Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
  • Sticky
Mimi Mama wawili (naamini na wengine wengi) nina nia sana ya kujifunza na kuboresha uwezo wangu wa kutumia Lugha ya Kiingereza. Nimeomba ushauri na nimepata jibu kuwa kuna washiriki wengi hapa...
47 Reactions
2K Replies
195K Views
  • Sticky
Nimeona kuna haja ya kuanzisha uzi huu ili kusaidia watu kujua virefu vya maneno mafupi tunayokutana nayo. Hii ni baada ya kusoma uzi mmoja na mtu kuuliza nini maana ya LED! LED - Light Emitting...
10 Reactions
710 Replies
215K Views
  • Sticky
Mambo vipi waungwana,naomba kama kuna mtu ana Dictionary ya kiingereza yaani English to Swahili au Swahili to English anisaidie nilikuwa nayo kwenye Computer yangu baada ya kui-format imekuwa kati...
10 Reactions
94 Replies
105K Views
Wakuu naomba msaada kucheua Kwa English ni nini mfano unasema "John amecheua.."
0 Reactions
4 Replies
238 Views
Nianze na misemo ya kisukuma na maana zake 1. Chujaga mhela utizaguchuja nhola Bora umkose nyati atakuhurumia kuliko kukosea kuoa. 2. Kushema Chonja kubundala Huu ni sawa ule msemo mtaka cha...
0 Reactions
0 Replies
46 Views
Yaani Nawaza Kisichowezekana Nimejiuliza sana, nikajiuliza tena na tena, hivi kwa nini Watoa Huduma wote wanatakiwa wawe na vyeti vya kufuzu masomo yao, na kama haitoshi, pale wanapotaka...
2 Reactions
2 Replies
68 Views
Je, yuko sahh au mimi ndiyo sijui??
2 Reactions
11 Replies
429 Views
"I was today years old when I found out Babu wa Kitaa na Country Boy ni mtu na kaka yake". Kumekuwa na mabishano kuwa hiyo sentence hapo juu ni sio sawa na wengine wanasema ipo sawa. Wajuzi...
4 Reactions
15 Replies
470 Views
Wadau, siku hizi moyo wa kusoma vitabu vya aina zote-vya Taaluma na Riwaya umepungua sana na imepelekea Watunzi wa Riwaya kutoandika tena vitabu. Leo nawakumbuka baadhi ya Waandishi/ Watunzi wa...
5 Reactions
203 Replies
56K Views
Salaam, Shalom!! Tukiwa msibani , kumeibuka ubishi hapa, Kuna watu wamegoma kabisa kulitumia Jina "MWENDAZAKE", kama lilivyotumika msiba wa Magu, Jina linalotumika kumtambulisha Mzee wetu...
1 Reactions
31 Replies
1K Views
Usaini mkataba, upewe mengi manoti, Tupe mgodi wa shaba, wenye ya kudumu hati, Masharti yote saba, yapite kimkakati, Saini hu mkataba, upewe mengi manoti. Utalindwa kisiasa, mkataba kisaini...
0 Reactions
2 Replies
128 Views
Yamebainika mengi sana leo, kwenye kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Tanzania awamu ya 5. Tusirudie yaliyosemwa, bali ninataka kujua asili ya Neno Amirati na labda na aliyelipendekeza kwamba ndio...
1 Reactions
34 Replies
1K Views
Nataka kujua kwa Kiingereza Kurwa (sina uhakika sijui ni Kulwa au Kurwa) anaitwaje na Doto naye anaitwaje
0 Reactions
22 Replies
3K Views
  • Redirect
Amir, meaning "prince," "commander," and "leader," is a male name of Arabic origin. For followers of Islam, Amir is a significant name that enjoys evergreen popularity across the globe. It
0 Reactions
Replies
Views
Inye bojo, mwaguma! Nataka kujua maana ya jina Kahatano.
2 Reactions
4 Replies
383 Views
Huu ni uzi maalum kwa ajili ya kurekebisha makosa ya uandishi wa maneno na sarufi katika lugha za Kiswahili na Kiingereza. Nitaanza na maneno ya kiingereza chart na chat. Mara nyingi watu...
2 Reactions
3 Replies
201 Views
Lugha ya Ishara ni lugha ya kuona ambayo hutumia mikono, mwili na mienendo ya uso kusiliana. Kuna zaidi ya lugha ya ishara 135 ulimwenguni kote, na karibu asilimia 20 ya idadi ya watu duniani wana...
0 Reactions
2 Replies
117 Views
السلم اليكم All جميعا 🌺 الحدالله to be المسم في كليحل 🙏يربي ه‍دنا الصرط المستقبم 🌹 And they will all wish for a good fast month RAMADHANI KARIM.🌹
11 Reactions
52 Replies
723 Views
Naomba nielemishwe kuhusu utabiri unaotolewa na Watalaam. Anaposema kuwa eneo fulani watapata mvua ya WASTANI na juu ya WASTANI ana maana gani?.
0 Reactions
0 Replies
150 Views
Yaani hii nchi MTU anayejua kiingereza ndo MTU anayekubalika Kama msomi. Inafikirisha Sana hili jambo. Tunapima level ya intelligent kwa kuangalia lugha. NB: Vijana jifunzeni kiingereza ili...
14 Reactions
71 Replies
1K Views
Nimekua nikipata tabu sana kujua maana ya maneno mengi ya kiswahili na nikisearch google siyapati napata mitandao ya nje kama wikipedia wakitafsiri ambayo mara nyingi siwaamini kulingana na aina...
1 Reactions
4 Replies
254 Views
Baba mimi ni mtoto wako wa ngapi kuzaliwa?
1 Reactions
41 Replies
8K Views
1. Naanza ona mikasa, yawezaleta balaa, Viongozi wengi tasa, kwa hoja zisizo zaa, Hasa kwa Wana siasa, wao ni kama tabia, Wajifanya ni matasa, wafanyacho wakijua. 2. Ni kutafuta majanga, kuvunja...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Back
Top Bottom