JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wakuu kuuliza sio ujinga.
2 Reactions
18 Replies
825 Views
Gari yangu 1KZ inapoteza nusu lita ya maji kila siku, lakini haichemshi kamwe. Radiator ilishasafishwa hivi majuzi, mfuniko ushabadilshwa mara mbili, lakini bado inapoteza maji. Kwenye reserve...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Ngoja nikupe facts why crown ni better kuliko mark x Crown ina space kubwa ndani kuliko mark x, nia pana zaidi, hata. Ukiingiia kwa hizi gari mbili utajionea Crown ina more comfortable seats...
16 Reactions
35 Replies
7K Views
Ukitaja magari kumi reliable ya toyota basi toyota prius haiwezi kosa top three, ni gari ambayo ni ngumu na reliable sanaa,comfortable ina smooth ride na nzuri sana kwa misele ya mjini na foleni...
15 Reactions
113 Replies
11K Views
Wakuu habari za wakati huu? Ningependa kufahamu hizi gari zimekumbwa na shida gani mpaka watu kuanza kuziuza kwa kasi sana tena kwa bei kutupa kwa gari kali na yenye hadhi kama hii. Imefikia...
14 Reactions
163 Replies
14K Views
Higer inauzwa Engine_Scania 93 Model KLQ6145A Siti 52 Inatembea ila inachemsha Bei_ Tzsh30,000,000/= Call,sms,whatsap 0759399805
0 Reactions
0 Replies
191 Views
Kwa muda sasa redio yangu haina remote kitu ambacho hunifanya ili nibadilishe njia ya matumizi ya redio au tv kunilazimu nisimame nikabonyeze button. Je, ninaweza kupata remote yenye uwezo wa...
0 Reactions
2 Replies
164 Views
1. Prado (ubora na wingi) 2. Subaru (ubora na wingi) 3. Rav4 (wingi) 4. Vitz (wingi) 5. IST (wingi) Usichanganye bajaji na IST, IST ni gari.
5 Reactions
13 Replies
739 Views
Jamani nimetafakari kuhusu biashara zangu nikaona bila kuwa na usafiri wangu binafsi nitaendelea kuteseka mno kwa kudandia dandia za watu. Nimeamua kutafuta usafiri wangu binafsi kutoka kwa mtu...
3 Reactions
33 Replies
981 Views
[emoji599]: Unajua XT Kwenye Subaru Forester Inamaanisha nini? T” inamaanisha “Turbo Charger” na X ni “maximum traction” ni sawa na kusema all-wheel-drive,na pia inauwezo mkubwa wa kutembea...
9 Reactions
27 Replies
4K Views
Hello wana JF, Naomba mtu anayefahamu fundi wa Mitsubishi anisaidie kwa Arusha. Gari inachelewa sana kubadili gear na inatembea kwa rpm kubwa sana kwa speed ndogo na kuna muda inakosa nguvu...
1 Reactions
6 Replies
286 Views
ipi gari ni nzuri kwa kununua naomba ushauri
1 Reactions
3 Replies
351 Views
Habari nahitaji kujua nauli ya kutoka Sumbawanga mpaka Karatu Arusha Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
2 Reactions
9 Replies
203 Views
Yeah 2002 Engine cc 1490 4wheel Location Dodoma Bei 12m
0 Reactions
1 Replies
224 Views
Wataalam za wakati huu.. Kijana wenu hapa nayependa Road trip but kwa pikipiki, last time nilisafiri na pikipiki cc110 kutoka Dar to Dodoma (kwenda na kurudi) pia nikasafiri tena toka Dar to...
10 Reactions
35 Replies
1K Views
Salamu,ifuatayo ni orodha ya Unreliable Cars ukiwa safarini.Hakuna uhakika wa kufika Kwa 100 asilimia 10. Nissan 09. RAM 08. Cadillac 07. Ford 06. Tesla 05. Chevrolet 04. GMS 03. Volks Wagen 02...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Habarini za mchana wadau, Natumai mko poa na mnaendelea na harakati za kutafuta maendeleo. Wadau nahitaji kwa mwenye uzoefu kuhusu pikipiki anisaidie kuchagua kati ya boxer 150 na Tvs hlx 150...
4 Reactions
132 Replies
51K Views
Check Video, Kuwa makini unaponunua oil ya gari yako.
2 Reactions
9 Replies
515 Views
Back
Top Bottom