Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

  • Sticky
Salaam Wakuu, Natumai nyote mpo salama. Nimeleta uzi huu kama sehemu ya kujihamasisha mimi na kuwahamasisha wengine kufanya mazoezi Soma: Umuhimu wa kufanya mazoezi Natambau wengi wetu...
7 Reactions
41 Replies
5K Views
  • Sticky
MASWALI YALIYOULIZWA NA BAADHI YA WADAU KUHUSU TATIZO HILI Mambo vipi? Nina Tatizo la Kutoa shahawa mapema Sana ndani ya dakika 1 tuu then bao la pili napiga dakika 10 -- 15. Nimejaribu kutumia...
10 Reactions
265 Replies
223K Views
  • Sticky
Hellow wapendwa, Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula...
52 Reactions
2K Replies
398K Views
  • Sticky
Habari wana JF, Hii thread imekusanya topic zote zilizokuwa sticky's zikiwa awali zimewekwa kwa urahisi wa kuwafikia/kuipata watumiaji mbali mbali ambao wanahitaji kuelewa baadhi ya mambo katika...
26 Reactions
63 Replies
80K Views
  • Sticky
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU Naomba kujua mtoto mchanga inabidi aanze kuongea akiwa na umri gani,kwa kuzingia wale wanaowahji na wanaochelewa.Na je kuna namna unavyoweza kutambua...
2 Reactions
425 Replies
138K Views
  • Sticky
Wakuu, Tunaomba ushauri wenu, kwa wale ambao specialists wa magonjwa haya ya ngozi. Tunauliza hivi kwa niaba ya watu wengi ambao wamekuwa wanahangaika kupata suluhu ya matatizo haya ya Mba...
14 Reactions
2K Replies
1M Views
  • Sticky
Mada hili inahusu matatizo ya Miguu kuwaka moto na namna ya kukabiliana nayo. Maswali... Nimekuwa na tatizo la miguu yote miwili kuwaka moto sana, hata kutembea nashindwa kukanyaga...
9 Reactions
834 Replies
438K Views
  • Sticky
Wajameni tunaulizia kwa wataalamu wa JF dawa gani za kuongeza mbegu za kiume yaani idadi zake na kuongeza nguvu za kiume ukiacha viagra. Tuwe serious kutoa msaada. Ufafanuzi wa jumla wa tatizo...
3 Reactions
2K Replies
603K Views
  • Sticky
Wakuu nimekutana na makala hii nikaona nianzishe mada hapa ili tuweze kujadiliana na wataalam wetu na watufahamishe ukweli wake na uwongo wake au kutupa ushauri zaidi ya huu niuonao katika mada...
38 Reactions
181 Replies
195K Views
  • Sticky
Kufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusisha na mapenzi na msichana au mwanamke aliye katika siku zake za kisichana..Kuna madhara mengi yanaweza yakatokea na kwa kawaida si madhuri...
5 Reactions
569 Replies
457K Views
Mtoto wa jirani yangu hataki kula kabisa ana umri wa mwaka mmoja na nusu na ana kilo Tisa(9) tumeshajaribu kumpa virutubisho vya aina vyote Ila bado hataki kula tumempa km seven sea syrup...
2 Reactions
18 Replies
183 Views
MAAMBUKIZI au Infection ya masikio ni tatizo kubwa kwa watoto, sikio limejigawa sehemu kuu tatu ya ndani, nje na kati. Matatizo mara nyingi yanashambulia sehemu ya kati ya sikio (Otitis media)...
0 Reactions
0 Replies
63 Views
Habari wanaJF Mwaka jana nilileta uzi kuomba msaada baada ya masiku ya kuhangaika na kukosa msaada kwa takriban miaka mitatu. Tatizo lilikuwa kukosa nguvu za kiume baada ya kuchepuka na aliekuwa...
7 Reactions
50 Replies
966 Views
Wakuu habari za Asubuhi, Natumaini wote mko wazima! Naomba mtu anefahamu Dawa au Suluhisho la tiba za Nyama za Puani kwasababu mwanzoni niliambiwa ni Surgery na nilifanya mwaka jana mwezi wa...
0 Reactions
1 Replies
98 Views
Tarehe 10/04/2024 nilikutana kimwili na mpenzi wangu ambae sikuwa nae kwa muda nilikuwa safarini. Nilipokutana nae sikutumia kinga kwan ni muda mrefu sana nilipima nae na tulikuwa negative...
7 Reactions
71 Replies
2K Views
JF doctor habari. Week iliyopita jumanne nilijikuta napata uchovu mkubwa sana, na maumivu kwenye mabega. Uchovu ulidumu siku mbili tu, then nikaanza kupata maumivu kiunoni na mgongoni kwenye...
0 Reactions
11 Replies
253 Views
Habari wakuu, Mzazi wangu anasumbuliwa na ugonjwa wa sukari moyo na figo …kwa siku za karibuni hali imezidi kubadilika anashindwa hata kutembea ,,akila pia anatapika... Nimefikia hatua ya...
0 Reactions
4 Replies
127 Views
Habari wakuu Nina matumaini nyie wazima naombeni msaada kwa hili nina ndugu yangu akaifuata akiomba ushauri Kuwa amepata mwanamke anayetarajia kumuoa lakini huyu binti ana tatizo la moyo kila...
1 Reactions
15 Replies
301 Views
Habari ndugu Wana jf. Natumaini nyie wazima wa afya Tena,niko hapa kuwaomba ushauri na uelewa juu ya tatizo hili la kichwa kuwa kizito sehemu ya nyuma bila kupoteza wakati Moja kwa Moja niende...
1 Reactions
18 Replies
276 Views
Leo hii ukienda hospitali za seriakali afu ndo ujauzito wa kwanza ukitoka upasuaji haujakuhusu basi mshukulu Mungu. Enyi watu wa afya wahurumieni akina mama upasuaji usio wa lazima ni faida kwenu...
18 Reactions
89 Replies
2K Views
Sijui jina halisi ni lipi ila sisi tumezoe kuita ivyo nikama funza ila huwezi kumuona kwa macho wanapenda kukaa kwe vidole vya miguu wanawasha sana na kuuma ukipatumbua sehem yenye nyungu nyungu...
0 Reactions
1 Replies
175 Views
Kuna watu hawaamini mpaka leo kuwa ngoma ni ugonjwa dhaifu kama magonjwa mengine pindi unapoingia mwilini kwa mara ya kwanza. Ikiwa mwili wako ni mwili wenye kinga imara ambayo inaweza kupambana...
9 Reactions
61 Replies
2K Views
Leo nimekaa na mke wangu tunakula ghafla maziwa yakamuuma akaniambia mtoto anakojoa ndani ndo Mana yananiuma, maana mtot ana miezi miwil alikuwa amelala. Nikamwambia acha Imani zako za kiswahili...
2 Reactions
14 Replies
477 Views
Hi! Wakuu nafanya mazoezi ya gym almost miaka kumi now, Kuna mazoezi nayapenda zaidi ni squat ,na mengineyo, Squat napendelea kwa lengo niwe fit haswa pia kwajili ya self defence na afya...
5 Reactions
58 Replies
1K Views
Ni hivi, Mimi nikiongea sana au hata story yakuadithia kwa dakika kadhaa huwa koo linakauka na sauti inapotea na kukwaruza kwaruza, Ni kwann eti? Au kuna chakula natumia ndo chanzo cha...
2 Reactions
22 Replies
323 Views
Kwa mujibu wa wataalamu wanasema kuwa kama ilivyo muhimu kwa chakula na maji katika mwili wa BINADAMU basi usingizi nao ni muhimu hivyo hivyo. Ndani ya mwili wa binadamu kuna kitu kinaitwa...
2 Reactions
4 Replies
168 Views
  • Redirect
Wakuu kumbe ulaji wa hizi tende zikichanganywa na korosho na maziwa matokeo yake yanakuwa muruwa hivi kwenye mambo ya sita kwa sita hlf wakuu hamsemi
2 Reactions
Replies
Views
Habari zenu wakuu?? Nimeona nianzishe Uzi huu ili kupeana up dates kuhusu vyakula/dawa asiri na matibabu yake Kwani nina amini hata kabla ya hospital's kulikuwa na matibabu ya asiri lakini yame...
5 Reactions
20 Replies
493 Views
Back
Top Bottom