International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Je ni kweli dini yao ni ya amani kama wasemavyo wenyewe humu? https://twitter.com/visegrad24/status/1781802292548673704?t=u-VrM9jzxIx-C2pXqt8iog&s=19
2 Reactions
24 Replies
741 Views
Raisi Isaac Hezrog wa Israel amethibitisha kuwa nchi hiyo haijawahi kupata kipigo na madhara tangu vita vya Yom Kipur isipokuwa mwaka huu wakati wa waziri mkuu Benjamin Netanyahu. Katika...
10 Reactions
31 Replies
3K Views
Hivi majuzi Baraza la Wawakilishi lilipitisha mswada ambao unaweza kusababisha kupigwa marufuku kwa TikTok nchini Marekani. Sheria inamtaka ByteDance, mmiliki wa China wa TikTok, kuuza maslahi...
7 Reactions
19 Replies
702 Views
Waziri wa mambo ya nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amesema uhusika wa Israel kwenye shambulio lililofanyika nchini Iran hivi karibuni ni jambo ambalo lahitaji kuthibitishwa. Waziri huyo...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
What’s the latest hate weapon being used against Indian Muslims? Tokea Oktoba 7, Vyama vya Siasa nchini India vimeanza kutoa tahadhari dhidi ya Uislam, na kufanya ndio silaha yao kuu katika...
4 Reactions
125 Replies
4K Views
Baada ya makampuni ya uchina kuteka soko la magari ya umeme duniani kwa sasa. Umoja wa ulaya kupitia kauli iliyo tolewa na Rais wa umoja huo sasa kuja na kampeni maalumu ya kudhibiti utitiri wa...
19 Reactions
116 Replies
7K Views
https://www.youtube.com/watch?v=1Ite7nd1omc&ab_channel=HaberL%C3%BCtfen
0 Reactions
5 Replies
352 Views
Inaonekana wametumia vidrone vya kawaida sana, picha zinazoonyeshwa ni kama zile drone za kwenye maharusi au wanazotumia kurekodia kwaya. Pia nimeshangaa gazeti la Jerusalem post kuweka picha ya...
17 Reactions
45 Replies
2K Views
Leo yuko nafasi ya nne. Kapitwa na Mark Zuckerberg Alipanda haraka Sana na anashuka kwa kasi kubwa. Ni kwa nini
1 Reactions
24 Replies
926 Views
Marekani imeandaa makombora ya microwave ambayo yanaweza kuzima mitambo ya nyuklia ya Iran, Mary Lou Robinson, mkuu wa zamani wa Kitengo cha Microwave cha Jeshi la Anga la Marekani amethibitisha...
0 Reactions
5 Replies
229 Views
Baada ya mkwamo wa muda mrefu uliochangiwa na baadhi ya wabunge wa Marekani wenye mahaba na Putin hatimaye bunge la Marekani limepitisha kifurushi kipya cha $billion 60 kwa vita vya Ukraine...
14 Reactions
51 Replies
2K Views
Harakati za kijeshi za Israel eneo la Rafaha zimeongezeka sana katika siku mbili zilizopita. Hilo linatokea wakati dunia ilihofu sana kwamba angejibu kwa nguvu shambuio la Iran lililopiga kambi...
3 Reactions
7 Replies
449 Views
Kwa mara ya kwanza tangu kuundwa kwa Taifa la Israel mnamo 1948, serikali ya Marekani ambayo imekuwa mshirika mkuu wa siasa na harakati za Israel pale Mashariki ya Kati, imeeleza kusudio lake la...
4 Reactions
12 Replies
521 Views
Watawala wapya wa Niger wamefuta mahusiano na taifa la Ufaransa ambalo ndilo lilikuwa mkoloni wao. Ufaransa baada ya kusita sita hatimae ilishindwa hoja na ikaamua kuongoka. Marekani nayo...
3 Reactions
6 Replies
576 Views
Habari zenu wakuu Naomba kupewa ABC kuhusu hii kitu nimekuwa nikifatilia since wayback lakini sijaanza kushiriki mana sijui natakiwa niwe na kitu gani haswa chamsingi Nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
92 Views
HISTORIA YA ISRAEL Ukiongelea Taifa la Israel lazima ufafanue unaongelea Israel ya zamani au Israel ya sasa. ISRAEL 1.Modern Israel (Israel ya sasa) 2.Ancient Israel (Israel ya Zamani) Kujua...
33 Reactions
551 Replies
15K Views
Nimeshangazwa sana na uwezo wa Iran kurusha makombora juu ya Bunge la Israeli "Knesset". Tumezowea Hamas na Hezbollah hata wakipiga rocket tutasikia maeneo ya mipakani huko na miji ya pembezoni...
22 Reactions
75 Replies
3K Views
Kwamba Iran ikishambulia kutokea ndani mwake huko Iran, basi hapo itakua ndio vita kamili ya moja kwa moja ambayo itapelekea anguko la Ayatollah na maugaidi yao. Ifahamike kwamba Israel imekua...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Operation Northwood Ni false flag operation ya kijeshi iliyopangwa na wizara ya ulinzi ya marekani kwa kushirikiana na CIA mwaka 1962 kipindi cha Vita baridi ili kupata sababu ya kuivamia kijeshi...
6 Reactions
10 Replies
659 Views
Jordan imekiona kitisho cha vita baina ya Iran na Israel na imeanza kujiweka mbali na Israel. Katika kujitetea kwanini walidungua droni za Iran zilizokuwa zikielekea Israel,nchi hiyo ya kifalme...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
Back
Top Bottom