Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari wanajamvi wenzangu. Leo naomba NITOE BURE dawa 2 za Magonjwa sugu ya NGIRI na VITONDA VYA TUMBO kama Zawadi yangu ya CHRISTMAS kwenu. Dawa hizi siuzi bali tumia mazingira unayoishi...
4 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu habari za jioni!, Naomba niulize chanjo ya homa ya ini inapatikana kwenye hizi hospital kuu za mikoa kwa sisi tuliopo mikoani au hata kwenye hospital za wilaya? Na je vp gharama zake ni bei...
0 Reactions
5 Replies
311 Views
Naomba ushuhuda wa mtu aliyekuwa na bawasiri ya ndani akatumia dawa iwe ya hospitali au Tiba mbadala akapona atusaidie na sisi maana tumetumia hizo dawa za kienyeji mpk tumechoka Hela tu inaenda...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
A
Kuna tabia imeibuka au yawezekana ipo kwa muda mrefu, nasema hivyo kwa kuwa sikuwahi kuelewa kuhusu hilo siku za nyuma lakini baada ya hili nitakalozungumza hapa kutokea nikishuhudia, nimepata...
0 Reactions
4 Replies
287 Views
Habarini ndugu zangu. Katika kuujali mwili wangu nataka nifanye check up ya mwili mzima kuanzia kichwani mpaka miguunii nijue maendeleo na afya ya viungo vyangu vya ndani. Ni hospital gani...
2 Reactions
9 Replies
420 Views
Mimi nikiamka jua likitoka nakua mzima had jion giza likiingia naanza kuumwa mafua usiku mzima kias hadi natumia mdomo kupata pumzi. Hii Hali Ina mwaka huu wa 3 Mchana mzima kabisa, Pia naomba...
0 Reactions
3 Replies
119 Views
Habarini wakuu! Mtoto wangu mwenye umri wa miezi 11 ametoa hiki kinyesi, kina shida yoyote kwa anayefahamu? Ninaomba msaada tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
145 Views
Wakuu, Kitovu changu kina weupe unaosababishwa na vitu kama unga unga, japo hakuna maumivu yoyote lakini ningependa kufahamu hasa hili linasababishwa na nini.
2 Reactions
17 Replies
223 Views
Habari zenu wanajamvi, Leo ningependa kufundishwa njia zitakazo niwezesha kuwa mtu wa kujiamini niwapo mbele ya watu. Nasikitika sana juu ya tatizo hili ambalo toka utotoni mwangu hii nimegundua...
5 Reactions
119 Replies
29K Views
Afya ya akili ni muhimu sana, kama akili haipo sawa na mambo mengine hayaendi wapo wanaoteseka kwenye 𝐌𝐚𝐡𝐮𝐬𝐢𝐚𝐧𝐨, 𝐧𝐝𝐨𝐚, 𝐮𝐜𝐡𝐮𝐦𝐢, Wezi, wachawi, magonjwa sugu, ukatili wa kijinsia, Dhuluma, Rushwa...
2 Reactions
15 Replies
244 Views
Salamu,vyakula ni vitamu,ila yapo makundi ukitumia Kwa wingi sana huenda vikakusababishia Canser. 1.Nitrates 2.Alcohol 3.Fried Food(Vyakula vya kuoka) 4.Trans Fats 5.Canned Tomato 6.Food Dye(Rangi...
8 Reactions
76 Replies
1K Views
Wasalaam Wana JF, Hii habari nimeitoa kwenye group la WhatsApp, ni ya kweli na imemtokea Jamaa ambaye tupo nae kwenye group la WhatsApp la Liverpool One Family. Anaanza kusimulia Habari zenu...
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Habari wana jamii forum, nimekuja na issue moja, Kuna hili tatizo linanisumbua mwaka wa pili sasa lilianza mwaka juzi mwezi wa tatu nikaangaika nalo hadi mwezi wa 5 likawa limekwisha kabisa. Iko...
0 Reactions
2 Replies
98 Views
Habari ndugu wana JF, Leo nimependa kuzungumza nanyi mada kuhusu vyuo vikuu kufundisha ASTASHADA na STASHAHADA. ni ukweli usiopingika sera ya elimu inabidi kufanyiwa marekebisho kwasababu vyuo...
0 Reactions
3 Replies
153 Views
Hakuna Nusu ya Mwezi kwenye kucha inamaanisha tezi dhaifu Ambayo inaweza kusababisha mabadiliko ya hali ya unyogovu kupata uzito na kukonda kwa nywele. Kucha kukatika kama nyufa kama kwenye...
2 Reactions
3 Replies
800 Views
UKIUMWA NA MARADHI YA KICHWA KATIKATI YA UTOSI NI DALILI INAYO ONYESHA KUWA UNAHıTAJI UNYWE MAJI YA KUTOSHA NA CHAKULA. CHENYE AFYA. UKIUMWA NA KICHWA KWA MBELE UTOSINI INAONYESHA UNAHITAJI UPATE...
1 Reactions
1 Replies
115 Views
Kawaida, nafasi za kupata Stroke (kiharusi) ni kubwa kutokea Bafuni kwa sababu tunapoanza kuoga, tunaanzia Kichwani, ambayo ni njia mbaya. Ikiwa unaanzia kichwa kwanza, damu hupanda kwa haraka...
3 Reactions
10 Replies
377 Views
fizi zinaliika, meno yanang'oka. ni ni dawa? najua JF Ina kila mtaalamu naomba niishie hapo. ninatanguliza shukrani.
1 Reactions
9 Replies
203 Views
Habari za asubuhi wana JF, Leo nimependelea kushare nanyi baadhi ya tiba za nyumbani za matatizo ya mfumo wa umeng'enyaji chakula ambazo zinaweza kutumika kama huduma ya kwanza au tiba ya kuponya...
0 Reactions
6 Replies
180 Views
Habari wakuu.. Naombeni msaada naona nina allergy na manukato (perfumes & body spray), zinanipa mafua makali sana.. Na hii sio nikipulizia mimi tuu hapana, hata nikikaa na mtu alojipulizia basi...
1 Reactions
7 Replies
182 Views
Back
Top Bottom