Nimesoma leo kwenye TV Channel E wanasema Lugha ya kiswahili ni ya pili Africa baada yaLugha ya Kiarabu. Kiarabu ndiye lugha inayoongoza kwa kuzungumzwa na watu wengi Africa. Hii inamaanisha...
PRESENT PERFECT CONTINUOUS TENSE
Kiswahili: Juma amekuwa akicheza mpira wa mguu
English: Juma has been playing football
SHERIA katika TENSE hii ni matumizi ya HAS BEEN kwa Pronoun au...
Habari wana jamvi..
katika pitapita zangu nimekutana na neno RAGHBA, ni neno la kiswahili lakini nimeshindwa kulielewa vizuri zaidi hasa mahala pa kulitumia.
Tafadhali wataalamu wa lugha naomba...
Neno limekuwa neno, kiziwi kalisikia,
Neno liwe la mfano, tupate kujifunzia,
Neno lisiwe ndoano, kooni likanasia,
Kuna neno na maneno, kuna neno lenye meno,
Lipo neno la uchungu, kiasi bubu...
First of all i would like to say that I am an average English speaker,though i would like to be very fluent in English,the fact that i do speak English very seldom and all along my studies i...
Kuuliza sio ujinga,
Toka nimeanza kusoma darasa la kwanza mpaka namaliza elimu ya juu sijui wahenga ni akina nani, mara utasikia mtu akisema wahenga walisema asiyesikia la mkuu…, wahenga...
Neno graduate linatumikaje ? Aliyemaliza la saba, form four,form six, certificates courses, diplomas, degrees, masters, phd. Wote wanaweza tumia neno graduate ??
Naombeni ufafanuzi wenu ma Great...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.