JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Salamu,ifuatayo ni orodha ya Unreliable Cars ukiwa safarini.Hakuna uhakika wa kufika Kwa 100 asilimia 10. Nissan 09. RAM 08. Cadillac 07. Ford 06. Tesla 05. Chevrolet 04. GMS 03. Volks Wagen 02...
10 Reactions
34 Replies
2K Views
Habarini za mchana wadau, Natumai mko poa na mnaendelea na harakati za kutafuta maendeleo. Wadau nahitaji kwa mwenye uzoefu kuhusu pikipiki anisaidie kuchagua kati ya boxer 150 na Tvs hlx 150...
4 Reactions
132 Replies
50K Views
Check Video, Kuwa makini unaponunua oil ya gari yako.
2 Reactions
9 Replies
445 Views
Kuna mengi sana yanapita katika kichwa cha dereva anaeendesha gari alafu ikazima ghafla bila ya yeye kuizima na mbaya zaidi itokee hivyo ikiwa geji ya mafuta inaonesha mafuta yapo ya kutosha...
3 Reactions
1 Replies
303 Views
Wana Jf ni matumaini yangu nyote humu mu wazima. Ninaomba kufahamishwa kwa wanao ifahamu njia ya ya sinza kijiweni kupita Tandale mpaka kawawa road kuna magari mengi sana ambayo ni kama...
2 Reactions
35 Replies
6K Views
Nimekuta huu mjadala twitter Nimeshangaa watu wengi wanachagua Vanguard
11 Reactions
296 Replies
24K Views
Wakuu naomba mwenye kujua kutoa lock kwenye pikipik Aina ya Kinglion Slick 150
0 Reactions
1 Replies
227 Views
Hello wakuu, hope mko poa. Nimebahatika kununua gari ndogo naitumia vizuri tu bila shida. Leo asubuhi nipo kwenye foleni ya jiji, nataka kusogea tyre za nyuma zikagoma kuzunguka (parking break...
1 Reactions
5 Replies
313 Views
Audi A4 ni line ya compact executive cars ambazo zimekua kwenye uzalishaji tangu 1994 huko German na Audi ambayo ni subsidiary ya Volkswagen Group, Subsidiary yani ni kama CCM na ACT hivi [Jokes]...
28 Reactions
81 Replies
14K Views
Hello wana jukwaa, Natumai mko poa kabisa na mnaendelea vema na mapumziko ya mwisho wa wiki. Moja kwa moja kwenye mada, naomba wenye uzoezi na hii gari wanisaidie AUDI Q5 1.Spare parts upatikaji...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za muda wakuu, Naomba ushauri juu ya haya magari mawili. Lipi ninunue 1. SUZUKI JIMNY 2013 1.3L, manual transmission. Hii gari ilinunuliwa mpya 0 km, hivyo usajili wake ni no. C. Ilikuwa...
3 Reactions
63 Replies
10K Views
Habari za majukumu, nina fedha isiyo taslimu shilingi laki tisa(900000 TZS), ambayo itakamilika kufikia mwezi wa 10 mwaka huu. Nimewiwa kununua usafiri wangu ila nimeamua kutumia njia tofauti...
8 Reactions
89 Replies
5K Views
Habari wataalam, Naomba nijue faida na hasara kwa wale waliotumia gesi kama petrol / diesel kwenye magari au bajaji. natanguliza shukrani zenu kwangu. Karibuni wataalam.
0 Reactions
48 Replies
3K Views
Habari zenu Wakuu natumaini muwazima…kuna hii gari inaitwa Nissan bluebird yenye 1490cc,nilikuwa naomba kwa yeyote anayeijua je ni nzuri kwa kuzingatia upatikanaji wa spares na matumizi ya mafuta?
0 Reactions
2 Replies
189 Views
Habari wakuu, Utamshauri mtu anunue gari ipi kati ya gari hizo mbili kwa kuzingatia vigezo vya mazingira ya miundombinu ya barabara zetu, hali ya kiuchumi (kipato cha kati) na upatikanaji wa...
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Naombeni ushauri kuhusu hii gari naenda kuilipia leo. Sina ufahamu wowote nimependa space tu.
1 Reactions
5 Replies
348 Views
Habari, Gari yangu aina ya toyota cami nikiiwasha inawaka bila shida (jino moja) ila ikikaa sekunde 25 inaanza kumis kisha inazima na ikishazima haiwaki mpaka ipite nusu saa msaada shida unaweza...
2 Reactions
7 Replies
383 Views
Kumiliki gari na kumaintain gari ni vitu viwili tofauti, ndo maana unaweza kuta mtu ananunua gari kwa furaha anafanya na sherehe mambo ya maintenance yakianza inakua balaa.. . Unaanza kuona gari...
25 Reactions
21 Replies
6K Views
Habari ndugu wana jamii forum, Nimejikongoja kidogo nimenunua Nissan Duals naombeni ushauri kuhusu mafundi wazuri maana hii gari naipenda sana japo watu wanadai ina changamoto nyingi ila kwa...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Back
Top Bottom