Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Naombeni msadaa, Jogoo wangu anapinda kwenye shina na anakuwa kikwazo kwenye mahusiano kwani akiingia mpenzi wangu anasema anamuumiza. Je, nifanyeje wakuu ili anyokee,kwani dada wengi...
4 Reactions
49 Replies
7K Views
Fat from avocados could combat acute myeloid leukaemia, AML Fat targets leukaemia stem cells and stops them growing abnormally Researchers say it could prolong life of leukaemia sufferers AML...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu,wataalamu wa afya,kama nilivyoandika hapo juu,mke wangu ni mjamzito,lakini ana tatizo limejitokeza leo mara ya pili,mwezi uliopita ujauzito wake ulikuwa na miezi mitatu. kuna siku zilimtoka...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
  • Redirect
Natumai mko na afya njema wadau wa jukwaa hili. Kama sivyo kwa baadhi basi Mungu awape afya njema. Ndugu zangu naomba kwa anayefahamu faida na matumizi bora ya mafuta yatokanayo na samaki...
0 Reactions
Replies
Views
Kama ukifanya mapenzi bila kutumia kinga zaidi ya mara sita, ukaja hisi ulie sex nae ana virusi vya ukimwi, halafu ukae mwezi ukapime. Je kipimo kinaweza onesha kama umeathirika?
0 Reactions
31 Replies
17K Views
Habari zenu wataalamu wa JF Mimi ni mgeni humu ndani naitwa Lilian nina miaka 25 nimejiunga humu ili niweze pata msaada kutokana na tatizo linalonisumbua sana kwa sasa ambalo ni hili kila...
3 Reactions
73 Replies
17K Views
  • Redirect
Hi guys! Naomba kuuliza. Hivi dalili za mimba kwa mwanamke zinaanza kuonekana hasa kwa mda gani (mfano kutapika, kutema mate kila Muda) Nitashukuru kama mkinipatia jibu.
0 Reactions
Replies
Views
Habar, naomben msaada wenu kwanini wakati nafanya jogging huwa napatwa na vichomi sehemu ya tumbo upande wa kulia au kushoto na kwenye kifua upande wa kulia tatizo ni nini???
0 Reactions
2 Replies
857 Views
Date: August 3, 2016 Source: Monash University New research has taken us a step closer to finding a cure for human immunodeficiency virus (HIV), as well as other infections including the...
1 Reactions
0 Replies
628 Views
  • Redirect
Vidonda vya tumbo limekuwa ni tatizo kubwa linalokuwa kila siku na inasadikika kuwa kila mtu anavidonda vya tumbo.Binafsi nilisumbuliwa kwa miaka kadhaa lakini kwa sasa nimepona na nilitibiwa kwa...
0 Reactions
Replies
Views
Ndugu JF jeraha langu lina siku 3 toka pamewekwa dawa na bandage, doctor aliniambia ndani ya siku 3 niitoe nilipo niko mbali na hospital na bandage imeshika imekauka kwenye kidonda, je nitumie...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Salaam kwa wana JF. Hivi mwanamke akijifungua kwa operasheni anatakiwa aanze kukutana na mwenza baada ya muda gani ( yaani kufanya tendo la ndoa) bila kupata matatizo?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani habari za humu ndani, Nina mtu anadate na mdogo wangu, ila tangu walipoanza kudate huyo mwanaume hajawahi kupizi hata siku moja, na mzee anapachimba kwa mda wa lisaa au dakika 55 bad luck...
4 Reactions
76 Replies
11K Views
Ndani ya wiki hii iliyoishia jana tarehe 17 /07 /2016 Hospital yetu ya taifa ya Muhimbili kitengo cha Moyo cha Jakaya Kikwete kilimfanyia upasuaji wa moyo mtoto wa miaka Mitano kwa kumuwekea kifaa...
1 Reactions
6 Replies
926 Views
HIV Infection Linked to Injection Use of Oxymorphone in Indiana, 2014–2015 Philip J. Peters, M.D., Pamela Pontones, M.A., Karen W. Hoover, M.D., M.P.H., Monita R. Patel, Ph.D., M.P.H., Romeo R...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Tafadhalin naomba wanijibu wataalamu tu! Mimi nilikuwa napenda kufanya mazoezi gym kwa mda ila kutokana na shuguli za huku na kule nimeacha kwa mda baada ya kuacha siku hiz mwil wangu umekuwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Even when their virus is fully suppressed by antiretroviral (ARV) treatment, HIV-positive people may have defective HIV DNA in their cells that can give rise to HIV-related proteins. These...
0 Reactions
2 Replies
581 Views
Surua ni mojawapo ya magonjwa ya kuambukiza yanayotisha kwa binadamu. Huu ni ugonjwa ulio na kiwango cha juu cha karibu asilimia 100 cha mashambulizi pindi mtu apatapo vimelea vya ugonjwa huu...
0 Reactions
8 Replies
42K Views
  • Redirect
Jamani naombeni msaada wenu hususani kwenye suala la Afya ambapo nimejaribu kutumia dawa za kawaida za Hospitali kuhusu Vidonda vya Tumbo(Alces) lakini bsdo naona ni tatizo hivyo nahitaji ushauri...
1 Reactions
Replies
Views
Wakuu, Naomba mchango na mawazo yenu. Nina ndugu yangu mzee kidogo anasumbuliwa na maumivu chini ya kitovu. Wako wanasema ni ngiri lakini sio huwa inajitokeza mara nyingi akiwa kwenye sehemu ya...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Back
Top Bottom