JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Miaka nenda, miaka rudi nikingia toilet, nakuta kifo cha mende, nikingia sebuleni nakuta kifo cha mende, nikingia chumbani nakuta kifo cha mende, nikingia kitandani loooh salale ndio, majanga...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Which one will win between Italy and Sweden?
0 Reactions
0 Replies
357 Views
Km ww ni mtz na umepitia au upo ktk mahusiano na hujawahi kukutana na zawadi za 1;pipi ya kijiti(big bom) 2;apple[emoji2] [emoji3] [emoji2] either ww ndio ulitoa au ulipewa km hujapitia hii stage...
0 Reactions
5 Replies
953 Views
Katika pita pita zangu humu nimekutana na uzi wa Wanawake wa Jf wakutane . Sasa na mimi nimeona siyo Vibaya na wanaume tukakutana kwenye Uzi wetu dhumuni ni kujadili; ____ Maujanja ya kusaka...
0 Reactions
46 Replies
2K Views
Mara baada ya sirikali ya awamu ya tano kuingia magogoni hawa memba wenzetu waliotikisa hili jukwaa wakati wa uongozi wa awamu ya nne wametoweka kama vile mvua za pwani,tafadhali mwenye taarifa...
2 Reactions
59 Replies
3K Views
Kapeace naomba ukipata off uje nikupikie bilinganya za nazi na hata ukitaka mbichi pia wewe njoo uchume shambani zipo nyingi sana na ni kubwa sampuli hii.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
*...... Boyfriend wako akiwa anakupa mizawadi kedekede unasema MAHABA* *Lakini kaka yako akifanya hivyo kwa mkewe unasema LIMBWATA*[emoji23][emoji23] *Hivi wadada aliyewaruhusu kuvuta bangi nani?*
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadogo zangu hamjambo, wakubwa wenzangu habari za saa hizi.... Hum ndani kuna avatar za kila namna.... zipo zinazochekesha zingine zinazotisha balaa zipo zinazovutia Na zingine zinasisimua. Kifupi...
5 Reactions
131 Replies
7K Views
Mume akamwambia mke wake: "funga macho yako tufanye maombi akaanza kwa kimombo" ..lord i pray for grace,i pray for mercy i pray for joy, i pray for love, i pray fo hope, i pray for glory i pray...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa nini hawa wake zetu, kabla ya kuolewa wanakuwa, watulivu sana na heshima, na adabu juu, ukishaoa na kuweka ndani tu, wanajitutumua kwa viburi, ujeuri, dharau, upendo, masikilizano, utoweka na...
0 Reactions
7 Replies
656 Views
Wana chit chit namtafuta huyu mrembo wa kimasai anaitwa masai dada mtu yeyote akimuona sehemu anishtue tafadhali....
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Mimi ni mjasiliamali najihusisha na ufugaji wa kuku wa kienyeji na sasa ni mwaka wa nne. Tangu juzi kuna jogoo anawika kila ikifika saa mbili na nusu usiku (2:30). Kwa uzoefu wangu wa miaka minne...
1 Reactions
52 Replies
13K Views
  • Redirect
Wakuu habari, Kwa muda mrefu ndugu yetu DJ Sepetu amekuwa akihoji wenzie sasa Leo ni zamu yake kuhojiwa NB Interview ni free.Kila mtu anaruhusiwa kuuliza swali
0 Reactions
Replies
Views
Wakuu habari, Kwa muda mrefu ndugu yetu DJ Sepetu amekuwa akihoji wenzie sasa Leo ni zamu yake kuhojiwa NB Interview ni free.Kila mtu anaruhusiwa kuuliza swali
1 Reactions
49 Replies
2K Views
Wakuu, Habari za asubuhi? Wengine ndio tunatoka job since yesterday ndio tunaingia majumbani kwetu now. As wakuu wengine washatangulia church, hebu watu wajitolee waendeshe ibada hapa sasa hivi...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Nani yupo Tabora tutafutane? Nipo hapa maeneo ya Chuo cha uhazili kwa nje kuna Pub kali sana mpya....kama upo huku sogea hapa...jumamosi hii tutatafuna tu karanga za ndani ya hiyo geti hapo
1 Reactions
12 Replies
2K Views
C&P UTAFITI Kwa mujiub wa utatiif liuofanywa na Prfo. Jmebekillo wa chou kiuuk cha Dodoam, haukna haaj ya kuwa na mpaiinglo kweney heruif katiak maneon. Cha mhuimu ni kuaw na mpaiinglo kweney...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Mwanaume ni binadamu wa jinsia ya kiume, kwa maana anafaa kuwa mume. Ndiyo sababu kwa kawaida anaitwa hivyo aliyefikia utu uzima au walau ame balehe . Kabla ya hapo huwa anaitwa mtoto wa kiume...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom