International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

  • Redirect
Huo ndio ukweli mchungu Waarabu wajikite tu kwenye kuzalisha mafuta mambo ya Vita siyo fani tangu Ulimwengu uasisiwe Israel inatisha 🐼 Kwako Malaria 2 ukiwa Rafah
0 Reactions
Replies
Views
Wanaukumbi. Afisa mkuu wa Iran ameonya kuwa Iran inaweza "kupitia upya" mafundisho yake ya nyuklia iwapo itashambuliwa na Israel. Israel inaendelea kuitishia Iran, tutafikiria kujenga silaha za...
4 Reactions
26 Replies
1K Views
Defense Sector Panicking:Israel is defenseless against Iranian Missiles 16 APRIL 2024 By now, most of the world knows that Iran launched a multi-faceted attack against Israel about 48 hours...
4 Reactions
16 Replies
625 Views
  • Redirect
Serikali ya Iran imesema haijaona mashambulizi yoyote badala yake imezima majaribio ya drone za Israel tatu kwa kuzidungua kabla hajazijaleta madhara nchini mwake ===== Vyombo vya habari vya...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
1. Ni habari njema kuwa si Israel, Iran wala awaye yote mwenye kutaka vita. 2. Haipo shaka kuwa hakuna asiyejua Apr 1, Damascus shambulio lile lilikuwa ni la kipuuzi: akiwamo hata kwa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kama unafikiri huu ndio mwisho wa response ya Israel kwa Islamic Republic huielewi Israel Serikali ya kislam ya Iran imejaa ma agent wa Israel tegemea matukio mengi hivi karibuni
0 Reactions
Replies
Views
Tulishasema mara nyingi humu. Watawala wa nchi za Kiarabu na Israel damudamu Juzi wakati Iran ikiwapelekea fire wazayuni, Jordan ilishirikiana bega kwa bega na uingereza na Marekani kutungua...
4 Reactions
60 Replies
3K Views
  • Redirect
Niaje waungwana Naona hata hapa ni wayahudi wa wachache wa bonyokwa ndio wamejitutumua ku report kashambulio ka Israel, ambako kimezuiwa mara moja bila kuleta madhara. Kila mtu anakumbuka...
4 Reactions
Replies
Views
Kabla chochote hakijafanyika wanaambiana. Hapa Iran anadai US anaomba Iran ijifanye kama inapigwa ili Israel ionekane iko vizuri au imejibu. Dunia ilipofika. Wawakilishi wa Iran, Russia...
15 Reactions
95 Replies
2K Views
Habari waungwana Wana jamii forum wenzangu. Inshu ya vita mashariki ya kati imekaa kimkakati sana. Ukweli ni kwamba mhusika mkuu Bado hataki kujulikana ambaye ni mmarekani, lengo limekwisha...
4 Reactions
26 Replies
489 Views
  • Redirect
Dunia nzima imeripuka na taarifa na dhana kuwa Israel imejibu mapigo ya Iran.Wengine wakaenda mbali na kusema Israel imepiga Iraq,Syria na hiyo Iran. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Iran...
1 Reactions
Replies
Views
Nchi ya UAE inayounganisha na jimbo la Dubai ni miongoni mwa mataifa tajiri sana duniani.Kila kitu wamependelea kiende kiteknolojia hata pasipokuwa na umuhimu wa namna hiyo. Maendeleo hayo ndiyo...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Nimeshangazwa sana na uwezo wa Iran kurusha makombora juu ya Bunge la Israeli "Knesset". Tumezowea Hamas na Hezbollah hata wakipiga rocket tutasikia maeneo ya mipakani huko na miji ya pembezoni...
20 Reactions
73 Replies
3K Views
Marekani ilikua inatumia nguvu nyingi kuzuia operesheni ya kupiga Rafah, ila kwa sasa imelegeza kama njia ya kuzuia Israel kupiga Iran. Ikumbukwe mojawapo wa sababu kuu kwanini inabidi Iran...
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Habari JF Ili mjue nani mwamba Kati ya Iran na Israel fuatana na mimi twende pamoja. IRAN NA ISRAEL,NANI MWAMBA? Tarehe 13/04/2024,Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC) ambayo ni tawi la...
0 Reactions
8 Replies
498 Views
  • Redirect
Wanaukumbi. 🇮🇱🇮🇷 Israel ilishambulia Isfahan ya Iran kwa kutumia ndege zisizo na rubani Vyombo vya habari viliripoti hayo kwa kurejelea taarifa kutoka upande wa Iran. Mji muhimu kimkakati...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari za asubhui imeripotiwa Leo Israel kafanya revenge ndogo ndani ya Iran kwa kile kilichosubiliwa na wengi imekuwa kama suprise maana Israel ilionesha haitaipiga Iran hivi karibuni pengne hadi...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Israel bombs Iran and Syria 18 APRIL 2024 Israel has reportedly launched Missile attacks against Iran, in an escalatory "response" to the Iran retaliation over Israel Bombing Iran's Embassy...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Tayari Israel imejibu shambulio lililofanywa na Iran dhidi yake takriban wiki iliyopita. Miripuko imesikiaka kwenye mji wa Isfahan ambapo Iran imekiri kutokea kwa shambulio hilo Shirika la habari...
1 Reactions
Replies
Views
Kwamba, mabomu yote yale aliyofyatua Irani, hayajafanya chochote? Israel kamfanyia dharau Irani Siku zote Irani huamini kwamba, Israel ni mnyonge wake, hawezi na hatoweza kumpiga miaka milele...
20 Reactions
147 Replies
4K Views
Back
Top Bottom