Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Hellow wanaJF! Natumaini mmeamka salama na mnaendelea na majukumu kama kawaida. Ni muda sasa nimekua nikifuatilia hili bila kufahamu, naomba mwenye kujua anijuze. Watoto wadogo kila wanapotaka...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Buried penis is a congenital anomaly in which the penis is normal in size but appears to be small (i.e., the external genitalia appear small). Parents of patients with this anomaly or patients...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Nimeoa sasa miezi saba nimekaribia muda wote huo nimejaribu kutafuta mtoto na mke wangu ila hashiki mimba anaingia mwenzini kila mwezi. Naomba msaada wa haraka je mke wangu anaeza kuwa na...
1 Reactions
56 Replies
8K Views
Naomba kuuliza GT mlioko humu. 1. Kwa nini mwanaume rijali kabisa ikitokea kwa bahati mbaya au kwa kutaka yeye aingiliwe kinyume- hata awe baunsa vipi lakini punde tu akimwagiwa "sperm" akili...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habari wadau, Twendeni Dodoma tukaijenge nchi. Turudi kwa mada, Kuhusu huu ugonjwa wa Pelvic Inflammatory disease (PID). Kwa mara ya kwanza mke wangu alikuwa anasumbuliwa na tatizo la kutoa ute...
3 Reactions
4 Replies
7K Views
  • Redirect
Jinsi Punyeto Inavyo Sababisha Ukosefu Na Upungufu Wa Nguvu za Kiume
0 Reactions
Replies
Views
WAUNGWANA KWA MOYO MKUNJUFU NAOMBA MNIPE DAWA YA MACHO YANAYOPOTEZA NURU. HAYAONI MBALI HASA WAKATI WA JUA KALI AU MWANGA MKALI. NAJUA NDANI YA JF KUNA WATAALAMU WA FANI ZOTE TENA WALIOBOBEA...
0 Reactions
7 Replies
12K Views
  • Redirect
Wapendwa wana Jf, Habari zenu ndugu zangu, na marafiki zangu wote humu ndani! Wapendwa ma-dokta na wataalamu, na hata wazoefu......Naomba mnisaidie katika hili, Hivi kuna dawa ya kuondoa kovu...
1 Reactions
Replies
Views
Habari wataalamu wote humu ndani. Mke wangu anasumbuliwa sana na tatizo tajwa hapo juu. Moyo wake umejaa maji ambayo kwa mara ya kwanza yalitolewa kwa mpira na yalikuwa mengi sana ila baada ya...
1 Reactions
2 Replies
7K Views
Wapendwa polen na majukumu, Naomba msaada wa kitabibu zaidi lakini pia uzoefu wenu katika hili. Nina dada yangu miaka mitatu iliyopita alijifungua kwa operation (kwa kisu), maelekezo ya dactari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu heshima kwenu, Nimejitokeza kuulizia hili kwa sababu sina ufahamu nalo kidogo binafsi nina mpenzi wangu ambae tumekuliana tupate mtoto lakini shida inakuja kua mimi nashindwa kujua...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari wanajamvi! Naomba ushauri,nimejiuliza muda mrefu sana na Leo nimeamua kupiga moyo konde kuuliza ili kupata ushauri utakao nipa ahueni ya maisha... Umri wangu unaanzia na namba3, utata huu...
1 Reactions
1 Replies
704 Views
  • Redirect
Habarin zenu wakuu!!! Samahani naomba msaada wa mawazo. Nina mtaji wa shling million mbili je naweza fungua duka la dawa muhimu Na pia ni hatua zipi nifuate ili nipate uhalali wa kufanya...
0 Reactions
Replies
Views
Vifuatavyo ni vyakula 6 vinavyozeesha ngozi na unashauriwa kuvitoa katika mlo wako: 1. Chumvi Chumvi hasa yenye madini ya iodine ni mbaya sana kwa afya ya ngozi. Inasababisha chembechembe za...
5 Reactions
13 Replies
6K Views
  • Redirect
Mlonge au moringa oleifera kwa kiingereza umekuwa ukijulikana kama mti wa miujiza kwa karne nyingi katika baadhi ya nchi za Afrika, Asia na katika nchi za Caribbean. Mti huu umeripotiwa kutibu...
1 Reactions
Replies
Views
Habari wana JF, Nasumbuliwa na hilo tatizo kwenye mfupa wa paja (femur) kwa miaka 15 sasa na mara zote nikienda hospital baada ya vipimo napewa antibiotics tu ambazo kwa kiasi fulani zimekuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani ninashida ya kutopata usingizi kidole changu kimeingiliwa na mdudu nimeenda hospitali nimeandikiwa sindano tano hivi ni sindano ya nne Ila kama ndio nimekichokoza kinazidi kuongeza miumivu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Moja ya magonjwa hatari sana ambayo yanaweza kumpata mtu yoyote ni ugonjwa wa shambulizi la moyo. Huu ni miongoni mwa magonjwa yanayoongoza kwa kusababisha vifo vya wanaume na wanawake. Kwa...
7 Reactions
25 Replies
11K Views
Habari zene wakuu, nmeona ni vyema watu wa dawa tujuzane na kubadilishana mawazo kupitia Thread hii. Natanguliza shukran zangu.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom