Rwanda is looking for 1.3 billion U.S. dollars to fund the construction of the proposed Isaka-Kigali standard gauge railway (SGR) that links Rwanda and Tanzania, a senior Rwandan official said...
Katika tukio hilo Askari 20 wamejeruhiwa wakati walifanya jitihada za kutuliza ghasia hizo katika gereza la Acarigua
Gereza hilo lilijengwa kwa ajili ya kuhifadhi Wafugwa 250 lakini kwa sasa lina...
Saudia kuwanyonga wanazuoni 3 mashuhuri baada ya Ramadhani
Utawala wa Aal-Saud umepanga kuwanyonga wanazuoni watatu mashuhuri nchini Saudi Arabia baada ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, ikiwa ni...
WORLD NEWS
MAY 24, 2019 / 5:34 PM / UPDATED 3 HOURS AGO
Pentagon accuses Iran's Revolutionary Guards over tanker attacks
WASHINGTON (Reuters) - The U.S. military on Friday accused Iran’s...
Baada ya kupambana sana, leo tumeshuhudia kitu ambacho inawezekana kwa wana demokrasia wetu kikawa ni ndoto ama kigumu sana kukifanya.
Waziri Mkuu wa kwa Malkia aka Uingereza atangaza kuachia...
Tume ya uchaguzi nchini Malawi imetangaza matokeo ya awali ya uchaguzi wa urais uliofanyika juzi Mei 21, ambapo kiongozi wa upinzani anaongoza kwa wingi wa idadi ya kura zilizopigwa.
Kiongozi...
Uturuki: Tumejiandaa kukabiliana na vikwazo tarajiwa vya Marekani
Mei 23, 2019 07:51 UTC
Serikali ya Uturuki kupitia Waziri wake wa Ulinzi imetangaza utayarifu kamili wa nchi hiyo kwa ajili ya...
Marekani imemfungilia mashitaka mapya muasisi wa tovuti ya uvujishaji wa nyaraka za siri Wikileaks, Julian Assange, ikimtuhumu kwa kuiweka Marekani katika kitisho cha kukumbwa na "madhara makubwa"...
Buenos Aires. Rais wa zamani wa Argentina, Cristina Fernandez de Kirchner amefunguliwa mashitaka ya rushwa, siku tatu baada ya kutangaza kuwania nafasi ya makamu wa rais katika uchaguzi wa Oktoba...
Plastic straws, drink stirrers and cotton buds will be banned in the UK from next April, the government has confirmed in its latest attempt to stem the flow of waste and promote the use of...
Meli za kivita za Marekani zafika mipaka ya China, hali ya taharuki yaendelea
Mei 20, 2019 10:42 UTC
Jeshi la Marekani limetuma meli zake za kivita ambazo zimefika karibu na visiwa vya China...
Serikali ya Marekani yalegeza kwa muda vikwazo vya kibiashara ilivyoweka wiki iliyopita dhidi ya kampuni ya simu ya China Huawei, hatua inayolenga kupunguza hali ya kuvurugwa wateja wake.
Hatua...
Maeneo nyeti 300 ya Saudi Arabia na Imarati kulengwa na makombora ya Ansarullah ya Yemen
Mei 22, 2019 04:11 UTC
Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetangaza kuwa mashambulizi yaliyojiri Mei 14...
Kanda ya video imeonyesha kuwa nyota wa Hollywood Arnold Schwarzenegger akishambuliwa katika hafla moja nchini Afrika Kusini.
Gavana huyo wa zamani wa jimbo la California mwenye umri wa miaka 71...
Erdogan: Uturuki kuunda na Russia mifumo ya makombora ya S-500
Mei 19, 2019 12:49 UTC
Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema kuwa nchi yake na Russia kwa pamoja zitaunda mifumo ya makombora...
Mamlaka za Taifa hilo zimeeleza kuwa uwepo wa Tembo kwa wingi unakuza migogoro ya Wanyama na Wanadamu kwasababu Tembo hao hufanya uharibifu wa vitu mbalimbali yakiwemo mazao
Imeelezwa kuwa zuio...
Algeria na Argentina zimethibitishwa na kutambulika rasmi na Shirika la afya ulimwengu WHO kuwa zimetokomeza ugonjwa wa malaria.
Hatua hii inamaanisha katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita...
Maduro aliamuru Jeshi la Venezuela kuwa tayari kukabiliana na askari vamizi wa Marekani
Mei 23, 2019 11:08 UTC
Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ameliamuru jeshi la nchi hiyo kujiweka tayari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.