Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Leo ukisimamishwa ili ujitambulishe kuwa wewe ni nani, kwa vyovyote vile utaanza kutaja majina yako, ukiendelea mbele zaidi unaweza kutambulisha anuani unayotoka ama nasaba yako. Majina uliyonayo...
14 Reactions
142 Replies
4K Views
Dunia ya sasa inaendeshwa kupitia kanuni za sayansi na teknolojia ambazo zilivumbuliwa na wanasayansi katika karne zilizopita. Kanuni hizi siamini kuwa zinazima ndoto ya uvumbuzi wa kanuni mpya...
12 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakati wa vita baridi cold war pamoja na mashindano ya kutngeneza silaha kali duniani weapons race, mashirika ya ujasusi yalikua yakichuana vikali sana,hasa pande mbili kati ya USSR na USA.USSR...
26 Reactions
79 Replies
13K Views
Hakika! Hebu tujadili ulimwengu wa treni zenye umbo la kubana na kwa nini ni muhimu kwa kufikia kasi kubwa kama vile 200 km/saa. ## Treni Zenye Umbo la Kubana: Umuhimu wa Kasi ### 1. Umuhimu wa...
3 Reactions
61 Replies
2K Views
Kitabu cha ufunuo kinazungumza habari ya siku za mwisho ambavyo mataifa yatajikusanya kupigana na jeshi la malaika wa Mungu likiongozwa na Yesu. Kwa maoni yangu ni kuwa binadamu watapambana na...
7 Reactions
53 Replies
6K Views
Siku kadhaa zilizopita nilikuwa naongea na mmoja wa marafiki zangu wa karibu nilimuuliza swali hili, “Je ni upi msemo sahihi kati ya kupanga ni kuchagua au kuchagua ni kupanga.” Mara zote...
2 Reactions
2 Replies
321 Views
  • Redirect
Salamu wana jamvi, leo nimeona niwaletee chapisho linaloelezea kitabu maarufu sana cha hadithi kinachojulikana kama’’The DaVinci Code”. Kitabu hiki nimekisoma hivi karibuni nikaona si vibaya...
1 Reactions
Replies
Views
Habari Wana JF. Bila shaka asilimia kubwa ya Watanzania na watu duniani kwa ujumla tunaamini juu ya uwepo wa Mungu. Hata hivyo kuna matabaka mbalimbali yatokanayo na aina ya imani tunayokuwanayo...
12 Reactions
30 Replies
886 Views
CHERNOBYL SERIES(2019) Ni series inayoigiza hadithi ya maafa ya nuklia yaliyokea mnamo mwaka 1986 ndani ya iliyokuwa shilikisho la jamhuri ya kisovieti(USSR).Movie hii imekuwa ikipata sifa sana...
8 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari za jioni wana JF mada ya leo pia ni sensitive kidogo maana inagusa imani za watu ila kutokana na kuwepo hitaji la kuweka rekodi sawa nimeona nilete uzi huu ili tujifunze zaidi Na sababu...
61 Reactions
503 Replies
119K Views
Salute comrades NB: bandiko hili nimetumia maandiko ya biblia hata kama unaona haikuhusu nakusihi endelea kusoma unaweza pata kitu. Katika dunia yetu hii tumeona ni sentensi ya maneno kadhaa tu...
143 Reactions
425 Replies
50K Views
Tunatambua juu ya uwepo wa viumbe mbalimbali katika matabaka tofauti tofauti zaidi zaidi tumepata kuyajua haya kwa njia ya imani. Leo hii tunatambua kuwa kuna kiumbe chenye uhai katika daraja la...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za Mida hii Ndugu Zangu Naomba kuanza kwa kuwatakia Sikukuu njema ya Kuzaliwa kwa Yesu kwa wale wote wafuasi wa imani ya Kikristo na hope mnaenjoy sana Happy noela Kabla ya yote...
10 Reactions
160 Replies
15K Views
Na ndivyo ilivyo. Baada ya kifo chako tu, utapotea kwenye uwepo wa huu ulimwengu kwa muda wa miaka 100 baada ya hapo utazaliwa tena kwa mara nyingine Kipindi cha hiyo miaka 100 ndiyo huitwa LRP (...
36 Reactions
171 Replies
10K Views
Natumai mko poa pamoja na hizi tozo[emoji1]. Mind-body dualism hii ni dhana kwamba akili(mind) na mwili(body) wa binadamu ni vitu viwili tofauti kila kimoja kinajitegemea kivyake.Dhana hii ilikua...
22 Reactions
135 Replies
15K Views
Why is Eve blamed for eating the fruit? Because people are not good at reading comprehension. There’s a garden, and in it are a pair of humans, but those humans literally cannot distinguish good...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
PART-1 "Mapambano tunayowaitia hayana mahusiano na mijadala ya Socrates wala mawazo ya plato wala diplomasia za Aristotle. Yana mahusiano na mijadala ya mauaji, ulipuaji na uharibifu.Serikali ya...
18 Reactions
41 Replies
10K Views
Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi...
120 Reactions
2K Replies
55K Views
Habari wakuu 1. Binadamu hawafi, miili ndo hufika mwisho kuoperate 2. Sisi ni immortals/spiritual beings hatufii 3. Hakuna motoni wala mbinguni 4. Sio kila mwenye mwili wa mtu ni...
28 Reactions
154 Replies
6K Views
Ndio maana wayahudi wanasema Yesu bado hajaja. Maana wanadamu tuiahidiwa Yesu Kristo atazaliwa na atakufa msalabani. Kifo chake kitakuwa alama ya ukombozi kwa Mwanadamu kutoka ktk utumwa wa...
15 Reactions
93 Replies
5K Views
Back
Top Bottom