Naomba kufahamishwa juu ya kikomo cha kuomba kubadirishana. je kunamuda ambao ndo deadline ya tukio hilo? Nauliza hivyo kwani nipo kwenye mchakato wa kubadirishana na mfanyakazi toka halimashauri...
BW Hamis Chagonja.
Zaidi ya wanafunzi 52,000 wa mwaka wa kwanza watanufaika na mkopo wa elimu ya juu baada ya serikali kuongeza kiasi cha fedha sh 132 bilioni kwaajili ya kugharamia masomo yao...
Natafta shule nzuri ya kumhamishia kijana wangu.
Dogo anategemea kuingia form 3 mwakani
Kwa sasa anasoma Trust St. Patrick School ina kama maendeleo yake hayaridhishi..
Shule nadhani ndio...
Mambo vipi wadau
Nipo 1st year now Niliomba loan nikapata 0% course y non-priority jamaa alokua ana support tution fees imetokea misunderstand he's no longer by my side I have to manage my...
Wana JF habariza majukumu? nimatumaini yangu kuwa nyote ni wazima. Mimi ni mwalimu wa hesabu, hivyo mara nyingi nalazimika kuchapa kazi zangu za hesabu kama mitihani nk.
Changamoto niliyonayo...
Jamani mimi mwanajukwaa mwenzenu naomba kuuliza kuhusu chuo cha Paradigms college of health and Allied Sciences kilichoko Kimara Dar Es Salaam. Je kinatambulika na NACTE na vipi ukihitimu...
According to esteva(2010) "development occcupies the center of an incredbly powerful semantic constellation" over decades the concept has suffered the most dramatic in its meaning and...
Wakuu,nina mashaka na utendaji wa tcu,kipindi tuko chuo,kuna jamaa alidisco tukiwa mwaka wa pili hiyo ilikua 2013,cha ajabu jamaa saivi ana cheti kizuri cha kufoji chenye upper second na yuko...
mdogo wangu anasoma diploma ya geomatics sasa anataka akimaliza mwaka huu aombe degree atumie cerficate of geomatics na cheti cha form six(SDE PCM 2009),je nacte wanakubali au mpaka amalize diploma?
Wadau nimeona ITV leo mkurugenzi wa NACTE katangaza wanafunzi wote walioomba mkopo mwaka huu wamepata, lakini nina ndugu yangu hajapata kabisa anahangaika ku-appeal sasa hivi, yeyote mwenye...
Nikiwa bweni la Kimweri ground floor pale Sengerema sec. Rais Magufuli alinipiga fimbo tatu kwa kosa la kutokwenda darasani.. Niliona kama amenionea.
Kwa wale mliopita Sengerema mnajua mazingira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.