23 December 2022
Same, Kilimanjaro
Tanzania
CHIFU JOSEPH MBAZI II ATAWAZWA LEO, KUENDELEZA HISTORIA YA JAMII
Tukio hilo adhimu la kuendeleza historia ya sehemu hiyo leo katika tarafa ya Mbaga...
SALIM AHMED SALIM; MWANASIASA MWENYE AKILI, MTULIVU, WAZIRI MKUU MSTAAFU, MWANADIPLOMASIA MKONGWE NA CHAGUO LA NYERERE KAMA MRITHI WAKE ILA FITNA ZA WAZANZIBARI NA UNYERERE UKAMPONZA, IKAMFANYA...
C&P
WACHAGGA
Je unajua kuwa wachagga ni wayahudi?
Kabila la Wachagga linalopatikana Kaskazini mwa Tanzania, asili yao ni Wayahudi wa Ethiopia wanaoitwa Falasha – kutoka Mkoa wa Amhara kwenye...
HISTORIA YA WILAYA YA NGARA, ASILI YA MAJINA MBALIMBALI, UTAMADUNI WA WAKAZI WA NGARA NA CHANZO CHA JINA LA KABILA LA WAHANGAZA WANAOKAA WILAYANI NGARA.
ASILI YA NGARA
Wilaya ya Ngara ni wilaya...
Kuna wanawake wengi waliokuwa majimboni waliopigania uhuru wa Tanganyika.
Bahati mbaya wengi wao hawafahamiki kabisa.
Baadhi yao nimeweka picha zao hapo chini.
1. Bi. Halima Khamis na Julius...
Idi Amin Dada Oumee alikuwa afisa wa kijeshi wa Uganda, bondia, na mwanasiasa ambaye aliwahi kuwa rais wa tatu wa Uganda kuanzia 1971 hadi 1979. Amin alizaliwa Koboko kwa baba Kakwa na mama...
Kutana na Matare Matiko Rais wa DARUSO enzi za mgomo UDSM 1989
Mwandishi Wetu Toleo la 321 16 Oct 2013
Mwaka 1989, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kiliingia katika mgomo mkubwa wa kihistoria...
Hivi huyu mwanamama alimaliza kifungo chake? Mnakumbuka kosa lake na jinsi ambavyo kesi yake ilikuwa ni kama simulizi la kutosadikika.
Hivi akisikia yanayofanyika hivi sasa huko aliko si anaona...
Ni Juni 27, mwaka 1976 majira ya saa 12.30 jioni; ndege ya Airbus A300 inayomilikiwa na shirika la ndege la Ufaransa (Air France) ndege namba AF139 ilipaa kutoka uwanja ndege wa Athens. Ndege hii...
MUULIZAJI KAULIZA KWA NINI SYKES WANAREJEWA NA KUREJEWA?
''Nauliza hakuna familia nyengine ila ya akina sykes ilo shiriki?
Kugomboa tanganyika naona kila mara tunawarejea hao hao?''
Namjibu...
Adres Felipe Ballesteros mzaliwa wa Colombia Bogota mwenye umri wa miaka 36 alikamatwa hapa nchini Tanzania mnamo August 2014 kwa kosa la kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroine akiwa amezifich...
MKATABA WA FEI TOTO NA MKATABA WA JOHNNY FONTAINE
Naamini ni wachache wataelewa.
Mario Puzo aliandika kitabu kilichokuja kuwa maarufu na kikatengenezwa filamu iliyokuja kuwa maarufu kupita...
26 DECEMBER 2022
Mwandishi wa habari Ben Mwanantala anakwenda na kufanya safari kufahamu historia ya reli ya TAZARA kwa undani kabisa
Mengi mazuri kuhusu huduma bora zaidi 2022 / 2023
Source ...
KWAHERI PELE: KUMBUKUMBU YANGU KOMBE LA DUNIA 1966
Kombe la Dunia mwaka wa 1966 nilikiuwa na miaka 14 kwa umri huu niliweza kutambua kuwa kulikuwa na mashindano makubwa Uingereza.
Hivi ndivyo...
VILABU VYA MPIRA MITAANI VIMEKWENDA WAPI?
Dar es Salaam tuliyokulia sisi katika 1960s hakuna ambae alikuwa hachezi mpira.
Kutoka Upanga hadi kufika Kidongo Chekundu kulikuwa na viwanja zaidi ya...
HAPPY 93rd BIRTHDAY TO MAMA MARIA NYERERE- THE INAUGURAL FIRST LADY OF TANGANYIKA AND TANZANIA !!!
--------------------------------------------------------------
Mzee wa Atikali...
BI. TITI MOHAMED, JULIUS NYERERE, OSCAR KAMBONA NA MAMA MARIA
Picha hiyo hapo chini inamuonyesha Bi. Titi akizungumza na nyuma yake amekaa Julius Nyerere, Oscar Kambona na Mama Maria Nyerere...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.