Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Serikali imesema masaa mawili ya ziada hayana tija tena baada ya utafiti. Mbona baadhi ya shule bado wanachangisha? Nawasilisha tafadhari ☝️
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Salaam WanaJukwaa. Kama wewe ni Mwanafunzi au umepata nafasi ya Kuingia Chuo, bila shaka msamiati wa neno "Kimbwete au Vimbwete" haukupigi Chenga. Naam, usishangae sana na kudhani...
12 Reactions
42 Replies
16K Views
Mkazi wa Mkako, Ruvuma (Mlinzi wa Shule) Beatus Mwingira amefariki Dunia baada ya kujipiga risasi chini ya kidevu kwa bunduki. Uchunguzi wa awali unaonesha chanzo ni msongo wa mawazo baada ya...
1 Reactions
92 Replies
8K Views
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kupitia kampuni ya udalali ya LJ International Ltd imetangaza kuzipiga mnada mali za Mbunge wa Geita Mjini, Joseph Kasheku maarufu kama Musukuma. Mali zilizotajwa...
17 Reactions
139 Replies
55K Views
  • Redirect
Nyota huwakilisha nguvu ya Taifa hivyo kuwa na nyota mbili ktk bendera ni kuwakilisha nguvu ya nchi Bara na visiwani.Pia tutatoa ajira kwa wabunifu kushauri ziwekwe pembe ipi,na ziwe za rangi ipi...
0 Reactions
Replies
Views
Heshima kwenu wakuu. Kuna hiki kinywaji kinaitwa Al Qaswus nimeona watu wengi wakinywa lakini nashindwa kuelewa kina faida gani mwilini mpaka kipendwe na watu kiasi hiki. Ningependa pia kujua...
2 Reactions
59 Replies
17K Views
Habari wanajamvi, Kama kichwa cha hapari hapo juu kinavyosema, ninatafuta kujua historia ya Ukoo wa Mndolwa. Ukoo huu una patikana Tanga maeneo ya Korogwe. Ninacho tafuta mimi nikujua family...
2 Reactions
42 Replies
8K Views
Mimi binafsi nishaibiwa mara kadhaa ila njia ya polisi haikuwahi nisaidia kabisa. Sasa kuna rafiki yangu aliibiwa pikpik akaenda kwa mtaalamu, pikpik ikaganda huko Tanga na iliibiwa Dar, akaifata...
2 Reactions
52 Replies
7K Views
Swali kubwa ninaulizwa na wazazi/walezi kila siku juu ya matatizo ya watoto kuchelewa kuongea ni: Nani anaweza kunisaidia kulimaliza tatizo hili la kuchelewa kuongea kwa mtoto wangu? Binafsi huwa...
2 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari za weekend wakuu?? Nahitaji ushauri kutoka kwa wajuzi wa biashara ya usafirishaji. Kuna gari mbili za mizogo zote zina uwezo wa kubeba mizigo hadi tani 6 zina box body zote zimepata kazi...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Hawa jamaa zetu akili zao wanazijua wenyewe[emoji23][emoji23] yaani wameona mashimo yamekaa kwa muda mrefu bila mamlaka husika za huko kwao kuchukua hatua, wakaona ni bora wapande...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Ni mambo ya kushangaza kuona watu na akili na busara zetu bado tunashikilia misemo isiyokuwa na maana bali kupotosha jamii, eti utasikia ikisemwa; "Mpe mchawi alee mwanao" au utasikia; "Mnyonge...
5 Reactions
39 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu,poleni kwa makujumu, Leo nimekuja hapa kuwapa Taarifa,Kazi ya Police ni pamoja ma kulinda usalama wa Raia, Nk. Katika hali isiyo ya kawaida kuna MAASIKARI police wanao tembea...
0 Reactions
3 Replies
953 Views
Mi kwa mtazamo wangu sheria nyingi za TCRA huwa zinawekwa kwa ajili ya kusumbua raia wema. Kama ilivyokuwa katika usajili wa alama za vidole walioteseka ni raia wema tu wahalifu walikaa kimya na...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Corona ni ugonjwa hatari unaouwa na pia kuambukiza kwa haraka sana. Study nyingi kuhusu huu ugonjwa zimetupa ufahamu wa kujua unaambukizwa vipi na kwa kiasi kikubwa kufahamu namna ya kuweza...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Hivi hawa wadudu bado wapo dunia hii au kuna mambwiga wanadakwa na kuingizwa cha kike...? My name is Sergeant Susan Baines. I am united state of American soldier working as United Nations...
13 Reactions
88 Replies
7K Views
Je, kinachomfanya mtu afaulu? Nikua na akili au kufikiri? Mimi naona ni kufikiri, maana kila mtu ana akili lakini uwezo wa fikra ni tofauti. Na hata kama ukisoma halafu huwezi kufikiri lazima...
0 Reactions
4 Replies
543 Views
  • Redirect
Habarini! Sina elimu kabisa ya masuala ya uchumi, ni mwendo wa kusikia na kushabikia tu. taarifa zinasema tumeingia uchumi wa kati jana, benki ya dunia (WB) nasikia ndio wenye mamlaka ya kufanya...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Hiki ni kipimo kinachotumika kuonesha mapato yote ya Nchi yanayotokana na pato la mtu mmojammoja na biashara pamoja na yale yanayotokana na vyanzo vya nje. Ni kipimo kinachoendelea sana na Benki...
1 Reactions
Replies
Views
Habari, Ofisi za bodi Kahawa ziko kurasini maeneo gani.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom