Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Leo tunakosa nguvu ya majadiliano ya kina yanayotawaliwa na nguvu ya hoja "critical thinking argumentation"mijadala yetu haikosi kushambuliana kwa maneno machafu na haitoi mahitimisho au mwanzo wa...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Majengo ya zamani ukiyaona leo huweza jiuliza mengi ni vipi/ mbinu gani walitumia kulijenga jengo hilo kwa jinsi ya uimara wake. Ukiambiwa ubora unaweza kushangaa jengo lina umri wa labda before...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna mazingira fulani ya Malezi ya kizungu yameingia kwenye maisha yetu, Hasa kwa kina Mama, (Tena hawa masingo maza ndio usiseme) unakuta Mama anaenda kuogelea na mtoto wake wa kiume akiwa na...
18 Reactions
52 Replies
5K Views
Wakati serikali hii ya Rais Magufuli inajisifia kununua ndege na white elephant projects nyingine, World Bank wametoa ushauri kuwa mkazo uwe kwenye elimu na afya ili kuboresha human resources...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wapi nitapata ng'ombe wa kienyeji na kwa bei gani hasa morogoro nataka nianze kufuga mkuranga
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Five Russian mercenaries are believed to have been killed alongside 20 Mozambique servicemen during an ambush in the southeastern African nation, the independent Carta de Moçambique news outlet...
0 Reactions
0 Replies
582 Views
Nina wazo. Kwani si inawezekana sehemu zenye changamoto za barabara kukajengwa barabara za zege? Yaani cement na mchanga zikachanganywa na kajengea mabarabara? Wakati mwingine hizi lami ni pesa...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Jamaa yangu alinipigia simu ijumaa.alinambia angependa Jumamosi niwe naye niende Mbezi nyumbani kwake kumtembelea.nliangalia kwenye diary yangu Jumamosi ilikuwepo nafasi huru.Nikamwambia haina...
55 Reactions
57 Replies
9K Views
Jaji Mkuu wa awamu ya tano, you will go down as the worst Chief Justice in history. Mwenzako IGP jeshi lake linadhalilishwa hadi na vijikatibu kata vya Ccm wanatoa amri kwa mapolisi. Huko...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, jamaa na marafiki katika familia hii pana ya JF Wadau, katika siku za hivi karibuni kumetokea mirathi mbili ambazo zimeleta funzo kubwa kwa jamii yetu, hasa yenye familia pana...
4 Reactions
56 Replies
7K Views
Poleni na majukumu waheshimiwa mawaziri. UTANGULIZI; Andiko hili linahusu malalamiko/kero za sisi wanakijiji wa MERERA kilichopo kata ya CHITA,tarafa ya MNGETA ,wilaya ya KILOMBERO mkoa wa...
0 Reactions
3 Replies
826 Views
Source: Vibaka wataka kujiorodhesha mikopo elimu ya juu kimtandao TAARIFA za kushangaza zimesikika hivi karibuni kuwa kulikuwa na majaribio 2700 ya kuingia kwa mabavu au mbinu tofauti katika...
0 Reactions
0 Replies
528 Views
Cheap politics ndiyo zimetufikisha hapa. Nadhani Rais siyo muumini wa kufuata sheria, kanuni na utaratibu. Mambo mengi yanaendeshwa kwa kauli kuliko taratibu tulizojiwekea wenyewe. Amekuwa...
9 Reactions
44 Replies
4K Views
Tangu mwaka huu nimejaribu kufanya research moja kubwa sana kwa hawa watoto wa kike katika Makanisa na kwenye mikutano mbalimbali kama kwenda Makanisa ya Romani (Makuburi, Kibangu, Msewe, Chuo...
5 Reactions
72 Replies
6K Views
Watusi ni moja kabila moja kubwa hapa nchini kwetu ambalo linapatikana haswa baadhi ya maeneo hapa nchini kama vile Tabora, Mpanda, Kigoma, Geita, Kagera, Karagwe, Bukoba na Kahama. Ukifika...
0 Reactions
76 Replies
17K Views
Nimezunguka karibu maduka manne asubuhi na jioni kutaka kununua Mkate unaotengenezwa na BFP Ltd bila mafanikio, jibu nililopata kutoka kwa muuza duka "Kiwanda kimeishiwa na Sukari" Hivi zile...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Wakuu nimepata safari ya ghafla hivyo natarajia kusafiri ndani ya siku tatu kwenda nje ya nchi. Mwenye kufahamu, je hizi hati za kusafiria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado ni ruksa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Simu yangu ina auto call record kina ninapopiga au kupigiwa. Hii call ya jana usiku saa tano na dakika 47 nimeisikiliza zaidi ya mara 3 na imenifikirisha nikaona ni bora niweze share na wadau...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Mimi kama mfanyakazi wa serikali naliandika hili nikiwa na huzuni kubwa. Hii ni kwa sababu posho za vikao na per diem zimekuwa sehem kuubwa sana za mapato yangu. Lakini recently, nineanza kufanya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom