Habari zenu wadau,
Kuna ugonjwa umeanza kuenea kwa kasi ambapo ukienda hospital madaktari wengi wanadai kutouelewa huu ugonjwa hasa hospitali za mikoani,
Dalili zake zinafanya upande mmoja wa...
Nimekutana na huyu dada week mbili zilizopita. Amekuwa ni mtu mwenye huzuni kila ninapokuwa nae
Hatimae Leo kanisimulia tatizo linalomsibu .Hii hali ilianza toka alipovunja ungo miaka miwili...
JF Doctors
Ninataka nijue kama kuna madhara ambayo mwanaume anaweza kupata kutoshiriki tendo la ndoa wakati alikuwa amezoea kufanya hivyo kwa mara kwa mara na mke wake. Hii inatokea wakati...
Habarini wana JF,
Hivi kuna athari au madhara yoyote yanayoweza kujitokeza kwa mama au mtoto endapo mama hatafanya mapenzi tangu mimba ikiwa changa hadi siku ya kujifungua?
Kwa wale mlioteseke na madawa mbalimbali ya kupunguza uzito, kuvaa mikanda na kuhangaika kwenye magym na kubeba vitu vizito pamoja na kuteseka kufunga au kushinda bila kula na kusababisha vidonda...
Nimekuwa na sumbuliwa na vipele sehemu ya mgongoni na kifuani kidogo. Tatizo hili limenianza tangu mwaka 2006 mpaka sasa, nimetumia dawa mbali mbali za kujipaka lakini hali imekuwa haibadiliki...
Nilifanikiwa kupata mwenza wa maisha (kuoa) mnamo mwaka 2006 kipindi ninaoa mimi nilikua na uzani wa kilo 50 na wife alikua na kilo 42 maisha yalisonga tukapata mtoto wakwanza. Wife alijifungua...
Shirika la kimataifa la Save the Children limetahadharisha kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa homa ya manjano katika nchi za Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Angola.
Pia imesemekana kuwa hivi...
Naomba mawazo yenu katika tafiti hii ninayoifanya kuelewa tatizo au kero katika upatikanaji wa elimu, ushauri, na habari za kiafya. Mimi ni mfanyakazi wa afya ya jamii. Katika kazi zangu...
Nina tatizo kila nikinywa bia inapofikia ya tatu au ya nne huwa nashikwa na kwikwi, hivi ni kwanini inanitokea hivyo?
Suluhisho ni nini?
Pia Soma, Kwikwi kwa mtoto mchanga: Chanzo na Tiba
-...
Naomba kujua kama kuna watu hushauriwa na madaktari wasipande ndege mara kwa mara au kusafiri na flight za masafa marefu bila kutua na kupumzika kwa muda(non-stop flight).
Kwa yoyote aliepanda...
Mambo vp wadau
Nilikua naitaji kujuzwa kama kufunga uzazi kwa njia ya njiti ina madhara yoyote kiafya kuna mwenzangu amefunga uzazi kwa njia hiyo yaani ana bleed tu damu hazikati mwezi wa 4...
Habarini ndugu zangu
Mimi ni kijana wa miaka 25. Nipo maeneo ya kanda ya ziwa.
Hii ndo historia yangu ya ya kuanza kupiga punyeto. Mwaka 2013 ndo rasmi nilianzaga huu mchezo baada ya kusikia...
Aman ya Muumba wa mbingu na nchi iwe nanyi wadau.
Nina shida kidogo ningependa kushea nanyi ili mnipatie ushauri na pengine kutatua tatizo hili.
Nina mke wangu ana ujauzito wa miezi 4 kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.