Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Je kuugua Mafua na kikohozi kwa muda mrefu Mara kwa Mara huweza kusababisha kuziba kwa baadhi ya mishipa na kusababisha mtu kupata tatizo la kutosikia vizuri?
1 Reactions
2 Replies
129 Views
Ndugu zangu, yaani nikiwa kwenye tendo, nashughulika vizuri tu. Ila sasa baada ya siku moja ya tendo, mwili unakua unachoka sana. Nakua na usingizi mzito hata mchana naweza lala masaa hata 5...
3 Reactions
11 Replies
232 Views
Habari za saa hizi wakuu, Niende kwenye mada husika. Nina mwaka wa tano naumwa sana tumbo na maumivu yakiwa yanahama sehemu mbalimbali za tumbo wakati mwingine kifuani, kwenye, mbavu na hata...
9 Reactions
3K Replies
850K Views
Maelezo haya yameegemea katika upande wa nadhari ya HIV/AIDS kwamba ni nadharia ambayo ni ya uongo/utapeli. Maelezo haya hayatolewi kama ushauri au maelekezo ya kitabibu. Mleta maelezo haya...
8 Reactions
141 Replies
27K Views
Nauguliwa na mtoto wa mwaka mmoja na miezi mitatu, anatapika na kuharisha kila akipewa chakula tangu juzi. Nilimpeleka jana kwa dr Koya pale Lumumba wakampa dawa lakini sioni nafuu yoyote na dawa...
1 Reactions
29 Replies
19K Views
Msaada wakuu naomba kufahamu hii miwani ni lens gani na bei yake Kwa anauefahamu
0 Reactions
2 Replies
90 Views
STDs: Aina za magonjwa ya zinaa, dalili zake na ni hatari kiasi gani? Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), zaidi ya watu milioni moja duniani kote wanaambukizwa magonjwa ya zinaa kila...
3 Reactions
11 Replies
764 Views
Utumiapo malimao ma2; carote2; tangawizi2; Na vitunguu swaumu viwili ukavisaga kwa pamoja kwnye blenda na kuhakiksha zinatoka glass 3 then unywe mara 3 kwa siku kwa muda wa siku tatu. Kufanya...
2 Reactions
44 Replies
35K Views
Yani vijana sasa hivi ni kavu kavu huku wakiwa na fikra ya kuchukulia aids kwa uwepesi sana. "aaah huyu haonekani kama ana ukimwi". "aaah siku hizi sio kama zamani ukimwi haupo kirahisi rahisi"...
15 Reactions
81 Replies
2K Views
Kuna hii hali ya vidoa vilivyopauka kutokea kwenye ngozi ya mtoto. Naomba mwenye ufahamu wa tiba yake ya asili au ya hospitalini maana tuneshatumia dawa unaenda na kurudi.
1 Reactions
4 Replies
98 Views
Habari wakuu mke wangu baada ya kupatwa na dalili za uchungu tumemfikisha hospital saa nne usiku, baada ya kufika akapimwa njia ikiwa centimeter 3 uchungu ukiwa unamuijia na kupotea baada masaa...
3 Reactions
32 Replies
933 Views
Amani iwe kwako mwanaJF unayesoma uzi huu. Mahitaji 1. Bamia mbichi 2 (zisizokomaa) 2. Bilauri ya maji (nusu lita) Maelekezo Safisha bamia kwa maji safi, kisha zikatekate vipande. Unaweza...
36 Reactions
67 Replies
6K Views
Wasalaam wana jamiiforum Kumekua na matumizi mabaya sana ya energy drinks Tanzania. Mbaya kuliko ni kwamba hadi watoto wadogo wa shule za msingi ni wanywaji wakubwa wa hivi vinywaji. Na...
7 Reactions
82 Replies
2K Views
Heshima kwenu wanajukwaa. Leo nataka niwape faida 7 wanazozipata wanaume wanaofanya mazoezi ya kunyanyua vitu vizito "wapiga nondo", kama haujawahi kufikiria kufanya aina hii ya mazoezi naamini...
0 Reactions
27 Replies
18K Views
Habari naomba kusaidiwa tatizo langu ambalo nimeishi nalo kwa muda mrefu sasa lakini bado sijalipatia majibu na limeendelea kunitesa. iko hivi miaka mitatu iliyopita niliamua kuachana kabisa na...
2 Reactions
20 Replies
313 Views
Saratani ya Matiti ni nini? Kwanza, Saratani ni ugonjwa unaosababishwa na kugawanyika kwa seli za kiungo chochote mwilini bila kufuata utaratibu wa kawaida hivyo kusababisha kuzaliwa kwa seli...
3 Reactions
2 Replies
476 Views
Poleni na majukumu. Mwanangu ana miaezi 8 jinsia ya kike amekuwa akisumbuliwa na joto kupanda hasa kichwani na kwenye tumbo. Nilimpeleka hospitali mara 3 hospitali tofauti tofauti lakini tatizo...
5 Reactions
53 Replies
1K Views
Embu wajuvi na wataalam wa mambo ya sirini mnisaidie, Ni Nini kinapelekea K ya mwanamke tena Bado ni mmbichi, kuwa ya baridi (Yaani joto liko chini mno). Na tiba yake ni Nini?
8 Reactions
50 Replies
1K Views
Habari wana MMU, natumai muwazima ndani ya jukwaa letu pendwa. Mimi ni kijana wa makamo niliye ndani ya ndoa sasa yapata mwaka wa tatu, na tatizo linalonikabili ndani ya ndoa yangu, nilikutana na...
11 Reactions
97 Replies
3K Views
Wanajukwaa mambo.Leo tupeane mawazo kidogo kuhusu hili swala ambalo limekuwa likileta sintofahamu,migogoro na hata kuvunjika kwa ndoa/mahusiano.Hii imeeathiri wengi hata jirani yangu yalimkutaga...
2 Reactions
41 Replies
1K Views
Back
Top Bottom