Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Poleni na majukumu wadau. Sijui kama watumiaji wa usafiri huu wa mabasi kama mnajisikia vibaya kama Mimi. Yaani sauti inayotokana na Dereva kupita speed ya 80 Kutoka kwenye king'amuz...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Mwenye kuhifahamu anuwan ya kigamboni ferry terminal????
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Rorya imetoa tangazo kwa wananchi wenye mashamba yao, mali za kudumu kuhakikisha kuwa mashamba hayo, mali hizo ziwe zimetolewa katika muda wa wiki moja kupisha kazi ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
angalieni yahoo hao walivyoumbua A drone captured these shocking photos of inequality in South Africa
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Waliambiwa na watekaji ''Tell us your PIN or you're dead'' Wachumba Chris Williams na Tiffany Zyp raia wa New Zealand walitekwa na watu 4 wakiwa kwenye taksi Dar es Salaam juma lililopita na...
6 Reactions
60 Replies
6K Views
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepokea meli mpya ya mafuta MT MKOMBOZI II yenye thamani ya shilingi bilioni 36 iliyotengenezwa Shanghai nchini China Akizungumza mara baada ya kuipokea meli...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimekusikia unasema eti utapita mtaa kwa mtaa kukagua mafundi wa mtaani kama wana vyet vya veta, Unakagua ili? Hivi wewe unavyojifikiria kati ya hao wanaotoka veta na wale wa mtaani wapi wanaujuzi...
10 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari zenu mabibi na mabwana? Mabaharia mpooooo? Well, straight to the point.. Hivi nyinyi ndugu zetu, hii taaruma yenu ya habari hua mnafundishwa kila kitu? Nyinyi ni wachumi wazuri. Nyinyi ni...
0 Reactions
3 Replies
555 Views
Wakuu hali zenu, This is serious. Nimeamua kuongeza jiko baada ya kuona idadi ya wanawake ni kubwa na wanaume wa shoka tupo wachache. Nimevutiwa na mtoto wa kinyamwezi na huenda akavalishwa jezi...
7 Reactions
66 Replies
10K Views
Kwa maono yangu ili tuwe waswahili hili kweli nchi hii inafaa kuitwa Swahili na tuwe watu tunaozungumza Kiswahili badala ya jina lililopo Tanzania/Tanganyika. Hii itasaidia mambo mengi sana...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
  • Redirect
Wosia wa marehemu Dk Reginald Mengi umekuwa gumzo kubwa! Wengi wanaona kama mwanadada Jacquiline Ntuyabaliwe almaarufu K-Lynn aliyekuwa mkewe mpaka mauti yanamfika ameula kwa kuchukua mali zote za...
0 Reactions
Replies
Views
Kuna basi moja linalofanya safari kati ya Dodoma na Mbeya, jina kama la kikabila hivi, hili basi linakimbia balaa. Hivi karibuni nilipanda toka Mbeya kuja Moro, baadhi ya abiria wakasema ni...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nahitaji kufanya utalii Mikoa kanda ya Ziwa na hasa Mwanza kwenye visiwa vya Saa Nane , Ukerewe, na kupacha chakula pale Malaika kwa wale wenyeji nifahamisheni kufika sehemu hizo
0 Reactions
20 Replies
7K Views
1.Ukienda kuchukua loss report Polis wanaelwkeza watu kwenye stationary wanazozijua wao...in reference kwa Arusha ukiienda Central wanakuambia uende stationary inayoitwa Mlimani|Binafsi nilijua ni...
2 Reactions
35 Replies
7K Views
Baada ya kutembea kwa clip ya mzee wa upako ikimuonesha kama mgonjwa wa sukari hatimae amekana na kusema yeye bado anadunda na mungu anazidi kumpandisha juu kama konki liquid
3 Reactions
38 Replies
8K Views
Mwanga usio wa kawaida umeonekana katika anga la kusini mwa tanzania mwenyewe nikiwa shuhuda ilianza kuhisiwa kama ni moto lakini kadri ya muda ulipozidi kusonga mwanga ulionekana kusogea...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Miaka ya nyuma nilikua nafanya kazi kampuni flani ambapo mimi nilikua na Nafasi ya uongozi. Nilikua na mahusiano na dada mmoja kiumri yeye alinizid almost 4 years yeye alikua kibarua cha ufagiaji...
9 Reactions
30 Replies
3K Views
Wageni wengi wamejipachika uraia.Uhamiaji inabidi waongeze umakini sana.
0 Reactions
4 Replies
928 Views
Regnald Mengi kateuliwa kuwa mlezi wa Taasisi fulani fulani ya wanyama ila hakuongea kwenye hiyo habari, zaidi ya mzee Lembeli ambaye ni kati ya waliomteua, ndo aliongea kwa marefu. Dah mzee sasa...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Back
Top Bottom