Watu wanasahau tu ila Museveni ni mtu mbaya sana!
Inadaiwa kuwa sumu iliyopaswa imuue moja kwa moja baada ya kutoka kwenye ziara pale Kilwa Road kwenye sabasaba, hatimaye ikammaliza daktari wa...
Mengi yamesemwa kuhusu Mzee wetu huyu na sisi tuliokuwa shuleni wakati ule tulilishwa kile ambacho naamini ni sumu. Wakubwa tuelimisheni ukweli kuhusu Mzee huyu.
Oscar Kambona
Kambona, the man...
Leo ni miaka 23 tangu Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine atutoke ghafla na kuacha simanzi na wingu la huzuni. Siku ile ya machozi na majonzi imebakia katika kumbukumbu za Watanzania wengi kama...
Mwalimu (RIP)Baba Wa Taifa Hili, na Mkewe Mama Maria
Wakuu Wote Jamii Forums, Heshima mbele!
Katika hiki kipindi cha mapumziko nimeona sio vibaya tukijikumbusha historia yetu ya taifa katika...
Habari za kuaminika zinadai kuwa Kiongozi Mkuu wa Libya Muammar Gaddafi amekalia kuti kavu, habari zinasema kuwa hali iliyofikia hairudi tena nyuma, nae atakurupushwa na kung'olewa kama shina la...
Mwaka 1964 siku thelathini baada ya uhuru wa bandia wa Zanzibar, wanamapinduzi kumi na nne wakiongozwa na mpigania uhuru John Okello aliwaongoza kwenye mapinduzi ya Zanzibar yaliyokuwa na umwagaji...
Naeleza mazishi yalivyokuwa kuanzia dakika ya 7.
Labda unaweza kujifunza kitu kitokana na historia hii ambayo kwa hakika ni historia ya watu wa Dar-es-Salaam na utamaduni wao na vipi historia hii...
ZUHRA YUNUS, BBC, NA MAGOMENI MAPIPA
Ilikuwa Zuhra Yunus anaondoka BBC sasa ishakuwa Zuhra kaondoka.
Labda nianze kwa kusema kuwa nina ''sentiments,'' mapenzi na BBC Idhaa ya Kiswahili toka...
ZUBERI MTEMVU: MPANGAJI MIKAKATI WA TANU NA MUASISI WA UPINZANI
Rai Oktoba 28 - Novemba 3, 1990
=======
Alhaj Zuberi Mwinshehe Manga Mtemvu
Mpangaji mikakati wa TANU, mhamasishaji wa umma...
Afrika ilipoteza wana mapambano wawili kwa mpigo, Afrika imeshudia kumpoteza Kofi Annan Katibu Mkuu wa kwanza mweusi kutoka Afrika hii ni pigo kwa wana mapambano wa haki duniani. Lakini mapema...
Vimbwanga duniani vipo kama sisi tunaotaka kuwafahamu wasio julikana.
Kwa huyu bwana zodiac killer ni moja ya watu waliotamba miaka 60 na wengine kama jack ripper na watu waliofanya vitendo viovu...
kwa mujibu wa document zinazosambaa mitandaoni zitto kabwe na kamati nzima ya PAC ilikuwa inapokea pesa kutoka kwa singasinga,je ana uhalali upi kusoma taarifa wakati naye ni mtuhumiwa?nashauri...
TUKIAMUA KIZALENDO, UAMUZI WA ICSID KUHUSU IPTL MSHINDI ANAWEZA KUWA TANZANIA
Septemba 12, 2016 Mahakama ya Usuluhishi wa migogoro ya uwekezaji iliwasilisha rasmi maamuzi yake Kwa pande...
Hawa watu hupatikana katika nchi ya Myanmar zamani Burma,wanawake wa kikayan huanza huzivaa bangili za shingoni,wakiwa bado wadogo sana
Shingo za wanawake hawa hurefuka kiasi cha kwamba...
ROBERT GABRIEL MUGABE BABA WA AFRIKA PEKEE ALIOBAKI MADARAKANI.
"Tokea kuwa Mwalimu mpaka mpigania Uhuru, sasa rais wa nyakati mpya Afrika"
Na Comred Mbwana Allyamtu.
20/8/2017
MAKALA hii ni...
https://youtu.be/FxUtFHgXxDw
ZIMA MOTO KATIKA UBORA WAKE
Nimeikuta hii video mtandaoni na nikaiangalia kuanzia mwanzo hadi mwisho.
Wakati mwingine nilikuwa nacheka peke yangu.
Kwa nini nacheka...
Baada ya kusoma taazia ya Abdallah Tambaza sina nguvu ya kuandika chochote kuhusu rafiki yangu Mohamed Awadh maarufu kwa jina la Chico. Taazia ya Abdallah mimi imenitia simanzi kiasi ya machozi...
Wadau mimi ni mgeni humu lakini napenda uzi wangu wa kwanza kabisa huku uwe unahusu historia mahiri ya tawala za kale ambazo zimeleta ushawishi mkubwa kwenye siasa na ustarabu wa leo
Mesopotamia...
ZIJUE BAADHI YA KOO ZA KIZARAMO, ASILI NA MAANA YAKE.
Wazaramo/ wazaramu ni kabila linalopatikana mkowa wa Pwani, Daresalama na maeneo ya mkowa wa morogoro ( morogoro vijijini, hasa mvua na...
UTANGULIZI
Kabla ya kujua habari ya vita kati ya Wangoni na Wandendeule yafaa tujue kwanza historia fupi juu ya kabila la Wandendeule ambao walikuwa ni wenyeji wa nchi ya ungoni ya leo, pia tujue...
Dini ya urasta ilianzishwa miaka ya 1920 na 1930 huko maeneo ya visiwa vya Caribbean. Mwanzilishi wa imani hii ni Marcus Garvey aliezaliwa mwaka 1887 na kufariki dunia mwaka 1940. Marasta...
"Siku ya tukio la kifo cha Sokoine mvua ilikuwa inanyesha wakati msafara wake ulipoondoka mjini Dodoma. Gari la polisi lilikuwa linaongoza msafara wake hivyo hapakuwa na wasiwasi wa usalama kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.