Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

KWA KADRI YA WALIVYOZIDI KUWAZUIA KUSALI NDIVYO WALIVYOPAZA SAUTI ZAO! =================================== KWA KADRI YA WALIVYOZIDI KUWATESA NDIVYO WALIVYOZIDI KUONGEZEKA NA KUZIDI KUENEA...
1 Reactions
2 Replies
784 Views
Nipo Bank zaidi ya masaa matatu tunasubiri kuhudumiwa na teller mmoja tu madirisha Mengine yote hayana wahudumu, baada ya Malalamiko unaambiwa muone Meneja wa tawi meneja wa
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Mwanamke anayejulikana kwa jina la Lidya ambaye ni mke wa Afisa Usalama wilaya ya Hai anayefahamika kwa jina la Sule anatuhumiwa kushirikiana na shemeji yake kupora pikipiki yenye no MC 111 CBF...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Pongezi kwa Wilaya zote nchini ambazo zimekamilisha/zinaendelea kujenga vituo vipya vya afya kwa fedha za Serikali. Katika Wilaya ya Moshi Vijijini (Vunjo) kwa miaka mingi maeneo ya Kitowo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
I have deleted this post
5 Reactions
62 Replies
10K Views
DAR - ARUSHA = Basi la kawaida 22,700/=, Semi luxury bus 32,800/=, Luxury bus 36,000/= DAR - BABATI via ARUSHA = Basi la kawaida 29,000/=, Semi luxury bus 41,800/=, Luxury bus 45,900/= DAR -...
7 Reactions
115 Replies
91K Views
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Joachim Wangabo amewaagiza wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Rukwa kuhakikisha Mkuu wa Shule ya Sekondari Mzindakaya, Dastan Mlelwa anafikishwa Mahakamani baada...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Katika upigaji wa kura za maoni za kuchagua viongozi wa serekali za mitaa na wajumbe kupitia chama cha mapinduzi,wengi wa wapiga kura hawakuwa wanachama na wala hawakuwemo kwenye mareja ya...
0 Reactions
2 Replies
778 Views
Hii itasaidi hata zile dharau dharau za kurushiana vijembe na kuitana tumbili au profeser rubish maana kila mmoja atakuwa anamuheshimu mwenzake. Nimewasilisha
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nahitaji msaada ndugu zangu nimeolewa na mtu wa nje ya Tanzania (Indian) nimezaa nae watoto watatu (3). Tumeishi miaka kumi lakini ndoa yetu ina miaka mitano sasa. Nimejitahidi sana kumtafutia...
9 Reactions
125 Replies
11K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam imewahukumu wafanyakazi watatu wa Kampuni ya Simu za mkononi ya Tigo na wafanyabiashara wawili kutumikia kifungo cha nje cha miezi sita baada ya...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU imemfikisha Mahakamani mtumishi wa kituo cha mizani cha Mpemba kilichopo katika halmashauri ya mji wa Tunduma mkoani Songwe kwa kosa la kuomba na...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mpaka mda huu namaliza kuandika nimetoka kuweka mkeka wa elfu ishirini na mbili. Tangu nimeanza kucheza hii michezo nimeishakula elfu kumi na tatu tu lakini mimi nimeishacheza zaidi ya laki mbili...
7 Reactions
39 Replies
6K Views
Mimi yawezekana sio mchunguzi labda sababu natumia PC kuingia ila kiukweli sijaona tofauti ya JF ya wiki iliyopita na JF ya leo. labda sababu walisema mabadiliko haya si ya kuonekana kwa macho...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Upungufu wa watumishi wa sekta ya afya ndio changamoto kubwa, changamoto nyingine ni watumishi wachache waliopo kufanya kazi zaidi ya uwezo wao. Mfano nesi mmoja kuwahudumia wagonjwa hadi 40 au...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Katika miaka michache iliyopita, Urusi imerudi upya kama nguvu ya kutambuliwa katika bara la Afrika. Ushirikiano mwingi uliokuwepo katika enzi za uliokuwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi yawezekana sio mchunguzi labda sababu natumia pc kuingia ila ki ukweli sijaona tofauti ya JF ya wiki iliyopita na JF ya leo labda sababu walisema mabadiliko haya si ya kuonekana kwa...
1 Reactions
8 Replies
838 Views
Habarini wakuu, Nimeleta swala hili hapa jamvini kwa kua hapa ni jungu kuu na wajuzi wa masuala ya kisheria hawatakosekana Nina rafiki yangu anaishi mkoani Simiyu aliingia matatizoni kwa kuuziwa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa utaratibu ulivyo, king'amuzi kinatambulika kama kifaa cha mawasiliano kama ilivyo kwa simu na radio ya upepo na bidhaa hiyo ipo chini ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Kuna wakati...
1 Reactions
3 Replies
883 Views
Wadau wa JF. Nimepata taarifa ya mabadiliko makubwa kufuatia Uteuzi wa Professor Eliaman Sedoyeka kuongoza Chuo Cha Uhasibu Arusha hivi karibuni. Msomi huyo Kijana, Mchapakazi, Mzalendo na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom