Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
  • Sticky
Hellow wapendwa, Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula...
51 Reactions
2K Replies
388K Views
  • Sticky
Salaam Wakuu, Natumai nyote mpo salama. Nimeleta uzi huu kama sehemu ya kujihamasisha mimi na kuwahamasisha wengine kufanya mazoezi Soma: Umuhimu wa kufanya mazoezi Natambau wengi wetu...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
  • Sticky
Wakuu, Tunaomba ushauri wenu, kwa wale ambao specialists wa magonjwa haya ya ngozi. Tunauliza hivi kwa niaba ya watu wengi ambao wamekuwa wanahangaika kupata suluhu ya matatizo haya ya Mba...
13 Reactions
2K Replies
1M Views
  • Sticky
Mada hili inahusu matatizo ya Miguu kuwaka moto na namna ya kukabiliana nayo. Maswali... Nimekuwa na tatizo la miguu yote miwili kuwaka moto sana, hata kutembea nashindwa kukanyaga...
9 Reactions
829 Replies
434K Views
  • Sticky
MASWALI YALIYOULIZWA NA BAADHI YA WADAU KUHUSU TATIZO HILI Mambo vipi? Nina Tatizo la Kutoa shahawa mapema Sana ndani ya dakika 1 tuu then bao la pili napiga dakika 10 -- 15. Nimejaribu kutumia...
10 Reactions
265 Replies
221K Views
  • Sticky
Wakuu nimekutana na makala hii nikaona nianzishe mada hapa ili tuweze kujadiliana na wataalam wetu na watufahamishe ukweli wake na uwongo wake au kutupa ushauri zaidi ya huu niuonao katika mada...
38 Reactions
181 Replies
193K Views
  • Sticky
Kufanya mapenzi wakati wa hedhi ni kitendo cha kujiusisha na mapenzi na msichana au mwanamke aliye katika siku zake za kisichana..Kuna madhara mengi yanaweza yakatokea na kwa kawaida si madhuri...
5 Reactions
569 Replies
452K Views
  • Sticky
Wajameni tunaulizia kwa wataalamu wa JF dawa gani za kuongeza mbegu za kiume yaani idadi zake na kuongeza nguvu za kiume ukiacha viagra. Tuwe serious kutoa msaada. Ufafanuzi wa jumla wa tatizo...
3 Reactions
2K Replies
593K Views
  • Sticky
Habari wana JF, Hii thread imekusanya topic zote zilizokuwa sticky's zikiwa awali zimewekwa kwa urahisi wa kuwafikia/kuipata watumiaji mbali mbali ambao wanahitaji kuelewa baadhi ya mambo katika...
26 Reactions
63 Replies
79K Views
  • Sticky
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU Naomba kujua mtoto mchanga inabidi aanze kuongea akiwa na umri gani,kwa kuzingia wale wanaowahji na wanaochelewa.Na je kuna namna unavyoweza kutambua...
2 Reactions
425 Replies
134K Views
Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa. Nikaona kabisa huu ni UKIMWI...
23 Reactions
149 Replies
2K Views
Ugonjwa wa pangusa ni ugonjwa wa zinaa unaoambukizwa kwa njia ya ngono. Ugonjwa huu unajulikana kwa kitaalamu kama ‘chancroid’. Ugonjwa huu huleta vidonda vikubwa sana kwenye sehemu za siri na...
7 Reactions
23 Replies
334 Views
Punyeto/kujichua ni nini? Kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi. Kwa hivyo katika kupiga punyeto hamna hofu ya kuambukizwa...
2 Reactions
825 Replies
217K Views
Kuna magonjwa ambayo kwa hapa Tanzania ukiyapata ngumu sana kutibiwa nayo ni: 1. Saratani (Cancer) 2. Vidonda vya tumbo 3. Kisukari Ongezeeni mengine hapo
10 Reactions
120 Replies
3K Views
FIBROIDS:UVIMBE KATIKA KIZAZI UNAOWATESA WANAWAKE Katika siku za hivi karibuni,wanawake nchini wamekuwa wakilalamika kuwa kila wanapokwenda kujifungua basi hukutwa na uvimbe katika nyumba ya...
1 Reactions
3 Replies
142 Views
Wapendwa habari, Mimi ni mwanachama mwenzenu humu jf, Nina mtu mzima mmoja ndugu na mimi anasumbuliwa sana miaka miwili sasa na vidonda kiasi cha kufika shingoni,nafuu yake ni kula kwa wingi na...
3 Reactions
16 Replies
317 Views
Ndugu zangu. Tumekua tukitishwa sana na hawa dada zetu na mama zetu kwamba mwanamke akikulisha wewe mwanaume damu yake ya hedhi kuwa unakufa pole pole, jambo hili limepelekea pia baadhi ya...
2 Reactions
5 Replies
155 Views
Habari za muda huu Naomba kujuzwa,kufahamishwa na kueleweshwa. Je, ukiwa unatumia dozi ya pep unaweza kupata maambukizi ikiwa utakutana na mtu mwenye maambukizi..sina uhakika kama ana umeme ila...
4 Reactions
3 Replies
69 Views
Mimi ni kijana wa miaka 25 mkazi wa Dar es Salaam. Kwa muda mrefu sijawa katika mahusiano nikiwa na deal tu na mishe zangu, sasa leo nimepata nafasi ya kula tunda la binti mmoja hivi ambaye...
16 Reactions
193 Replies
13K Views
Mara nyingi tumekuwa bize tukizungumzia madhara au athari za kujichua kwa wanaume bila kuwahi kuzungumzia madhara hayo kwa wanawake. Ukweli ni kuwa wanawake nao wanajichua au wanajipiga punyeto...
5 Reactions
55 Replies
8K Views
Na PHARMACIST SOLOMON MADHARAKWA MWANAMKE Mwanamke hujichua kwa kutumia mikono yake au kifaa chochote atakachoweza kukiingiza ukeni au kujisugulia, ili mradi tu kisimuumize ,na kimsisimue Haya...
3 Reactions
16 Replies
19K Views
Habari wakuu msaada wenu tafdhali, Nimekuwa na tatizo la thyroids miez 7 sasa niko katika dozi. Hali imepekea kupungua sana kwa nguvu za kiume yaani shemeji yenu nikimuandaa hali uume...
5 Reactions
135 Replies
6K Views
Kuna madai mengi kutoka hizi sanitarium clinics kwamba wanaweza kutibu kansa aina zote na kisukari aina zote Ila binafsi simfahamu mtu yeyote aliyekuwa na magonjwa haya akatibiwa akapona. Mwenye...
3 Reactions
78 Replies
4K Views
Kwema ndugu zangu? Mimi ndugu yenu nina shida ya hasira sana. Na hivi karibuni tatizo langu limezidi. Leo ilitokea nilipata hasira sana baada ya kuudhiwa sana, mpaka nywele zikasimama na macho...
4 Reactions
64 Replies
2K Views
Ndugu zangu, vijana, wazee na watoto ukimwi upo, na una endelea kuteketeza nguvu kazi ya familia na Taifa vibaya sana. Utaskia waombolezaji na watu wa karibu wakijifariji na kujipa moyo wa...
21 Reactions
143 Replies
4K Views
Hosplan Clinic ikishirikiana kwa pamoja na hospitali ya “Tiba Health Care Polyclinic “ wanawaletea madaktari bingwa kutoka INDIA kwa tiba za Uti wa mgongo, mifupa, ubongo na viungo . Madaktari...
0 Reactions
0 Replies
64 Views
Habari wanaJamiiForums leo nimeona niweke kitu changu ambacho kilinisumbua miezi kadhaa iliyopita. Niende kwa ufupi niliwahi kuteleza ktk tamaa za vijana na wala sikuwahi kufikiria mbele lakini...
2 Reactions
14 Replies
461 Views
HAPA NI ELIMU YA ASALI TU Unakuta mtu anaasali nyingi hajui matumizi yake. Niulize chochote kuhusu asali nitakujibu hapa natoa na elimu yake Dawa ya Asili ya Kikohozi Sugu VIFAA 1.Kitunguu...
5 Reactions
100 Replies
4K Views
Wapendwa naomba msaada nimeishiwa nguvu za kiume miezi miwili sasa hata nimekuwa kero kwa mwenza wangu. Uume umepungua hata ningebanwa mkojo haustuki unabaki umelegea. Maumivu ya kiuno ni makubwa...
11 Reactions
109 Replies
7K Views
Habari zenu Wanajamvi. Wakuu naomba msaada Mwaka 2020 Mwenyezi Mungu alinipa mtoto wangu wa tatu ambaye alikuwa anajicho moja kubwa na lingine lilikuwa la kawaida, mtoto uyu alifariki 2022...
2 Reactions
8 Replies
187 Views
Back
Top Bottom