International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

"Kuna jumla ya wahamiaji millioni 2.3 wanaoishi SA, idadi hii inajumuisha waafrika kutoka nchi zingine za afrika, wachina, wabangladesh, wahindi na waeurope wasio wazawa wa SA. Milioni 1.6 ya...
12 Reactions
32 Replies
4K Views
Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson amemteua Therese Coffey kujaza pengo ambalo limeachwa wazi na waziri wa ajira na pensheni Amber Rudd ambaye amejiuzulu kwa kutokubaliana na namna ambavyo...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO) takwimu hizo ni kwa mataifa yote duniani Taarifa hii imetolewa leo tarehe 10 Septemba ikiwa ni siku ya kupiga vita matukio ya watu kujiua...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mzuqa! Jamaa yani ana sura kama ya Nyau. Anapenda sana vita. Hajui kwa ushauri wake angesababisha uchumi wa dunia kushuka. Pongezi kwa Trump kwa kubadilisha maamuz na kumpuuza jamaa. Iran na...
10 Reactions
41 Replies
6K Views
Ilikuwa wakati wa kihemko mnamo Septemba 8, 2019 katika ibada ya Jumapili ya moja kwa moja kutoka SCOAN, ambapo Nabii TB Joshua chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu alikuwa kwenye jukwaa na wana...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
The Taliban said on Tuesday that it would continue to fight against US forces in Afghanistan. The group's spokesman, Zabihullah Mujahid, said to AFP, "We had two ways to end occupation in...
0 Reactions
1 Replies
389 Views
Bilionea huyo aliyechoche biashara kupitia mtandao(Internet) ameondoka rasmi katika nafasi ya Mwenyekiti Mkuu wa Kampuni ya Alibaba Hatua hii ya Jack Ma, inakuja ikiwa ni baada ya muongo mmoja wa...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
There is something special about huyu Mtu sio mbinafsi na anasimamia ukweli sana! Tuna viongozi wachache sana kama hawa duniani!
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Robert Mugabe ameondoka. maandiko yametimia: Kila nafsi itaonja mauti. Pamoja na kuondoka kwake maswali ni mengi yamebaki. Moja ya maswali ni kisa cha mauaji ya mvua za vuli. Mapema miaka ya...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
Watu 23 wameokolewa kutoka katika meli urefu wa futi 656 inayojulikana kwa jina la Golden Ray baada ya kupinduka ikiwa katika pwani ya Brunswick huko Georgia Marekani Kikosi cha uokoaji...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Lebanon's Hezbollah Israeli drone in southern town Al-Manar TV says Israeli drone is now in the hands of Hezbollah's fighters after it was shot down in the town of Ramyah. 1 hour ago...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Serikali ya Sierra Leone imesema kuwa itaunda kamati ya kuchunguza tuhuma za walinzi wa Rais Julius Maada Bio kuwashambulia wanahabari Wanahabari hao wameripotiwa kushambuliwa kwa kipigo wakati...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Trump awashangaza tena Wamarekani kwa bwabwaja zake, asema: Vimbunga vishambuliwe kwa bomu la nyuklia! Aug 26, 2019 06:01 UTC Donald Trump  Rais Donald Trump wa Marekani ameendelea kutoa matamshi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
London, Uingereza (AFP). Shirika la Ndege la Uingereza (BA) limefuta karibu safari zote kutoka au kuingia Uingereza, baada ya kuibuka kwa mgomo wa kwanza wa marubani ambao umesababisha kuvurugika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mugabe didn’t fail Zimbabweans, the West did and here is proof How to turn blind...
0 Reactions
2 Replies
714 Views
Hali ni mbaya sana Tehran haitamaniki watalii wamekauka Wananchi wanakaribia kufikia kikomo cha uvumilivu Katika count za mashhad na birjand wananchi wameanza kuichoka Serkali wanahasira na...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Hezbollah says shots down Israeli drone over Lebanon Home / Middle East / Lebanon A Hezbollah fighter holds an anti-aircraft missile (R), as he takes his position with his comrade between orange...
1 Reactions
1 Replies
655 Views
Moto unaoendelea kuwaka katika msitu wa Amazon nchini Brazil umevuka mpaka na kuteketeza hekta elfu moja na mia saba za misitu nchini Bolivia. Ofisa wa Idara ya Misitu ya eneo la Santa Cruz...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom