Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

  • Sticky
Ndugu wana JamiiForums, Tunashukuru kwa maoni yenu na Ushauri mnaotupa kila siku. Kupitia thread hii, tutapokea maoni, Ushauri, na malalamiko yenu. Tunawahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki...
44 Reactions
253 Replies
73K Views
  • Sticky
Heri ya Pasaka wana JamiiForums, Mimi ni Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum. Ninayo furaha kujiunga nanyi katika mtandao huu. Nimekuwepo...
106 Reactions
191 Replies
21K Views
  • Sticky
Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu. Tunawaomba mzingatie...
86 Reactions
14K Replies
1M Views
  • Sticky
JamiiCheck ni Moja kati ya Majukwaa yanayopatikana ndani ya tovuti ya JamiiForums.com. Jukwaa hili limewekwa mahsusi kwa ajili ya kufanya uhakiki, kutafuta uthibitisho au uhalisia wa habari...
6 Reactions
4 Replies
6K Views
  • Sticky
DART Tumeanzisha ukurasa huu rasmi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kwa lengo la kupata maoni, ushauri , mrejesho na hata malalamiko yanayohusu huduma zetu. Aidha tunawahakikishia...
25 Reactions
488 Replies
36K Views
Huenda unaishi ndani ya Bara la Afrika, lakini kuna baadhi ya mambo hujawahi kuyasikia kabisa. Basi leo utakuwa pamoja nami katika muendelezo wa makala haya ya ๐‹๐ข๐Ÿ๐š๐ก๐š๐ฆ๐ฎ ๐›๐š๐ซ๐š ๐ฅ๐š ๐€๐Ÿ๐ซ๐ข๐ค๐š, ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ฆ๐›๐จ ๐ฒ๐š...
0 Reactions
5 Replies
653 Views
Hebu Jifunze kumuheshimu kila mmoja pasipo Kujali umri au Cheo alichonacho kwasababu Unaweza ukahisi umefanikiwa Sana kwenye maisha yako lakini Kumbe bado mno nakwambia hivyo kwasababu hauwezi...
6 Reactions
5 Replies
691 Views
  • Redirect
๐€๐ฃ๐ข๐ซ๐š ๐Ÿ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ๐š ๐ฎ๐จ๐ง๐ž ๐ก๐š๐๐ข ๐Œ๐ฉ๐ฐ๐š๐ฒ๐ฎ๐ง๐ ๐ฎ ๐ฌ๐ก๐ฎ๐ฅ๐ž ๐ฒ๐š ๐’๐ž๐ค๐จ๐ง๐๐š๐ซ๐ข ๐๐€๐Œ๐๐€ 12 ๐ฆ๐ค๐จ๐š ๐ฐ๐š ๐ƒ๐จ๐๐จ๐ฆ๐š ๐‡๐€๐๐Ž
1 Reactions
Replies
Views
Matukio ni mengi sana ya wanaume kubaka au ngono isiyo salama kwa siku za hivi karibuni. Je Hizi hisia za kupiga haya matukio zina mwarobaini wake? Unaweza kukubali kwa maoni yako au ukikataa kwa...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
  • Redirect
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ“Salamu za Pongezi "Menejimenti na watumishi wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya habari tunakupa hongera kwa kuteuliwa kuwa katibu Mkuu Kiongozi" - Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya...
0 Reactions
Replies
Views
Kwa mujibu wa wikipedia Black eyed Children (Or Black-eyed kids) are a contemporary legend of supposed paranormal creatures that resemble children between the ages of 6 and 16, (1) with pale...
3 Reactions
3 Replies
853 Views
  • Redirect
๐Ÿ“Œ Ujumbe Kutoka TCRA๐Ÿ“Œ Watoa huduma huwasiliana na wateja wao kupitia namba 100 TU! #Epuka Matapeli! @TCRA_Tz
1 Reactions
Replies
Views
Roho inaniuma sana, juzi nilichukua statement nikauta wamekata 11,000 kama government levy Baadaye nikapita JF nikakuta taarifa kua kuna tozo ya miamala ya kibenki tangu july Jana, nime withdraw...
22 Reactions
65 Replies
5K Views
MVUA kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali imeharibu zaidi ya ekari 300 za mazao ya pamba, mahindi, mtama na choroko katika Kijiji cha Kilalo, Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu. Mvua hiyo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari watu wangu wa nguvu baada ya kupigwa ban ya nguvu kabisa sasa nmeludi tena hapa na niwatoe hofu mm ni mzima kabisa naendelea na majukumu yangu kama kawaida natumai mu wazima wa afya Sasa...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Kwa Kiswahili lugha yetu adhimu tuite ukanda wa raha. Ukanda wa Raha Ni nini? Ni eneo la hisia linalokupa faraja. Tuseme, huna kazi, unaishi kwa baba, na anakupa pocket money. Hapo uko rahani...
6 Reactions
10 Replies
3K Views
Serikali ya Tanzania imeunga mkono Bunge la Umma la China kupitisha uamuzi wa kutunga sheria ya usalama wa taifa kwenye mkoa wa Hongkong. Msemaji wa serikali ya Tanzania Bw. Hassan Abbas amesema...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Closed
Kuanzia saa 9 alasiri leo Novemba 10, 2018 (kwa majira ya Afrika Mashariki), JF inaweza kutoweka hewani. Kuna mashambulizi kadhaa yatafanywa kwa mfulululizo ili kuiangusha na kuiondoa hewani...
132 Reactions
343 Replies
20K Views
ASKOFU wa Jimbo Katoliki la Mbinga, John Ndimbo amewaonya wabadhirifu wa fedha za miradi ya umma, kuacha uovu huo, kwani unaliangamiza taifa na kuumiza wananchi wa maeneo zilikoelekezwa kutumika...
0 Reactions
1 Replies
539 Views
Kigogo wa China amesema hawana lengo na hawataki kuwa fanya watumwa tena. Kwa maana wa Africa wengi mmeingiwa hofu ya โ€œkwanini wanatupa misaada bila masharti magumu kama wengine?โ€ Misaada mingi...
0 Reactions
1 Replies
397 Views
Kigogo wa China amesema hawana lengo na hawataki kuwa fanya watumwa tena. Kwa maana wa Africa wengi mmeingiwa hofu ya โ€œkwanini wanatupa misaada bila masharti magumu kama wengine?โ€ Misaada mingi...
0 Reactions
0 Replies
388 Views
Back
Top Bottom