Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Habari za muda huu wana JF, Nchi yetu ni kubwa na Ina miji na vijiji vingi lakini Kuna baadhi ya maeneo unaweza ukahisi sio sehemu ya nchi yetu mpaka ukajiuliza maswali kuwa Hawa watu waishio...
86 Reactions
985 Replies
88K Views
Ndio ni ratiba ya siku nzima kutoka mawio hadi machweo. Nataka kujifunza kitu. Pia kama mstaafu ni wewe mwenyewe sio mbaya ukashare pia. Sharing is caring.
11 Reactions
100 Replies
4K Views
Jielekeze kwenye tangazo la gazeti la Mwananchi hapa chini. Kuna Daktari anaitwa Sanjay Pandey toka India anakuja nchini kufanya tiba ya mambo mbalimbali ikiwamo "gender assignment surgery"...
4 Reactions
22 Replies
648 Views
Aisee wadau za saa hii? Naandika huu ujumbe nikiwa naendesha, lakini hawa Trafiki wa Nzega hapa njia panda ni wa kukata mapanga.
4 Reactions
27 Replies
735 Views
Ukisikia neno uchumi je kichwani kwako unaelewa kitu gani? Wapo ambao watasema kuwa ni masuala ya fedha tu, wapo wataozungumza kuhusu uwepo wa shughuli ambazo zinahusisha mzunguko wa fedha katika...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari zenu WanaJF mko poa kabisa, Bila kuchelewa niende kwenye mada ya leo, Niko Dodoma kibiashara nilichojione kinaleta raha Fulani hivi, aisee Dodoma kutamu jamani. Nilianza na upande wa...
35 Reactions
323 Replies
12K Views
Kundi la Vijana wanaojihusisha na Uhalifu Maarufu kama 'Panya road' wamevamia nyumba moja Kawe mtaa wa Mzimuni usiku wa kuamkia leo Septemba 14, 2022 na kujeruhi watu watano na Kumsababishia kifo...
7 Reactions
249 Replies
18K Views
Wakuu kwema, Kuna habari sina uhakika kama ni ya kweli au ni uzushi tu, kwamba kuna Panya Road eti kuna eneo mjini kati walivamia tena na kufanya uhalifu na kuua! Sidhani! Nashauri IGP aanze...
2 Reactions
1 Replies
435 Views
Nchi nyingi zenye mlengo wa uislamu au majimbo mengi ya nchi yenye mlengo wa uislamu uwa ni kitovu cha ugaidi na maeneo hayo usifika kwa kuzalisha makundi mengi ya Kigaidi. Sisemi tu kwa sababu...
36 Reactions
659 Replies
15K Views
Basi najiululiza nyani siku hizi wameendaga wapi? Afu huyu nyani baada ya kubadilika alijigawa vipi kuwa mwanamke na mwanaume wale wanaoekewa haya mambo wanieleze maana duh! Mimi naona Ni uchuro...
1 Reactions
46 Replies
8K Views
Ikitokea umepewa fursa ya kuwa kiongozi kwa siku moja, unapata nafasi ya kufanya mabadiliko katika sehemu uliyopo na kubalisha kitu kimoja kwenye sehemu uliyopewa uongoze. Ikitokea ninafursa ya...
2 Reactions
44 Replies
622 Views
1) Kama ingetakiwa paka awe na kitambulisho cha NIDA Basi asingesajili kwa alama za vidole bali angesaini kwa alama ya Pua kwa sababu kwa kupitia pua zao ndio utapata upekee wa kila paka...
34 Reactions
65 Replies
3K Views
1) Samaki hupata huzuni/msongo wa mawazo (depression) kama apatavyo binadamu 2) Kuna Samaki wanaishi zaidi ya miaka 70 ila yupo aliyeishi miaka 112 anaitwa Bigmouth buffalo 3) Kibaolojia kuna...
5 Reactions
8 Replies
556 Views
Msumi ni Kilometer chache sana kutoka stendi ya mabasi ya Magufuli. Sasa cha ajabu ni kwamba Msumi ipo kama vile hata wakuu wa Mikoa waliopita hapo Dar na wasasa si ajabu hawajui iko upande gani...
25 Reactions
176 Replies
5K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Niende moja kwa moja kwa mada yetu, kuna baadhi ya wanaume wanakula vizuri hata kuliko familia zao. Katika pita zangu huku na kule huko...
96 Reactions
411 Replies
13K Views
Msingi wa India-Bhutan, taa ya ushirikiano kati ya nchi jirani za India na Bhutan, hivi karibuni umetangaza wito kwa mapendekezo kutoka kwa mashirika yanayotafuta msaada wa kifedha kwa miradi...
0 Reactions
0 Replies
34 Views
Jana nilienda coco, parking fees imehamia hadi kwenye boda, Tena Kuna watu Kama wawili sijui ni maaskari wake, maana wako na redio calls kabisa,ni mi wakali balaa. Zamani kulikuwa na jamaa...
1 Reactions
10 Replies
387 Views
Jina la Kanisa: Bikira Maria Mama wa Mungu Cathedral Umbo: Msalaba Ukubwa: 13,000sqm Idadi ya waumini 9,816 Minara mikubwa 4. Milango 19 Altre ya walei na ya makrelo Kisima cha ubatizo...
30 Reactions
143 Replies
10K Views
Halafu kuna mitandao ukipiga ile mia na sita ukaenda angalia usajili inasoma namba na jina lililosajili namba hiyo bila kuambiwa uweke nida! Hii nayo si sawa
0 Reactions
1 Replies
97 Views
Ndugu zangu, Nawasalimu. Kwanza nianze moja kwa moja kwa kuorodhesha baadhi ya sifa za mtu asiye na hadhi ya kuwa kiongozi. 1. Hulazimisha Kukubalika na kila mtu. 2. Hana maono . Tatizo kubwa...
3 Reactions
8 Replies
189 Views
Back
Top Bottom