Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Ciaaao? Niende moja kwa moja kwenye mada harakaharaka. Nimeona waziri wa nchi akizungumzia nyumba za ibada.Yuko sahihi sana mana kuna wakati pia nawaza kama hawa ndugu zetu walokole. Mara nyingi...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimekua nikiangalia vyombo vya habari vya hapa nchini, karibu vyote vina mapungufu makubwa ya kusoma mahitaji ya soko au wateja wao>. Waulizeni DSTV, STAR TIMES, AZAM, CONTINENTAL Nk toka CORONA...
2 Reactions
5 Replies
823 Views
Ushauri wa Wataalamu wa Afya unaeleza kuwa sio kila aina ya Barakoa (Mask) inaweza kukulinda ili usipate maambukizi ya virusi vya Corona ila Barakoa pekee inayoweza kukulinda ni ya aina ya N95...
3 Reactions
17 Replies
5K Views
Uganda has on Sunday April 19 discharged six more patients including a baby who have recovered from COVID-19 after treatment, bringing the count in the country to 28. Mr. Emmanuel Ainebyoona, the...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Watu Wa dawasco tunaomba mtuwekee mfumo ambao utaruhusu MTU kujua kiasi kichodaiwa mita husika katika simu kwa kuingiza mita namba, Nyumba za Kupanga WAPangaji tunaumizwa Sent using Jamii Forums...
1 Reactions
4 Replies
932 Views
Mimi nawashauri Watanzania kulinda familia zao bila kusubiri matamko ya serikali. Kila siku habari zinabadilika hivyo nashauri familia binafsi angalieni wazee wetu na wasitembee ovyo ovyo sehemu...
8 Reactions
20 Replies
3K Views
Napenda kujua majina ya maofisa (Commisioned officers) 10(kumi) wa mwanzo walioanzisha JWTZ kama wanafahamika na vyeo vyao na mahali walipo either wapo hai au wamefariki. Natanguliza shukrani .
0 Reactions
3 Replies
3K Views
WAZAZI na walezi wa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari,wametahadharishwa kuwa makini na watoto wao hasa kike kipindi hiki cha likizo ya dharura ya janga la ugonjwa corona, kwani inaweza...
2 Reactions
7 Replies
24K Views
  • Redirect
Habari watanzania wenzangu tuendelee kumuomga mungu atuepushie mbali janga hili la corona....... . . Mimi kama Mtanzania naomba niishauri serikali yangu pendwa nikiwa na nia njema kabisa ya...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Asitoke wala asiingie mtu ndani ya jiji hili kwa muda wa siku 15, kwa kufanya hivi tutajiepusha na madhara makubwa sana yanayoweza kuwakumba mababu na mabibi zetu huko mikoani. Magari ya mizigo tu...
0 Reactions
Replies
Views
Baada ya kupambana na maisha hapa Songea Mimi na rafiki yangu tukaamua twende Msumbiji tukachimbe madini pengine tutafanikiwa lakini doh Nakumbuka ilikuwa mwezi wa sita 2017 Mimi na rafiki yangu...
24 Reactions
51 Replies
10K Views
  • Redirect
Leo tayari tuna cases 250+ za wanaogua Covid-19 ni ongezeko la cases zaidi ya 100 ndani siku 4, Wizara ya Afya, wataalam wa Afya na Viongozi mbalimbali wamekuwa wakitukumbusha namna bora ya...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Tunawaomba viongozi wetu mtusikie. Japo nyie ndiyo kama wazazi wetu kwa sasa katika kupambana na hili Janga la Covid 19, mwajua zaidi yetu na kinachotufaa. Natoa wito na ombi mfunge Mipaka ya...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Huu ni wito mahususi kwa NHIF. Tunaona dunia nzima serikali na taasisi binafsi zinatenga ruzuku kupambana na corona katika kila hali. Sisi wanachama wenu ambao tunachangia kwenye mishahara na...
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Pamoja kwamba maelezo ya jinsi ya kuvaa barakoa yametolewa na yanaendelea kutolewa, nashangaa na kusikitika ninapoona mtu ameivua kwenye mdomo na pua na kufunika kidevu. Kinachosikitisha zaidi...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
chukua tahadhari corona ipo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Leo nimeshuhudia roughly 30% ya watu Kariakoo wakiwa hawajavaa kabisa barakoa, yaani wanaamini kwamba 70% ya watu ambao wao wamevaa barakoa ni mtaahira au wendawazimi of some sort. Hivi RC...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Leo siku ya nne hakuna update kuhusu maambukizi, waliopona na vifo. Hatujawahi kujua wanapima wangapi kwa siku. Ummy Mwalimu kaandimika. Majaliwa naye kimya. Jiwe yupo Chato akifanya social...
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Jamani hizi Barakoa tunazovaa mbona vituko? Barakoa zina maua mauaaa! Nimemuangalia mkuu wa wilaya ya Sijui Kigamboni hapa Channel 10 kavaa barakoa la kitenge! Are we real serious? Watu...
0 Reactions
Replies
Views
Wazo Binafsi: Najua hili wazo langu hakuna atakayelifuata ila nitakuwa nimetoa ya moyoni. Ukiangalia kwa kawaida hakuna mpango mahsusi wa kukabiliana na gonjwa la C -19. Taarifa hazitolewi...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom