Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari wadau.? Yaweza kuonekana ni ulizo la ajabu, ila kwangu limekua gumu. Kuna mtu ninafanya naye project moja siku ya pili sasa na huja ikatuchukua hadi week moja. Kazi hiyo inatulazimu...
0 Reactions
4 Replies
135 Views
Hello Wana Great Thinker, naombeni mwenye link ya group la wenye Kisukari aniunge please , Anitumie link au number , shukrani sana wapendwa ,
2 Reactions
29 Replies
439 Views
Habari za leo wakuu, Nina muda wa wiki mbili Sasa Niko porini, Limeibuka tatizo kwenye sikio langu la kushoto, Nimeenda hospitali nimetumia dawa nilizopewa lakini hali bado haijatengemaa...
3 Reactions
23 Replies
554 Views
Naumwa vibaya sana kama vile nachoka choka ukipimwa huna kitu ila unazìma zima tu sana sana kichwa. Sina kachanga sina presha ni nini? Tahadhari naomba watu ambao hawana ushauri wasicoment.
7 Reactions
69 Replies
1K Views
Hello Wana group , kuna mtu mwenye ushuhuda wa huyu Dr Daniel Nkya wa Kiboriloni Moshi anayetibu Kisukari type two ? Asante sana wapendwa,
1 Reactions
2 Replies
84 Views
Habari ndugu zangu wa JF ..kama heading inavyojieleza naomba msaada wenu kwa ushauri najua JF ina kila aina ya watu nimeamua Nije apa kwakuwa nina amini hii ni nyumba ya kila kitu. Tatizo langu...
5 Reactions
47 Replies
1K Views
Hello wadau, Naombeni kufaham kiwango cha hormone ya testosterone kikiwa juu Sana kwa mwanamke Kuna faida zipi Na hasara zipi
2 Reactions
4 Replies
116 Views
Ujumbe muhimu kwa [WANAWAKE WENYE CHANGAMOTO YA U.T.I NA P.I.D] Je wewe ni mwanamke unahangaika na ugongwa wa U.T.I SUGU na P.ID? Kama jibu ni ndio ningependa kuongea na wewe. Kwa jina naitwa...
0 Reactions
0 Replies
51 Views
Happy new year beautiful people. Dear nutritionists mlioko JF naomba mnishauri diet itakayonisaidia kurudisha kilo zangu zilizopotea. Nimekonda hadi nahisi watu wanahisi nina umeme(God forbid)...
22 Reactions
260 Replies
10K Views
Miaka 2 iliyopita nimekua nikiishi kwa kutumia bisacodl Nimeteseka sana. Mwaka huu nilisafr kwenda nyumban kwa wazazi nilikaa huko miezi 3 nilipokua NYUMBANI choo nilikua napata vzuri kabisa 💯%...
4 Reactions
10 Replies
233 Views
Wanabodi habari za mchana. Nimepata tatizo la kupata ganzi katika miguu wakati wa kukaa especially wakati wa kujisaidia katika choo cha kukaa!nikiinuka nakua napata ganzi sana! Naomba msaada...
0 Reactions
1 Replies
91 Views
CHANZO CHA PICHA,ISTOCK/BBC THREE Inawezekana ukafikiria kuwa ni jambo la ajabu kunywa mkojo wako kama 'kipimo cha kuishi' katika dharura kama hiyo lakini watu wengi katika maeneo mbali mbali...
1 Reactions
9 Replies
695 Views
Muktasari: Kifupi, kama unadhani kuwa tiba na kinga za maradhi ni vidonge na sindano pekee, basi umepotea, ulizia tena upya maana binadamu ameumbwa kwa namna ya ajabu sana na anapopatwa na...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Natafakari sana mchakato wa maji ya chupa pamoja na ubora wake kwenye mwili baada ya kughoshiwa, sina hakika kama yana tija kwenye afya ya mwili na naona wanywaji wakiongezeka sana wataalamu...
0 Reactions
29 Replies
10K Views
Habari za leo wakuu, Nasikia watu mtaani wakisema matumizi ya njia za uzazi wa mpango kama kuweka vijiti huchangia wanawake kuwa na matumbo makubwa, Je, wataalamu, Kuna ukweli wowote...
0 Reactions
12 Replies
390 Views
  • Redirect
Msaada ninasumbuliwa na tatizo la vidonda vya tumbo
2 Reactions
Replies
Views
Kuna MTU ana shida ya ngozi anatokewa na kipele kidogo kwenye ngozi baada ya Muda kidogo kinabadilika kinakuwa kikubwa kiasi chenye majimaji NDANI yake, akikitumbua kinapona baada ya Muda mfupi...
0 Reactions
0 Replies
75 Views
Kando na pipi za pamba, unajua ni bidhaa gani nyingine zinazoweza kusababisha saratani? Maelezo ya picha, Uuzaji wa pipi za pamba umepigwa marufuku katika jimbo moja huko India Uchunguzi...
0 Reactions
1 Replies
108 Views
Mambo 5 ya kujua kuhusu nimonia Pneumonia ni maambukizi kwenye mapafu. Mara nyingi husababishwa na bakteria au virusi. Ni ugonjwa unaoathiri mfumo wa kupumua. Watoto lakini pia watu wazima...
0 Reactions
0 Replies
113 Views
PUNYETO ni janga la vijana wengi na pengine hadi watu wakubwa kabisa. PUNYETO inaweza ikakutesa mwili, akili, roho na nafsi. Hata mimi nilikua huko, ila nimeweza kuacha na kuwa huru. Japo...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Back
Top Bottom