Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
231
Posts
7.2K
Threads
231
Posts
7.2K

JF Prefixes:

Nenda mjini kwenye maduka ya jumla, nunua yeboyebo fasion za kisasa, yebo 1 kwa bei ya jumla utainunua kwa sh elf 2, wewe mtaani kwako utaiuza elf 2500,-ukiuza pea 10 maana yake una faida ya elf...
2 Reactions
15 Replies
6K Views
Wadau habarini za muda huu, naomba mwenye uelewa na madini yafuatayo anipe shule kidogo juu ya aina ya madini, soko lake na bei. Kuna rafiki yangu amepata sehemu yapo lakini hajui yanatumika kwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu Kuna ambaye amewahi kukopa UTT Microfinance kupitia umiliki wake wa vipande au share alizonazo DSE? Naombeni kufahamu interest yao ni asilimia ngapi Asanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
[emoji777]
1 Reactions
40 Replies
3K Views
  • Redirect
Naomba mtu anaefahamu biashara ya nywele za bandia ikiwa ni rasta pamoja na kofia za kawaida wigi, anielekeze ikiwa utachukulia kariakoo bei nish ngap na utauza vipi, lkn pia soko lake liko vip...
0 Reactions
Replies
Views
For anyone who want to be V-pesa agency and make more money every single day, Please call now on 0718371221 / 0764705712 Paul Alex) au 0684666945 Edwin chapa) or email paulchapa0744@yahoo.com for...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
  • Redirect
kaorodhesha hapo kama upo instagram nadhan utakuwa umeona makampuni aliyotaja na forex ikiwemo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ,ukiona mtu anajitangaza sana na...
22 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari wakuu binafsi nimekuwa na wazo la kuwa mfanya biashara muda mrefu. sasa katika kutafuta wazo bora la biashara nikaona bora nifanye biashara ya kuagiza mayai mikoa inayo fuga kuku kwa...
0 Reactions
Replies
Views
habar zenu wakuu Kuna kijana katoka kijijin kaja kwangu kwa lengo nimtaftie kazi ila kwa haraka haraka vyuma vimekaza mno so nikaona ni bora nimuwekee hata ki biashara tu kidogo ili...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Redirect
Kwa wale wataalam wa Madini, naweza kujua haya mawe ni Madini gani? Ningependa kwa anaeyajua anieleweshe. Note:km hujui kitu ni bora ukapotezea huu uzi. Wapo wengine asili yao ni...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wakuu salama? Nipo kijj flan HV...Geita. Hapa hakuna sehemu ya kuangalia mpira tofauti na kwa mwal mmoja ambaye ameweka nyumbani lakn ana azam na TV ndogo lakn jamaa wanaenda kuangalia. Nimeona...
1 Reactions
Replies
Views
Salaam wanajamvi, ni matumaini yangu mko wazima wa afya mkiendelea na mihagaiko ya kila siku kwa ajili ya kujipatia mkate. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza ninaomba mwenye uelewa na hawa watu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Za asubuhi waungwana, Nadhani wote tunafahamu hizi namba za malipo ambazo tunatumia kuzilipa kampuni mbalimbali, zinakuaga tarakimu sita kama sikosei. Mfano kwa wale wanaobet, Premier Betting ni...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
  • Redirect
Habari za muda huu wanaJF? Natumai hamjambo! Leo hii nimejitokeza ili kuweza kupata experience ya biashara za nywele bandia (mawigi) na urembo mbalimbali unaohusu wanawake! Naomba kujua...
0 Reactions
Replies
Views
Naomba msaada na ushauri jinsi gani unaweza kufund brokerage account nje ya nchi kama vile Hong Kong!
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Wana JF wa uwanja huu naomba msaada kidogo kwa wenye kuelewa wanisaidie Kwa mfano nataka kufungua biashara yangu kitu muhimu kwenye biashara ni Leseni ya Biashara. Lakini naomba kujua je ni...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
  • Redirect
Habari wadau! Naomba mtu mwenye uzoefu katika kuuza dagaa kwa jumla (hasa kanda ya ziwa) anipe uzoefu wa biashara hiyo, ikiwa ni pamoja na kujua upatikanaji wa dagaa, maeneo ambayo dagaa nzuri...
0 Reactions
Replies
Views
Kuwa makini sana na hawa watu wanaojiita Focus bikoba,ni matapeli sana na wanatoa matangazo kuwa wanakopesha ukiwafatilia wanakudanganya unatuma hela ili wakusajili alafu wanakugeuka,watu wengi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
  • Redirect
Msaada wa haraka wadau, ninataka kuanza biashara, ila sina kitambulisho cha kura wala cha taifa ( vilipotea), Je inawezekana kuanza biashara yaani kupata namba ya mlipakodi na leseni bila kuwa na...
0 Reactions
Replies
Views
A newCanadian cryptocurrency that will be launched on March 1, 2018. Register now and get free 1000 tokens. Each token could be worth a few cents up to about $1 when launched in March which means...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom