Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Huwa nashangaa mtu anapata pesa anabaki na mawazo mengi kichwani yaani in short anaitesa pesa yake anaipa changamoto pesa yake kazi yake inakuwa ni kutatua tu matatizo mara ya wagonjwa mara ya...
5 Reactions
12 Replies
208 Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda ameongozana na Wajumbe wa Kamati ya Maafa ya UWT Taifa na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru...
0 Reactions
1 Replies
68 Views
https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ== ========================== Itafika mahala tutagundu kwamba haya mafuriko yanayotokea huko mbugani maji yake yana thamani...
5 Reactions
135 Replies
12K Views
Habari wadau? Kwa muda mrefu sana kuna jambo huwa limekuwa likijitokeza mara kwa mara kwangu, kwamba mara nyingi nikiwa naangalia majira kwenye saa ya mkononi au simu nakuta masaa na dakika...
3 Reactions
40 Replies
690 Views
Kuna mambo matatu ambayo huwa moja linaweza simama kupinga lingine. Mwenye uelewa anaweza kuchambua haya mambo matatu lipi nikuu kuliko mengine. Lipi bora kuliko mengine na lipi linapaswa watu...
0 Reactions
4 Replies
107 Views
Wakuu za jumapili Nimepata wazo la kununua dikoda ya Azam Tv iliyosajiliwa Kenya na kurudi nayo Tanzania nije kuitumia. Je nitaitumia kama kawaida au mpaka nije kuibadilisha? Lengo ni kupata...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Kwa mbali Sana nimeona waliotunukiwa nishani leo na Rais Samia Ila ajabu hata hakuna mpizani yoyote aliyepewa tuzo hiyo Ina maan wapinzani hawna mchango wwote ktk kufikiwa kwa muungano huu wa...
1 Reactions
8 Replies
181 Views
Najua Wengi Mnatamani Kujua Mkataba wa Chiffu Mangungo na Kar Peters ulikuaje, Ambapo MKATABA huo una fananishwa na Mkataba wa Dipii Wedii (DP-WORLD) [emoji23][emoji119] Haya Twende Wote ili...
11 Reactions
53 Replies
3K Views
Wasalaam wakuu, mpaka muda huu nina huzuni ya nafsi baada ya kuiona maiti ya bajaji iliyogongwa na roli la cement mzinga, njia ile wallah finyu barabara ni mbovu, vyombo vinavyopita pale ni vyenye...
5 Reactions
15 Replies
443 Views
Wizara ya Elimu imezipongeza shule zilizochukua hatua ya kuwapumzisha wanafunzi wake kwa muda kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha huku ikisema inaendelea kuwasiliana na Mamlaka ya Hali...
0 Reactions
3 Replies
198 Views
Naomba kueleweshwa, kinachosababisha Tanganyika na Zanzibar ziitwe nchi zilizoungana ni kipi? Nauliza haya kwa sababu 1.) Kila nchi ina Rais wake 2.) Kila nchi ina katiba yake 3.) Kila nchi...
11 Reactions
44 Replies
1K Views
Karibuni kwenye mada. Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga. Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji...
33 Reactions
19K Replies
717K Views
Kwakua sasa umeme umekua mwingi kuliko matumizi, sasa upungue bei, watu wanunue majiko ya umeme, tuwe tunatumia umeme na gas, maana kwanza sasa mkaa umekua kama madawa ya kulevya. Pia Soma -...
6 Reactions
15 Replies
262 Views
WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema takwimu zinaonesha kuwa wanywaji wa pombe wameongezeka nchini hali inayofanya kuanza uhamasishaji wa kupunguza unywaji wa pombe. Takwimu alizotoa zinaonesha...
0 Reactions
34 Replies
579 Views
Nimepitia report ya Mamlaka ya mawasiliano ya past three months(iliyotoka mwezi huu) report Nimeona kitu cha ajabu sana , kila report hizi za TCRA zikitoka , mikoa miwili ya Rukwa na Morogoro...
0 Reactions
1 Replies
96 Views
Habari wana JF wenzangu, ni kwa zaidi ya mwaka sasa nimekuwa nikifika kwenye Hospitali ya Bugando kwa ajili ya huduma za matibabu lakini nimebaini changamoto ambayo mimi kama mtu mzima siwezi...
2 Reactions
3 Replies
445 Views
1. Wako tayari kukukandamiza hata km huna kosa , hawawezi kukutetea kwa bosi/ mkuu, they are always on management side. 2. Wanapenda kujua habari za wenzao ila zakwao hawataki zijukikane 3...
33 Reactions
128 Replies
10K Views
My Take Kama wanaume tumefikia mahala Hatuwezi kujitetea basi jamii imeharibika. Kiufupi inasikitisha sana --- Katika kipindi ambacho dunia inapambana kukabiliana na vitendo vya ukatili dhidi ya...
1 Reactions
1 Replies
57 Views
Nasikia hali huko ni ya Kutia Huruma kabisa na sijui kama kile Chumba cha Demu wangu Baa Medi Jambo Lee kimepona.
3 Reactions
4 Replies
219 Views
Kumekuwa na sintofahamu kati ya Majiji haya mawaili yanatotikisa Tanzania ukiachilia Dar. Majiji haya yamezua gumzo miongoni mwa watu kwa kujaribu kuyashindanisha lakini pamoja na kuyashindanisha...
4 Reactions
7K Replies
190K Views
Back
Top Bottom