Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Kuna restaurant nimeingia nikaona wameandika kuna mtori ... dah... Ile kuagiza mtori si ndo nikagundua wana saga na blender ndizi zilizochemshwa wanachanganya na nyama ndo wanasema mtori ...
14 Reactions
53 Replies
3K Views
Nauliza wajuzi, hiki ni kinaitwaje na kina kazi gani, kwenye mapishi ya chakula masna nimekikuta kwenye seti ya vifaa vya mapishi niliyonunua
0 Reactions
4 Replies
573 Views
Ndg zangu. Kipindi hiki ni wiki moja watoto wakiwa wameanza likizo napenda sana kuwafundusha mapishi mbalimbali. Tukiwa jikoni yaani ni kama hotelier vile. Sasa sijui wife anawaza nini ndoa...
4 Reactions
20 Replies
657 Views
Wana jamii naomba maujuzi ya kupika wali kwa gesi hadi kuukausha kwake.
2 Reactions
109 Replies
5K Views
Kuna matunda ya asili mengine yanapatikana kwenye maeneo fulani tu, unakuta umekua ukiyala na baada ya kuondoka hapo kwenda sehemu nyingine huyaoni tena. Leo nimekaa nimeyakumbuka matunda ya...
6 Reactions
75 Replies
3K Views
Wana maakuli kwema? Moja kwa moja kwenye mada, mazee kila mtu ana msosi anaopenda ambao akiukuta kwenye sherehe mambo yanakuwa byee. Nikianza na mimi, bwana sherehe bila pilau nyama na...
0 Reactions
63 Replies
2K Views
Mahitaji: mchele, maji, chumvi,mafuta bila kusahau moto wako wa gesi, mkaa,au kuni etc.hatua ya kwanza washa moto wako, kisha injika sufuria lako jikoni,unapoinjika tu akikisha mchele wako nao upo...
1 Reactions
4 Replies
987 Views
Wadau habari? Naomba kujua namna nzuri ya kuandaa UYOGA maan ni kitu ninachotamani sana kujua maandalizi yake ya upishi hasa uyoga ambao umechumwa kutoka shambani sio wa kukaushwa. Mwenye kuweza...
1 Reactions
3 Replies
334 Views
Mahitaji ya uji kwa watu 2-4 1. ngano ambayo haijakobolewa kikombe kimoja kikubwa cha chai(mug) 2. Maji vikombe viwili vikubwa vya chai 3. Maziwa ya chai kikombe kimoja kikubwa cha chai 4...
2 Reactions
68 Replies
28K Views
Tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo kinapika kitimoto chenye Quality yaani ukigusa utatamani kesho uje tena? Kama mnavyojua Utamu wa kitimoto upate na ugari au Ndizi za...
50 Reactions
1K Replies
114K Views
Huwa najiuliza hii nyama ya nguruwe aka PIG au kwa yule pori, Ngiri.. ilikuaje ikapata jina, Kitimoto! Ni moja kati ya majina yake maarufu. [emoji6]mkishajibu mnifundishe kupka makange yake..
2 Reactions
7 Replies
834 Views
Za asubuhi wakuu, No offense to my muslim folks, naomba kuuliza kama kuna mtu ameshawahi kukuta sehemu wanauza supu ya mdudu. Kiukweli Mimi kuzunguka kwangu kote nlibahatisha sehemu kuna supu ya...
11 Reactions
69 Replies
10K Views
Nani ajuaye atupe maarifa kwanini chakula cha Biriani kinapendwa kwa Ijumaa kuliko siku zingine zote? Kina mahusiano na ibada? Kila mgahawa unaopika Biriani lazima usisitize neno Ijumaa.
1 Reactions
2 Replies
277 Views
Habari zenu wapishi. Naomba kufahamu jinsi ya kuandaa viungo vya chai ya rangi. Yaani niweke viungo pekee bila majani ya chai iwe tamu na kunukia vizuri.
11 Reactions
108 Replies
31K Views
Mkopoa! Mahitaji mayai,karoti,hoho,chumvi,kitunguu maji, mkate Na mafuta ya kupikia (mimi nimetumia hoho na kitunguu kidogo sana)viungo inategemea na mapenz Yako Jinsi ya kupika vunja mayai...
10 Reactions
44 Replies
1K Views
Karibuni akina kaka na akina dada. Kila mtu anaweza kutoa uzoefu wake. Ni mchanganyiko gani wa matunda huleta juice yenye ladha nzuri ambayo kila mtu anaweza kuikubali? Sio kwa matumizi ya...
8 Reactions
165 Replies
106K Views
Tanzania ina wapishi wengi wazuri, lakini wachache tu wameweza kufikia kiwango cha juu cha ubora na umaarufu. Hapa kuna wapishi watatu bora nchini Tanzania: David Mwamtoa David Mwamtoa ni mpishi...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimepanga kuwa vegetarian kutokana na sababu za kiafya na nataka kuona kama nina nidhamu ya kuweza kuwa vegetarian. Naombeni maoni, elimu, ushauri na uzoefu wenu kwenye eneo hili maana sijui...
1 Reactions
9 Replies
408 Views
Natumain wazima na weekend inaenda vizuri Niwaletee recipe ya kupika makange ya samaki Mahitaji Samaki aliekaangwa Kitunguu maji na kitunguu swaumu nyanya za.kawaida(saga) na nyanya ya...
29 Reactions
191 Replies
3K Views
Back
Top Bottom