Habari za mida hii wanajf.
Kama kichwa kinavyosomeka.
Kuna jambo huwa najiuliza kwenye suala zima la kuagiza gari kwa kutumia beforward, tcv, sbt, n.k. Nikipitia kwenye websites zao unakuta...
Anayeifahamu kwa kina (consultant) wa hiyo gari kabla sijachukua. Nimedhamiria ya 2010, 7seats na nalipia next week. Nahitaj mshaur mtaalam na mzoef na ikibid nimwone kama yu Dar.
Pia naomba...
Wakuu wa jamvi habari zenu,
Nipo kwenye uchaguzi Kati ya gari hizo mbili. Nataka my second car iwe kati ya hizi gari mbili. Nahitaji performance, fuel consumption nzuri, comfortability, stable...
Habari za asubuhi wadau, nimeona sehemu hii gari "SUZUKI SWIFT" INAUZWA
Naomba kufahamu uimara wake na shida zake hii gari kabla sijafanya maamuzi. Na ambatanisha na Picha.
Natanguliza Shukrani...
Wadau na wataalamu wa Magari naombeni ushauri gari yangu ninapowasha AC inatumia mafuta mengi sana.
Kwa mfano nisipowasha AC ninaweza tembea 12km/L mpaka 13km/l hapa mjini,Lakini nikiwasha AC...
Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi, marefu na ya Kati...
Kumiliki gari na kumaintain gari ni vitu viwili tofauti, ndo maana unaweza kuta mtu ananunua gari kwa furaha anafanya na sherehe mambo ya maintenance yakianza inakua balaa..
.
Unaanza kuona gari...
Wakuu habari zenu, hatimaye ndugu yenu nimedunduliza pesa kdg na kupata kutimiza ndoto ya kuwa na gari.
Nimepata option 2, ist (model ya zamani) ambazo ndiyo nyingi au belta zote zina bajeti...
Habari ndugu wana jamii forum,
Nimejikongoja kidogo nimenunua Nissan Duals naombeni ushauri kuhusu mafundi wazuri maana hii gari naipenda sana japo watu wanadai ina changamoto nyingi ila kwa...
Hello wakuu, hope mko poa.
Nimebahatika kununua gari ndogo naitumia vizuri tu bila shida.
Leo asubuhi nipo kwenye foleni ya jiji, nataka kusogea tyre za nyuma zikagoma kuzunguka (parking break...
Hii trend ya kuuza gari mtu anaangalia usajili wa namba namba ya gari ni ya lini mfano EEM, DYL, DME ndo atamke bei ni ushamba sana unaendekezwa na washamba, Kwamba gari nzuri ni yenye namba...
Habari! ndugu zangu wenye magari mabovu tupeane faraja, ushauri na motisha wa namna ya kuishi nayo ingawa yanatupasua vichwa!
Uzii huu ni rasmi kwetu wenye magari yaliyo na changamoto! Nyie wenye...
Wakuu, tukubali magari ya umeme yanazidi kuongezeka kwa kasi sana ndani ya hii miaka mitano. Na inavoelekea yatazidi kuongezeka maradufu. Mfano tu angalia hii chart nimeitoa Wikipedia.
Sasa kwa...
Nimeona wengi waliozinunua wanaziuza tena... Nikapata maswali kidogo. Shida ni nini tena?
Faida ipo kuwa sasa badala ya kununua Petrol utakuwa una charge.
Nyingi kwa maelezo ni kuwa una charge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.