Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Labda nianze kwa kutoa pole kwa wale wote walioguswa na vifo vya wasio na maarifa 20 huko Moshi. Najua ni majonzi lakini ni majonzi yenye funzo kwetu sote. Kipindi cha babu wa Loliondo, maelfu ya...
6 Reactions
29 Replies
4K Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Salaam, Hapo jana palisambaa mitandaoni taarifa ya Marekani kupitia waziri wao wa mambo ya, Pompeo kumzui Rc Makonda na mkewe kuingia katika taifa hilo, kutoka na kuwa na ushahidi wa vitendo...
0 Reactions
2 Replies
856 Views
'Title IX' ni sheria ya kuwalinda wanafunzi wa shule za primary na Sekondary pindi wapatapo mimba wakiwa shuleni huko Marekani. Kimsingi sheria hii inazuia unyanyapaa wa aina yeyote ile dhidi ya...
2 Reactions
2 Replies
802 Views
Habari wana JF, Kila nikijaribu kudadavua kauli ya Marekani zidi ya RC Makonda wana maana gani, jibu sipati. Mara najiuliza au kuuwa watu wasio na hatia ndiyo kuwanyima haki ya kuishi. Kama...
0 Reactions
6 Replies
716 Views
Yaani ubalozi wa marekani hapa nchi ningewapa masaa 3 tuu wawe wameshafungasha virago vyao hapa nchini.
9 Reactions
59 Replies
6K Views
Hakuna namna, kama wew unategemea internet katika kufanya kazi zako huna namna ya kuwakwepa voda, maan mitandao mingine hakuna kitu, slow sana. Airtel wana bando za maana sana ila internet ipo...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwa heshima na moyo wa masikitiko nawaombea faraja wafiwa wote katika Ibada ya Mwamposa! Ninaimani serikali yangu sikivu haitalifumbia hili macho ili kuweka standard katika namna ya ku deal na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ikiwa tuna Hospitali za mikoa na rufaa na magari ya hospital yapo kwanini Polisi wabebe maiti? Utakuta kuna matukio mengi tu yanatokea ikiwa mauaji, ajali au maiti zilizotelekezwa njiani na...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
  • Redirect
Ulimwengu huu wa teknolojia ambapo kuna mambo kama utandawazi na mengineyo unanishangaza sana. Ni wakati ambapo mtu anawe za kuanzisha habari kubwa na kuisambaza. Turudi kwenye hoja, Suala la RC...
1 Reactions
Replies
Views
1. Lete Tulivyokaa 2. Muongeze 5 huyo 3. Mbona bia haziendi? 4. Usiulize, wee Ongeza tu 5. Mbona jikoni hawatusikilizi?? 6. Aah,tunahudumiwa na dume? 7. Nimesema Mbuzi mzima!! 8. Wee hizi...
10 Reactions
37 Replies
4K Views
Bwana Yesu Asifiwe Watumishi wa MUNGU naombeni msaada wenu haraka sana nipo katika hali ngumu. Naomba mniombee nitoke kwa shetani. Nipo katika ufalme wa shetani naombeni watumishi wa MUNGU...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari! Nimeona watu wengi sana wanaumia au kuangaika pasipo sababu za msingi kwa kupenda miujiza au kujinasibu yeye ni muumini wa dhehebu au dini fulani. Nakuomba usome ujumbe huu; 1. Nyoka...
0 Reactions
2 Replies
760 Views
Kumbe Tanzania tulikuwa katika huu mchakato wa kupata Entry na parmenent uraia wa Marekani, lakini sikua nafahamu mwanzoni nilikua nahisi ni kwa nchi kama Somalia, Sudan, Syria, Eritrea n.k. Kwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimepata kusoma mahali fulani kwamba Yesu Kristo alifundisha neno la Mungu, aliponya wagonjwa na kufufua waliokufa, lakini sijawahi kusoma popote ambapo imeandikwa kwamba aliwahi kusababisha...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Ufilipino imeripoti kifo cha mtu mmoja kutokana na virusi vya corona, cha kwanza kilichokwisha thibitishwa kutokana na ugonjwa huo nje ya China.Takriban watu wawili walioondolewa na Ujerumani...
0 Reactions
1 Replies
807 Views
Tanzania ndio nchi pekee duniani yenye utajiri usiofikirika, Viongozi na wananchi tuweni makini na Mali tulizonazo. Kwasasa kuna makundi ya watu wanaokuja Tanzania kutoka ng'ambo kwa kujifanya...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Huyu anaemiliki ubunifu wa ishara ya vidole viwili juu Duniani ni nani wakuu? Huyu mtu atakua anajisifu sana kua misheni yake ishakamilika duniani, na ameshaikamata Dunia, kwani kila ukiangalia...
1 Reactions
37 Replies
7K Views
Nimepewa kipeperushi hapa Kuna ibada inatwa sijui ya kukanyaga mafuta.. Yani mguu unauma.. Kila mtu nenda kwa mwamposa.. Yani utapona kabisa.. Imani yako tu Mwingine tena kanijia na kipeperushi...
1 Reactions
40 Replies
9K Views
Kwa kuwa USA inajali sana mambo yanayoendelea Tanzania ni vyema ikatoa pole kwa Serikali ya Tanzania baada ya kutokea maafa ya watu wapatao 40 moja ikiwa imesababishwa na mvua kubwa na jingine...
1 Reactions
46 Replies
3K Views
Back
Top Bottom