Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Mimi ni mteja wa Vodacom nikiwa na line yao na pia line yao ya internet. Nimekuwa nikinunua kifurushi chao kila mwezi kwa gharama ya Tshs. 35,000 na kifurushi hiki kwa siku za nyuma nilikuwa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wadau, hivi nchi ya Gabon ikoje ukubwa wake na maendeleo yakoje hasa? Kwani nimeshtuka kua ukoo mmoja umetoa viongozi urais zaidi ya miaka 50 kulikoni huko?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Chanjo Takriban watu 140,000 hufariki duniani kutokana na ugonjwa wa surua au ukambi huku ulimwengu ukishuhudia ongezeko la maambukizi ya ugonjwa huo. Bara la Afrika linasadikiwa kuwa na idadi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Jeshi la Polisi limefanya kazi kubwa mno kupunguza hali ya uhalifu nchini kwa sehemu kubwa. Hali si mbaya kama ilivyokuwa huko nyuma. Jeshi letu limeimarisha doria na kuhimiza ulinzi...
0 Reactions
1 Replies
598 Views
Habari zenu wakuu. Poleni na hongereni kwa majukumu ya kulijenga Taifa. Natazamia kufika Canada tarehe 15 September mwaka huu. Ntafikia city ya London jimbo la Ontario. Mwaka jana nilipambana...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Je kwa usiku wa leo umeota nini
0 Reactions
18 Replies
1K Views
MTU mmoja aliyekuwa akifanya kibarua cha kulima Fadhili Rashidi (35), ameuawa kinyama kwa kukatwa na jembe shingoni. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana katika kitongoji cha Mgombezi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nashauri iandaliwe listi ya watumishi, hasa wa umma wakurugenzi wa halmashauri, ziara zipangwe, na muhusika abanwe kuelezea mambo mbalimbali, tunajua wana mambo mengi hawawezi kuyakariri yote...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello JF Kwanza najua distinction between police na wanajeshi.. Na hili ninalowaza labda halijawahi kutokea…... Ila nadhani kuna wanajeshi wengi sana ... ambao wangeweza kulinda mji..LOL...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Imekuwa ni sherehe kubwa kwenye imani hii ya freemasons baada ya kurejesha vitabu vilivyoibiwa wakati wa utawala wa Nazi na inakadiriwa kuwa zaidi ya miaka 80 iliyopita. Vitabu hivyo inasemekana...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Yaani wananinyima raha sana Asubuhi unaamka unadeki unarud jioni unakuta washajaza michanga ndani Wanatoka kwenye vimashimo vya ukutani na kwenye nyufa za sakafu wanakera sana Unaweza kukaa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Umoja wa Mataifa umesema mmoja kati ya watu 45 duniani ambao ni sawa na milioni 168, watahitaji msaada wa kibinadamu ifikapo mwaka 2020. Kwa mujibu wa ripoti ya umoja huo idadi ya watu...
1 Reactions
2 Replies
932 Views
Prelude: Hawa tulisoma wote miaka hiyo Ndanda Sekondari. Mpaka leo hakuna aliyejitokeza. It seems wote wameshatangulia mbele ya haki maana wangelijitokeza angalau mmoja. na waliendelea na masomo...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Tangu Scandinavia iondoke barabarani kwa kweli abiria wa njia hii wanasafirishwa kama wafungwa, hakuna utaratibu unaeleweka mkiwa safarini. Kwa mfano, haieleweki abiria wanakula hoteli gani...
38 Reactions
98 Replies
13K Views
Najiuliza tu na hii ni sehemu nyingi sana Duniani. Watanzania tukikutana sehemu yeyote tunaongelea siasa sana lakini cha ajabu ni vitu viwili muhimu kwenye maongezi mengi 1. Hatuongelea maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
522 Views
Watu watatu wa familia moja wamefukiwa na maromoko ya kifusi huko Mbagala Kimbangulile,mtu mmoja ajulikanae kwa jina la Musa amefariki dunia yeye na mkewe pamoja na mtoto wao mmoja kutokana na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ilikuwa ni siku ya aibu kubwa sana ambayo ni wachache wenye macho waliona jinsi Tanzania tulivyoaibika. Tanzania, ambayo ni hivi karibuni tu tumetoka katika uchaguzi unaonuka uvundo mkali, ambapo...
9 Reactions
32 Replies
4K Views
Kijiji cha Ndaga kata ya Ndanto wilayani Rungwe kipo chini ya ulinzi tangu Jumatatu. Polisi wa Mbeya na wa Tukuyu wametia kambi hapo baada ya wananchi wa Kijiji hicho kuwakataa wenyeviti wa...
19 Reactions
87 Replies
18K Views
Zaidi ya watu 23 wameripotiwa kufariki kutokana na maporomoko ya mlima yaliyoangukia nyumba za wakaazi katika kijiji cha Nyabundu tarafa ya mugina mkoani Cibitoke magharibi mwa Burundi. Taarifa...
0 Reactions
2 Replies
585 Views
Waziri wa ujenzi ,Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amepongeza uwekezaji mkubwa unaofanywa katika hoteli ya kifahari ya Ngurdoto iliyopo wilayani Arumeru Mkoani Arusha ambao...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom