Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

  • Redirect
Kwa Maoni Yangu [emoji116] Unaweza jazia na wewe Mdau 1. Kutenganisha na public transport. 2. Elimu ina thaman kama madini yawakilishwavyo katika bendera ya taifa. 3. Pengine ni rangi elekezi ya...
2 Reactions
Replies
Views
Habarini za jioni wanajamvi. Mimi siishi Dar Muda mfupi uliopita niliona ujumbe kwenye WhatsApp ya ndugu mmoja ikionyesha magari yakipita Kariakoo yakifukizia dawa ya kuua corona, sawasawa na...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habarini wapendwa, poleni kwa majukumu. Niingie moja kwa moja kwenye maudhui, kama inavyofahamika hivi sasa dunia inapita kwenye kipindi kigumu sana ambacho kwa hakika dunia inajitengenezea...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
  • Redirect
Habari za muamko Wana jamvi, Niende moja kwa moja kwenye mada husika, binafsi nimekuwa nikikereka sana na hili Jambo"mbunge wa viti maalumu"daaah, hata kutamka hilo nahisi kichefuchefu kwakweli...
0 Reactions
Replies
Views
Moshi. Malumbano ya kisheria yameibuka baina ya mawakili wa pande mbili kuhusu maombi ya kuzuia mazishi ya Veronica Mlang’a (105) ambaye alizikwa Jumamosi iliyopita. Wakili Julius Semali...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
1. Siku zote ana pesa za kununua vocha na kuweka vifurushi, ana pesa za kununua nguo lakini hana pesa za kununua kitabu kitakachomuongezea maarifa. 2. Siku zote ana muda wa kuchart watsapp...
20 Reactions
69 Replies
13K Views
Wanabodi wenzangu natumaini wazima. Leo nimesikiliza kipindi cha uandaaji wa wosia ambacho nkimesikika EA Radio. Katika mazungumzo hayo nimepata maswali ambayo yananitatiza sana...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
  • Redirect
Soko Maarufu la Samunge lililopo katika jijini la Arusha Limeungua vibaya na kuteketeza bidhaa mbalimbali za mamilioni ya fedha huku mfanyabiashara mmoja akifariki dunia kwa mshtuko baada ya...
5 Reactions
Replies
Views
Wakuu muda huu SOKO MAARUFU la SAMUNGE JIJINI hapa LINAUNGUA Moto. Serikali imeimarishwa ulinzi na fire wanajitahidi kuuzima Moto huu. Tuwaombee wafanyabiashara maana hasara inaweza kuwa kubwa...
1 Reactions
73 Replies
11K Views
  • Closed
Virusi vya #Covid_19 vinaendelea kusambaa katika maeneo mbalimbali duniani na vinaweza kufika katika eneo lolote. Fahamu yafuatayo ili kukabiliana na virusi hivyo iwapo vitagundulika katika Jamii...
14 Reactions
9 Replies
6K Views
Habari wanaJf. Katika harakati zangu za kupita mtandaoni nimeona wanasiasa wengi wakitoa maoni tufanye lockdown kama wanavyofanya wenzetu wa nje. Lockdown pekee tunayoweza kufanya ni ya mipaka...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Kwa kuwa tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu ni vyema watanzania hasa wanasiasa tuwambie ukweli kuwa HAMNA ADABU NA pengine hamjafundishwa adabu na wazazi wenu. Hivi inawezekanaje sisi wananchi...
1 Reactions
1 Replies
909 Views
Idadi ya maambukizi Uganda sasa ni 9, Kenya Ni 25, na Rwanda ni 36 mpaka sasa. Ukitazama majirani zetu hawa wamekuwa wakichukua hatua madhubuti kuliko sisi lakini maambukizi kwao.yamekuwa...
3 Reactions
76 Replies
7K Views
Habarini humu ndani. Iko hivi kuna dogo nilimpa kazi ya kuuza mahindi yangu yenye thamani ya milioni 2, ilikua mwaka 2016, alifanikiwa kuyauza nakutokomea, nilikata RB Polisi, juzi ijumaa ndio...
8 Reactions
68 Replies
10K Views
Wadau... Huwa nikipita mitaani hapa Tanzania huwa hasikia watu wengi wakiisifia Sana inchi ya Rwanda na rais wao mpendwa kagame.. Inafikia hatua Hadi wanatamani Sana kuwa wanyarwanda kulingana na...
3 Reactions
112 Replies
15K Views
Msanii wa Tanzania Hussein Machozi anayeishi Italia kwa sasa ambayo ndio nchi iliyoathirika zaidi na Corona ameelezea maisha ya huko ambapo amedai wamefungiwa ndani kwa mwezi mmoja sasa na maisha...
22 Reactions
188 Replies
25K Views
Leo ni Novemba Mosi , 2019. Ni siku 7 zimepita toka 'kamshahara' kutoka ( Octoba 24 ,2019)... Kamshahara kenye ngeu za Loan Board , Kodi , Pensheni , NHIF na mkopo wako wa benki ama Platinum...
22 Reactions
79 Replies
7K Views
Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Metl hivi Ni kwamba hufahamu Hali za watumishi wako hasa watanzania au n kwamba umeamua kufumbia macho unyonyaji unaofanywa kwao kwao,?? Inasikitisha Sana kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Redirect
Nyinyi vijana mnaokaa kwa mashemeji au wazazi wakati mshafikia umri wa kupambana fateni huu ushauri. 1. Usiwe mvivu hata kama huna ajira au mishe. Jishughulishe na shughuli yoyote hapo kwenu. 2...
5 Reactions
Replies
Views
Kila kitu unachokiona iwe ni taasisi mbalimbali, sayansi, teknolojia, gunduzi na vumbuzi mbalimbali kama ndege, magari, meli, simu, mavazi, fedha nk nk katika dunia hii kwanza kilikuwa wazo la mtu...
8 Reactions
8 Replies
892 Views
Back
Top Bottom