Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Habari.! Binafsi naamini kuna muda uongo unaruhiwa inategemea nikatika hali gani. Sasa kuna binti kisa chake kilitatanisha na kusababisha ugumu wa kumuamini. Kisa chenyewe ni hiki. Kuna bint...
0 Reactions
3 Replies
800 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Mahandaki manne ya reli ya kisasa – SGR Kilosa mkoani Morogoro, Juni 29, 2020. Mahandaki 4...
5 Reactions
0 Replies
2K Views
Mama yangu angefikiria nini?" "Katika mbio, (angalia picha), mwanariadha Abel Mutai anayewakilisha Kenya, alikuwa miguu michache kukata utepe kumaliza mbio AKIWA mshindi wa kwanza, lakini gafla...
9 Reactions
9 Replies
860 Views
Jamani kusema ukweli Polisi nawaogopa na kuwaheshimu, ingawa polisi wetu wanasifika kwa kufuata sheria lakini kauoga huwa kapo. Yaani polisi wenyewe kwa wenyewe huogopana kushikana, mfano polisi...
1 Reactions
4 Replies
856 Views
Zabuni ya ujenzi wa Stendi ya Mabasi ya kisasa na soko la Kimataifa vimeshatangazwa kuwakaribisha wakandarasi kuwasilisha maombi ya ujenzi. Hivi ndivyo Dodoma inavyokwenda kuwa ndani ya muda...
11 Reactions
27 Replies
16K Views
  • Redirect
Jionee mwenyewe katika hii video jinsi Magufuli anavyoongea kwa mihemko bila kujianda mpaka anajikuta anajiaibisha.
2 Reactions
Replies
Views
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dkt. Maulid Suleimani Madeni anawasalimu na Kwa sasa yupo Jijini Dar es Salaam kuendelea na majukumu mengine ya kifamilia na ujenzi wa Taifa.
5 Reactions
21 Replies
6K Views
Leo nilitakiwa nipate huduma katika Tawi hilo kwa kulipia mapato ya TRA lakini nilipofika pale sikuamini macho yangu. Tawi lile lina madirisha matano ya kutolea huduma lakini ni dirisha moja tu...
1 Reactions
1 Replies
799 Views
Jamani,sisi wenzenu tuko mikoani na huenda kuja huko Dar inaweza kuwa hata 2022. Sasa nasi tunapenda tujue ujenzi wa flyover ya Ubungo umefikia wapi. Tumeni picha na sisi tuwe na updates tukija...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu hii Nchi ni kama umefungulia brek kila kona ya Nchi ni maendeleo tu Hili soko jipya na la kisasa likikamilika linaweza funika hata Kariakoo Wakazi wa Ilala wamemwagia pongezi Rais Magufuli...
13 Reactions
52 Replies
8K Views
Baada ya kufanya biashara ya duka la vyakula kwa muda mrefu nimepata wazo la kufanya biashara ya madini,nataka nianze na madini ya thamani ndogo na kati. Nakumbuka marehemu babu yangu alikuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa upande wng siku nlipojua kusoma na kuandika ilikua ni furaha sana. Nakumbuka nlikua nnasoma kila bango la Barabarani pia nlikua nnatembea na vipande vya Magazeti mfukoni. Baada ya kujua...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimekuwa nafuatilia huu utaratibu wa wanafunzi kurudi shuleni leo. Serikali imejaribu sana kutoa miongozo jinsi wanafunzi watapokelewa na kusisitiza wanafunzi wasirudishwe. Nimekuwa leo...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Siku ya nne leo tangu vituo vya kuuzia mafuta ya vyombo vya usafiri kufungwa mafuta yamekuwa adimu kulingana na mahitaji. Vituo hivyo vilifungwa kukiwa na tetesi za uchakachuaji wa vipimo. Adha...
0 Reactions
3 Replies
629 Views
Habari wakuuu Nlikua naomba kujua anything kuhusiana na kozi ya cadeth(officer) kule monduli interms of jinsi gani kujiunga wanakàa muda gani wakiwa kambini and anything about cadeth so kwa...
0 Reactions
117 Replies
14K Views
Leo wadogo zetu wameanza rasmi mtihani wao wa kidato cha Sita, nawatakia kila la kheri... Baadhi yetu humu tumepitia huko, je ni nini unakikumbuka siku kama hii? Mimi nakumbuka Tulipata Gaka...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Joining instruction ina malipo ya ada laki 4 na inataribu zote za shule kama za binafsi,ina mambo mengi kila kitu ni pesa. Lakini kwenye mkutano wa wazazi tumeambiwa ni shule ya Serikali pia ni...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kuna vyeti vimeokotwa kwa anayemfahamu ndugu FRANK. S. KAVISHE. Shule ya msingi kasoma shule ya Mtendeni iliyoko mkoani Tabora. Elimu ya sekondari kasoma shule ya Uyui iliyoko Tabora. Chuo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
TRA mnatukwamisha kutoa mizigo bandarini, tangu juzi hakuna system benki tumeshindwa lipa mpaka jana ndo imekubali, sasa leo hatujapata hata CRO malipo hayaonekani na tunataka kutoa mizigo...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Nipo hapa nimeshajaribu kupiga huduma kwa Wateja lakini ninachokutana nacho, mtandao unasumbua Ata anayeongea humsikii, unaskiliza mikoromo tu mpaka masikio yanauma. Internet ndo kabisa Kwenye...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom