JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
  • Sticky
1. Ndugu TAMPERA NGUNAMABWOKO-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari ya wavulana Tabora mwaka 1992. 2. Ndugu GOGOMOKA MISALABA-Mhitimu wa kidato cha sita shule ya sekondari Minaki mwaka...
90 Reactions
2K Replies
394K Views
  • Sticky
Wandugu, Thread hii ni mahususi kwa chochote unachokumbuka enzi unasoma shule ya msingi. Mimi binafsi nakumbuka enzi zile nasoma Issale primary school kule wilayani Mbulu miaka ya 1986-1991...
12 Reactions
419 Replies
75K Views
  • Sticky
~ Got chased by the headteacher and deputy head. A whole crowd of us in school uniform were in one area our school had forbidden to enter, otherwise could result in expulsion. Only 2 were caught...
47 Reactions
662 Replies
168K Views
  • Sticky
  • Redirect
Jamani hapa bongo utakutana na daladala zina majina kiboko,mimi natupia baadhi nawe tupia yako hapo chini. 1. Majungu mliyoyapika sasa mtayapakua 2. Nenda kaseme tena 3. Gusa unate 4. Flag ya...
79 Reactions
Replies
Views
  • Closed
  • Sticky
Kila jukwaa lina watu ambao wanakuwa ni members ‘zaidi ya wengine' tokana na mapenzi ya kila member. Katika majukwaa yote hili la CC limekithiri tabia za uchochezi na undumilakuwili kwa...
111 Reactions
91 Replies
79K Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
256 Reactions
154K Replies
4M Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
111 Reactions
380K Replies
10M Views
Mimi binafsi sina IPhone na wala sijali kabisa, vipi wewe?
18 Reactions
117 Replies
2K Views
Unajua kwanini tuna vioo majumbani na wengine kwenye mapochi? Kupendeza! Unajua ni kwanini mara nyingi huchagua viwalo? Kupendeza! Unajua kwanini baadhi yetu hupenda watu watuangalie na...
47 Reactions
9K Replies
223K Views
Chumba cha mtihani ni mahala ambapo pameja vihoja vingi sana hasa kwa level kuanzia Darasa la 4 hadi elimu ya juu hata Masters! Katika uzi huu naomba tukumbushane vihoja ambavyo tumekutana navyo...
0 Reactions
16 Replies
699 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
913 Reactions
1M Replies
37M Views
Hii nchi mpaka tufikie mwaka 2030, tutakuwa tumeona mengi kwa kweli. Kijana mmoja ameipamia bodaboda kwa mbele alipokuwa kwenye harakati ya kumkimbiza mdudu wake aliyemponyoka kwa bahati mbaya...
0 Reactions
2 Replies
82 Views
Habari za Jumapili wakuu; Katika maisha mahusiano, kitu kinachoitwa mapenzi kuna wakati hulazimika kupiganiwa ili yadumu. Hii ni kutokana watu wawili wanaopendana wana makuzi na tabia tofauti...
19 Reactions
237 Replies
5K Views
1. Hujawahi kunywa pombe 2. You've never watched porn 3. You've never cheated on your patner 4. You've never fought with someone since you were born 5. Kukaa siku nzima bila kula
12 Reactions
79 Replies
804 Views
Inakuwaje WanajamiiForums Watu tunatofautiana, kuna baadhi ya watu wametawaliwa na aibu katika kipindi fulani katika umri wao, hivyo huwafanya kukosa fursa/ vitu fulani katika kipindi hiko. Kuna...
0 Reactions
1 Replies
41 Views
Binadamu tumeumbwa na hisia, ata tukijiweka bize sana katika utafutaji; mwisho wa siku tutaishia kwenye hisia tu. Inawezekana kuna sababu nyingi zinaotufanya tusiwe na wenza; ila mwisho wa siku...
5 Reactions
96 Replies
752 Views
Kama umelelewa na ndugu, watu baki, au na mama pekee au baba pekee kutokana na kufiwa na mama, au baba ama wazazi wote. Tuwakumbuke na kuwaombea waendelee kulala mahali pema peponi. Nasi tutafuata...
25 Reactions
200 Replies
4K Views
Habari. Imani Yangu Wote Mnaendelea Vyema Na Majukumu Ya Kila Siku. Turudi Kwenye Mada Hapo Juu Kuhusu Lifestyle Ya Mwanamke Ndio Itaamua Mwanamke Kuolewa Au Kutokuolewa. Wanawake Wengi...
15 Reactions
45 Replies
939 Views
Maisha ni mwalimu mzuri.Kuna Ile tabia mtu anakaribia kumaliza chuo au anakuwa amemaliza kabisa chuo anakuwa anapanga kabisa kwamba Mimi nikienda mtaani sifanyi kazi chini ya hela kiasi Fulani...
3 Reactions
20 Replies
687 Views
Ndugu waumini, mimi mudahuu ndio nimemalizia kula daku wewe je?
1 Reactions
14 Replies
227 Views
Habarini wapendwa, Niende moja kwa moja kwenye mada mimi niniaminishwa kuwa kusoma kwa bidii na kufaulu vizuri sana moja kwa moja unafanikiwa ila jamani yote nimeyafanya ila mafanikio sasa duh.
2 Reactions
14 Replies
165 Views
Mi mkongwe sana humu jf ila ndo hvyo,mambo ya ID tena okay iko hiv Mi nilisoma hapo udsm, miaka hyo ya 2009-13 Aisee ni moja ya vijana tuliopata matokeo mazur 6,sio TO lakin. Ila ni kijana...
16 Reactions
60 Replies
1K Views
Huyu member kapotea sana. Kama upo mkuu ningependa kujua kwa nini umekuwa kimya sana
7 Reactions
31 Replies
867 Views
Back
Top Bottom