Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.. Niligundua hili tangu mwaka 2023 baada ya kushindwa kusex Kwani uume ulisimana ila nataka kuingiza tu nikamwaga na uume...
7 Reactions
68 Replies
4K Views
Habari wana JF! Kama kuna mtu aliewahi kutumia au mtaalamu wa dawa aina ya Amitriptyline naomba feedback + effects
4 Reactions
20 Replies
596 Views
Miezi kadhaa iliyopita nilikubwa na misukosuko mingi sana kimaisha na magonjwa mbalimbali makubwa kuninyemelea ikiwamo high blood presha. Nikiwa kijana kabisa mwenye ndoto za maisha yangu...
21 Reactions
43 Replies
4K Views
Habari wakuu! Hivi karibuni nimeanza kusikia Kelele kwenye Sikio Langu la Kushoto kama Mdudu au filimbi inalia Kwa Mbali. Hapo awali nilihisi ni wale wadudu wanaopiga kelele ardhini, lakini...
0 Reactions
5 Replies
250 Views
Wasalaam Wana JF. Ndugu wanaume tujihadhari sana na huu ushauri wa Prof Janabi anaetamba sana Mitandaoni kwasasa kuhusu kufanya diet. Mojawapo ya mambo anayosisitiza sana ni Kutokula Chakula cha...
3 Reactions
9 Replies
306 Views
Siku ya afya Duniani
2 Reactions
3 Replies
131 Views
Wadau naomba kujua ni kondomu zipi nzuri kwa tendo, yaani zile ambazo haziumizi na ambazo ukivaa na kufanya tendo kama vile unakula kavukavu. Ni zipi hizoo? Msaada plzzzz
9 Reactions
61 Replies
6K Views
Wakuu nina shida, mwanzoni nilienda kwenye polyclinic nikaambiwa nina UTI kali, so nikachoma sindano tano nimezimaliza juzi. Shida ni kua nikiwa nimelala, nikisimama ghafla nasikia maumivu makali...
0 Reactions
4 Replies
394 Views
Amani kwenu wote. Naomba kushare na ninyi hii dawa ambayo imenitibu kabisa viral infection. Msimu huu na tunaouelekea wa baridi, ukikoswa koswa na seasonal flu ni bahati. Nlialikwa iftar mahali...
4 Reactions
5 Replies
271 Views
Wakuu habari zenu, Kama nimevoandika hapo juu nimepima presha Leo na presha yangu ni kama hiyo nlioandika Ila sikuwahi kuwa na presha. Sasa wakuu ushauri wenu nianze dawa au nianze lishe ya...
2 Reactions
127 Replies
13K Views
Wakuu naombeni mniambie niende hospital gani ambayo nikifika tu nikiwaambia nimekuja kufanya check up watanipima magonjwa mbalimbali kuanzia kisukari, hepatitis, matatizo ya Figo, matatizo ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Vidonda vya tumbo ni moja ya magonjwa yanotusumbua sana miongoni mwetu na hii siyo Tanzania tu ni dunia nzima. Naleta huu uzi kwa maana wanasema sharing problem is half way of solving it. Hivyo...
2 Reactions
50 Replies
6K Views
Kwema wakuu nasumbuliwa sana na shida ya vidonda vya tumbo nimekunywa dawa napata nafuu hali inarudi pale pale nilikutwa na hpyrol nikameza dawa nikawa fresh niliporudi hosp kuchek nikakuta mdudu...
2 Reactions
29 Replies
8K Views
Habari wana MMU, natumai muwazima ndani ya jukwaa letu pendwa. Mimi ni kijana wa makamo niliye ndani ya ndoa sasa yapata mwaka wa tatu, na tatizo linalonikabili ndani ya ndoa yangu, nilikutana na...
14 Reactions
100 Replies
3K Views
1. Tunaendelea kudodosa yaliyomo kwenye kitachu Eating to Conceive by Lisa Olson. 2. Kazi yangu ni kufanya tafiti na kuwasilisha majibu kwa lugha tunayoishi nayo kila siku. Lengo tuelewe...
2 Reactions
0 Replies
190 Views
Nimeishi na mke wangu kwa mwaka mmoja na nusu. Alipata ujauzito mara ya kwanza katika maisha yake, ule ujauzito ulidumu kwa miezi 3 kisha ukatoka. Akapata ujauzito kwa mara ya pili huu ulikaa...
9 Reactions
92 Replies
3K Views
Habari wandugu Mwaka jana mwezi wa 9 mke wangu alipata tatizo lakuharibika kwa mimba ya miezi mitatu, akapewa dawa na akawa anakandwa na maji ya moto nyumbani baadae akawa anaendelea vizuri...
6 Reactions
51 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu, naomba msaada, ni kuhusu tatizo alilonalo mke wangu. Ana ujauzito wa takribani wiki 7 tatizo lake nikwamba anusumbuliwa na tumbo sana eneo la kuzunguka kitovu, hata baada ya...
1 Reactions
11 Replies
993 Views
Nina ujauzito wa wiki 24 Sasa ni triple baby, lakini tangu mimba Ina wiki 15 nilikuwa naumwa tumbo sana nakukaza kwenye kinena Hadi kiunoni. Vipimo nilifanya Tatizo hawakugundua,wiki 22 tumbo...
4 Reactions
22 Replies
398 Views
Back
Top Bottom