Ushahidi wa nguvu unatoka kwa wale ambao wanatumia paracetamol kutibu maumivu ya ugonjwa zaidi ya mmoja. Mtoto anapoanza kuhusishwa na paracetamol angali akiwa tumboni anauwezo mkubwa wa kuzaliwa...
Kama ushawahi kuona watu wengi tunateseka kwa kuwa na unjano katika makwapa yetu baada ya kuvaaa nguo nyeupe lile jasho usababisha unjano je nn suluhisho la hili au usababishwa na nn msaada...
Kwa ufupi
kupumua kwa shida ni moja ya dalili za moyo kupanuka. Wakati nikiwa nazungumza na mmoja wa wasomaji wa gazeti hili mwenye tatizo la moyo mkubwa aliuliza iwapo kuna vipimo vikubwa zaidi...
Njia kuu ya kupunguza unene ni pamoja na kuchagua vyakula vya kula yaani kujua aina ya vyakula unavyotakiwa kuvila
Vifuatavyo ni vyakula, mboga na matunda ambayo vikiliwa kwa mpangilio mzuri...
Naomba msaada JF DOCTOR tatizo la tumbo linaniuma sana unapokaribia mda wa chakula mfano saa 5 asubuhi linaanza mpaka nile ndio linatulia na jioni linaanza mida ya saa 12.
Nimepima sana na napewa...
Maambukizi Katika Njia ya Mkojo (UTI) ni moja kati ya magonjwa ambayo hayapewi msisitizo wa kutosha katika jamii licha ya kuwa wengi huathirika kwa ugonjwa huu bila kujua chanzo, tiba na kinga...
Salaam wakuu,
Kuna kitu huwa sikielewi, pale mtu anapopanda gari baadhi huwa wanatapika. Hiki kitu nimekishuhudia mara kadhaa. Mara ya kwanza nilishuhudia nilipokuwa shule kwenye safari ya kwenda...
Habari doctors,
Nahitaji ushauri wataalam kwani nnampango wa kuongeza uume.
Najaribu kuhisi yawezekana nikifika miaka ya 40 nguvu inaweza kupungua kabisa au nikashindwa kupafomu,
Pls nahitaji...
Kila napokutana na mwanamke mpya hisia napata lakini nikimpandilia juu kwa shughuli husika mzee analala hadi aibu... Leo ndio nimetia aibu usiku kucha nimeshindwa kabisa.
Naomba ushauri wadau.
Naomba msaada wa kuelezwa nini kinasababisha makamasi?
Je kuna tofauti kati ya makamasi na mafua?
Je nini kinasababisha mtu mzima kuwa anatoka makamasi (sio mafua)?
Wengi wao utakuta wanaongea kwa sauti ya juu sana kuliko kawaida, anakuongelesha kwa sauti ya juu kana kwamba uko mita 25 toka alipo; nini tatizo au chanzo chake?
DAR IVF & FERTILITY CLINIC
***************
Hili tangazo nimeliona leo maeneo ya Kawe jijini Dar es Salaam. Hii kliniki ni maalum kwa wale watu wenye upungufu wa nguvu za kiume. Kumbe kuna...
Ni kawaida kutoa sauti wakati wa kwenda haja kubwa, Ila naona kwangu nimekuwa too much maana nikienda haja kubwa natoa mlio kama wa pikipiki iliyochomolewa exhaust. Najisikia embarrassed hasa...
MSOMAJI wetu ameuliza kama kuna vipimo vikubwa zaidi na dawa za kutibu tatizo la moyo kupanuka. Anadai mwanzo alikuwa anapumua kwa shida akaenda hospitali, wakampiga picha ya X-Ray na kumwambia...
Habari zenu wanajamvi.
Nakuja mbele yenu waungwana naomba ushauri juu ya hili tatizo la pumbu (korodani) kuuma.
Kwa sasa ni zaidi ya mwezi na maumivu yake yamekuwa ni ya kuvuta na si muda wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.