Habari wana Jf,
ni kiswahili cha lafudhi gani ukisikiapo unatamani mzungumzaji aendelee kuzungumza kutokana na raha na burudani unayoipata, binafsi mimi hupendelea sana kiswahili cha lafudhi...
The price seemed reasonable, location
Indifferent. The landlady swore she lived
Off premises. Nothing remained
But self-confession. 'Madam' , I warned,
'I hate a wasted journey - I am...
Limetumika sana kipindi cha uchaguzi na watangazaji wa Azam TV. Utawasikia "John Magufuli anakuwa rais takriban wa 5". Mimi nahisi kama wanachemka hivi. Nilidhani takriban ni kama...
Tuipende Tanzania nchi Tuliyo Zaliwa
Kuna mlima mrefu, kwa sifa twajivunia
ukiwekwa kwenye safu, urefu kuukadiria
Hapawi ulinganifu, Africa yote pia
Tuipende Tanzania nchi tuliyo zaliwa...
Tazama ndani nafsini,taona upo shimoni.
Miguu nasa topeni,lilozito mchangani.
Kwa maji mferejini,yaendayo mashambani
Yenye kasi kama nini,yabeba vita sabini.
Kwenye vita vya kunguru,mwewe huwa...
Jamani kumekuwa na matumizi tofauti ya hili neno wengine hutumia pasipo kujua wakimwona mtu mweupe tuu basi ni mzungu,je hata mchina ni mzungu muhind je? au wazungu ni watu wa ulaya peke yake ? na...
sote twendeni sanjari,kwa nguvu pia na hari.
Tuvisahau viburi,tuifanye kwa hiyari.
Tena tukiwa tayari,kama vile tu mandari.
Kwa nguvu ka majabari,tuupande kihodari.
Kwa miguu ama gari,tuukwee...
Volunters waliopo Arusha wanaozungumza kijerumani na wanahitaji mtu anayezungumza lugha yao ili kubadilishana mawazo. Napatikana, nataka nikuze lugha yangu ya german kupitia wao. Hakuna malipo...
Habari MWANANCHI.
Jina langu ni Iddy Ninga ninaishi
Tengeru Arusha.
Nimetuma shairi hili kama
kumbukumbu ya mateso na ukatili
alofanyiwa
mtoto Nasra mvungi.
1>shairi naliandika,machozi...
Once Upon a Time
Once upon a time, son,
they used to laugh with their hearts
and laugh with their eyes:
but now they only laugh with their teeth,
while their ice-block-cold eyes
search...
hivi wanasarufi katika isimu ya lugha ya kiswahili,hii sentensi ni sahihi au si sahihi? "samahani kaka,naweza kukuuliza swali?" NB:katika fikra zangu,nimeona kuwa hii...
Habari,
Nashangaa watu Tanzania peke yake hutumia neno shikamo kama salamu ya kumtunikia mtu heshima ilhali ni utumwa wa kisaikolojia, shikamo ni neno la kiharabu humaanisha nipo chini ya miguu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.