekea Watunzi wa Riwaya kutoandika tena vitabu. Leo nawakumbuka baadhi ya Waandishi/ Watunzi wa...
Salaam, Shalom!!
Tukiwa msibani , kumeibuka ubishi hapa, Kuna watu wamegoma kabisa kulitumia Jina "MWENDAZAKE", kama lilivyotumika msiba wa Magu, Jina linalotumika kumtambulisha Mzee wetu...
Usaini mkataba, upewe mengi manoti,
Tupe mgodi wa shaba, wenye ya kudumu hati,
Masharti yote saba, yapite kimkakati,
Saini hu mkataba, upewe mengi manoti.
Utalindwa kisiasa, mkataba kisaini...
Yamebainika mengi sana leo, kwenye kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Tanzania awamu ya 5.
Tusirudie yaliyosemwa, bali ninataka kujua asili ya Neno Amirati na labda na aliyelipendekeza kwamba ndio...
Amir, meaning "prince," "commander," and "leader," is a male name of Arabic origin. For followers of Islam, Amir is a significant name that enjoys evergreen popularity across the globe. It
Huu ni uzi maalum kwa ajili ya kurekebisha makosa ya uandishi wa maneno na sarufi katika lugha za Kiswahili na Kiingereza.
Nitaanza na maneno ya kiingereza chart na chat.
Mara nyingi watu...
Lugha ya Ishara ni lugha ya kuona ambayo hutumia mikono, mwili na mienendo ya uso kusiliana. Kuna zaidi ya lugha ya ishara 135 ulimwenguni kote, na karibu asilimia 20 ya idadi ya watu duniani wana...
1. Naanza ona mikasa, yawezaleta balaa,
Viongozi wengi tasa, kwa hoja zisizo zaa,
Hasa kwa Wana siasa, wao ni kama tabia,
Wajifanya ni matasa, wafanyacho wakijua.
2. Ni kutafuta majanga, kuvunja...
Habari za wakati huu wadau!
Natambua uwepo wa watu wenye asili ya kabila maarufu pale mkoani mbeya yaani Wanyakyusa.
Kutokana na mihangaiko ya maisha wengi wetu tumejikuta tumekosa fursa ya...
1. Mgeni siku ya kwanza,
mpe mchele na panza,
mtilie kifuuni,
mkaribishe mgeni.
2. Mgeni siku ya pili,
Mpe maziwa na samli,
Mahaba yakizidia,
Mzidishie mgeni.
3. Mgeni siku ya tatu,
Nyumbani...
Adhabu ya kaburi aijua maiti, The touture of the grave is only known by the corpse
Akiba haiozi, A reserve will not decay
Asifuye mvuwa imemnyea. He who praises rain has been rained on.
Akili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.