Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us

JF Prefixes:

Habari wa ndugu. Ni swala ambalo liko wazi kuwa nchi ya Rwanda imeendelea kwa vipimo vingi ukilinganisha na mkoa wa Kagera. Hizi sehemu mbili zimepakana na hali ya hewa na mambo mengine wanafanana...
19 Reactions
5 Replies
6K Views
Watanzania wanaoishi katika nyumba za hali hii ni wengi sana. Nyumba za hali hii huchangia afya mbovu. Tunapohamasisha BIMA za afya tufahamu pia tatizo linaanzia hapa.
6 Reactions
3 Replies
3K Views
Kiasili hakuna kitu kinachoitwa umaskini. Haukuwepo dunia ilipoumbwa. Umaskini ni zao la akili za binadamu. Ni zao la gunduzi za binadamu. Kwenye asili hakuna umaskini. Ni sawa sawa na kusema...
15 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari wandugu. Naomba kuuliza ni vitu gani au sifa gani zinatakiwa kuwepo ili watu muweze kushirikiana vizuri? Inaweza kuwa ushirikiano ndani ya kikundi, mtu mmoja na mwingine , kikundi na...
7 Reactions
0 Replies
2K Views
Ninaomba tujadili hii mada, maana halisi ya utajiri ni nini? Pesa na mali vinaweza kukupa furaha duniani? Kuna raha gani ya kuwa tajiri ilhali umezungukwa na masikini katika nchi, mji mtaa hata...
19 Reactions
6 Replies
10K Views
Kumekua na ongezeko kubwa la vyuo vya elimu ya juu, tofauti na idadi tuliyokuwa nayo mpaka miaka ya 90. Licha ya elimu nje ya bara la Afrika, kuna waliobahatika kupata elimu ya juu katika nchi...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Maendeleo yote ya binadamu yametokana na gunduzi alizofanya, kwahiyo tunapozungumzia maendeleo ya binadamu hatuwezi kuepuka kuongelea gunduzi alizofanya na ukuaji wa kiakili wa jamii husika. Huu...
14 Reactions
13 Replies
7K Views
Work hard to achieve it in a natural, automatic and instinctive way. Start by cultivating these eight habits by Jeff Haden, a ghostwriter, speaker and an influencer 1. They turn to praise. It's...
14 Reactions
0 Replies
3K Views
Haijalishi ukubwa wa harusi uliyofanya, kitu cha muhimu ni unachokwenda kukijenga baada ya harusi, baada ya watu wote kuondoka na kuwaacha peke yenu mwende nyumbani, mkaanzishe maisha yenu. hiko...
18 Reactions
0 Replies
2K Views
Kinachototuua Afrika ni uvivu WA FIKRA sio Uvivu wa mwili. Tatizo letu lipo hapa. Ni wepesi sana wa kuongea kuliko kufikiri . Tunachukulia kila kitu kirahisi rahisi na mara nyingi hatuna maono...
18 Reactions
1 Replies
3K Views
Udaktari wetu, uhandisi wetu, uanasheria wetu hauwezi kutuokoa hata kama ni bora kiasi gani katika field zetu dhidi ya maangamizi kama hatuna busara na kama hatutatumia utaalamu wetu kwa faida ya...
29 Reactions
2 Replies
6K Views
Msikilize Nicolo machiaveli anavyosema ndani ya The Prince. SURA YA 17 Kuhusu ukatili, rehema na iwapo ni bora kupendwa kuliko kuogopwa Kwa kuangalia sifa nilizozitaja hapo juu, nasisitiza...
5 Reactions
1 Replies
3K Views
Possible Antidote for the V-Serum and the Current Spike Protein Contagion Dr. Judy Mikovits (1 min. MP4 is attached) has revealed that the medical establishment has known all along about the...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Tokea enzi za utumwa mpaka sasa bado tuna changamoto nyingi sana tunakabiliana nazo kama taifa na kama watu weusi. Sababu ambazo zilitupelekea sisi kutaliwa nyingi bado tunazo., tunaishi na...
4 Reactions
0 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT. Kuna siku moja nilimsikia Mwalimu Nyerere kwenye hotuba akisema. "Serikali za mitaa ni serikali kamili, serikali kuu haiwezi kuziongezea madaraka wala kuzipunguzia."...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tanzania imebarikiwa kila kitu kinachofaa kwa kilimo cha umwagiliaji. Tuna ardhi ya kutosha kabisa. Nchi yetu ina eneo kubwa la kilomita za mraba 900,000+ . Wanasema tuna eneo la hekari milioni...
11 Reactions
5 Replies
4K Views
Mjadala wetu utakuwa na sehemu SITA kama ifuatavyo: Kufuatia utangulizi, sehemu ya kwanza itaangalia kwa kifupi historia ya nafasi ya Makamu wa Rais katika jamhuri ya muungano wa Tanzania. Katika...
9 Reactions
40 Replies
10K Views
Habari Great Thinkers .... Katika jamii zetu za kiafrika kumekuwa na mambo(desturi) kadha wa kadha ambazo kwa namna moja au nyingine zimekuwa zikitudumaza ama kutuchelewesha kwenye maendeleo...
4 Reactions
3 Replies
3K Views
History's 10 greatest entrepreneurs This list of truly entrepreneurs were able to spot markets and opportunities and trends that no one else sees. Their visions, when realized, have the power to...
4 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom