Wanajamvi
Uchaguzi wa US umekamilika jana baada ya D.J Trump kuwa Rais wa 45
Leo ilikuwa siku ya kwanza kamili ya Trump kama Rais wa US
Uzi utakuwa utaangalia serikali mpya na mwelekeo wa siasa...
Wakati mwingine tunafikiri hasi kuhusu sisi wenyewe. Hii ni hatari sana kwetu. Tukifikiri hasi kuhusu sisi wenyewe tunazuia ukuaji wetu na tunajidumaza. Pengine tunapaswa kukaa na kujitafakari...
Kama kuna kitu cha wazi ambacho ni funzo kubwa kwetu Watanzania katika miaka minne hii ya Awamu ya Tano na "Utawala" (maksudi kabisa badala ya kutumia uongozi) wa Magufuli ni UTHUBUTU!
Uthubutu...
Mwenye busara hutumia hekima kwanza kabla ya nguvu. Faida ya kutumia hekima kabla ya nguvu uwapa ufahamu wale wanaotakiwa nguvu itumike kwao ili wajielewe.
Na kujielewa ni jambo ambalo taifa...
Hata mbwa anaweza kufundishwa na kufanya baadhi ya mambo, binadamu anapaswa kuwa juu ya kufundishwa.
ANAWAJIBIKA kwa kutumia akili yake mwenyewe kuzalisha maarifa sio kupokea tu maarifa...
Uwepo wa polisi, mahakama, jeshi na majela, ni ushahidi kwamba ubaya upo. Lakini je ubaya unatoka wapi? Kwa shetani?
Ukweli ni kwamba ubaya tumeutengeneza wenyewe na tunauwezo wa kuuondoa.
Au...
Kichwa cha habari hiki sicho nilichokiposti. Pana mtu amefanya stealth edit. Whoever did that: It is unethical. Umenilisha maneno nisiyoyaandika. Ukiedit, jipe credit. Au ukiona unayo mawazo ya...
Baada ya vita ya Korea, Korea kaskazini ikaanza kuhangaika kujenga uchumi wake. Ikagundua kuwa ili iwe na uchumi imara inahitaji viwanda. Ikagundua pia, kuwa viwanda haviwezekani bila kuwa na...
UCHAGUZI US
Ni miezi miwili imebaki kwa Taifa kubwa la Marekani kufanya uchaguzi.
Wiki mbili zilizopoita Democrats na Republican vilifanya mikutano ya kuwathibitisha wagombea.
Mwaka huu kutokana...
Wale wanaopenda ukweli hawaangalii nani kauongea, ana umaarufu kiasi gani, ana cheo kiasi gani au ana kiasi gani katika akaunti yake benki. Ukweli ni ukweli hata ukiongewa na mtu mwenye viraka...
Kiwanda cha Bodaboda
Ikiwa kichwa cha habari kimekufanya uwaze mitambo ya kutengeneza pikipiki, karibu kwenye mada.
Mada hii si kuhusu mitambo ya kutengeza pikipiki (factory). Mada hii inahusu...
Umewahi kufikiri inawezekanaje nchi kubwa kama Tanzania kuwe na upungufu wa ajira tena sio tu kwenye sekta binafsi bali hali ni mbaya zaidi Serikalini .
Kumekuwa na mazoea kuifanya hali hii kuwa...
Nashukuru nilipata bahati ya kutembelea baadhi ya nchi zilizoendelea na zile ambazo bado. Safari hizo zilinipa fursa ya kutafuta jibu la maswali yaliyosumbua kwa miaka mingi:
1. Mataifa...
Wanajamvi kwa ujumla,
Tarehe 23 June 2003 ni siku ya tukio muhimu katika bara Ulaya. Britain itapiga kura ya maoni (referendum) kuamua ibaki Ulaya (EU) au itajiondoa. Hii si mara ya kwanza...
Habarini wakuu.
Iko hivi, utafiti wa dawa hadi ikaingia sokoni ni gharama kubwa sana na una mlolongo mrefu balaa.
Hugharimu mabilioni ya dola na makumi ya miaka.
Makampuni mengi kabla ya kufanya...
I rarely contribute on threads whose prime reason is discussing someone, but this got me! This is purely flawed phylosophy and logic. Who said that Nyerere was not predictable on matters of...
Tanzania ni nchi inayofaa sana kwa kilimo tuna ardhi nzuri na kubwa sana, pia tuna maji mengi sana. Ni moja ya nchi zenye maji mengi duniani lakini ajabu yetu kilimo chetu ni cha kimaskini kupita...
Wakuu Great thinkers, napenda mijadala ya kwenye jukwaa hili maana wachangiaji na wakosoaji wanaotumia hoja na busara kuchangia, kukosoa, kushauri na kurekebisha. Watunga sera makini wanafuatilia...
Habari Wana JF,
Nimesukumwa Kuweka mawazo Yangu na kukusanya muongozo wa kumbukumbu ili iwe rahisi kupima ushindi haswa kwa watakaochaguliwa kutuwakilisha Bungeni. Bunge limekuwa likilaumiwa kuwa...
Sehemu ya I
MABADILIKO YA MWENENDO WA SIASA ZA NCHI
CCM WATUA, CDM/UKAWA WABEBA. LOWASSA 'FACTOR'
Mchakato wa wagombea Urais ndani ya CCM umebadili mwenendo wa siasa nchini
Kukatwa kwa jina la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.