Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us

JF Prefixes:

Maendeleo ya binadamu yamepiga hatua sana pale binadamu walipoamua kuishi pamoja. Tatizo moja la kimsingi kabisa lililopelekea binadamu kuwa na serikali ni changamoto ambazo binadamu alikuwa...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa sie tuishio mitaani huku Tanzania,hakika kuelekea uchaguzi wa 2015 naona kuna joto ambalo halipaswi kupuuzwa ambalo liko kwenye kada ya wenye ufahamu juu ya nani aweza kuwa RAIS WA TANZANIA...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
SEHEMU YA KWANZA Mabadiliko ya uongozi ndani ya CCM yaliyotokea hivi karibuni yameleta matumaini kwa baadhi ya watanzania kwamba – ujio wa Mangula utarudisha imani na uhai wa CCM kwa umma...
8 Reactions
71 Replies
11K Views
Katika taifa letu la Tanzania rushwa imeenea katika maeneo mengi hususani kwenye utoaji huduma kwa wananchi (service delivery). Kila taifa hutumia njia tofauti kukabiliana na rushwa, baadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika kipindi cha hivi karibuni, vyama vya upinzani nchini Tanzania vimekuja na mbinu mpya za kisiasa ambazo zinahusisha Political Movements (vuguvugu la kisiasa); Vyama hivi ni viwili &#8211...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Hili ni jambo ambalo hunisumbua sana akilini mwangu, na ninaoma tulijadili kwa usikivu bila mipasho na ushabiki, ikiwezekana. Unaweza kuingia ofisini kwa mtu ukamkuta anaongea mambo ya kiumbea na...
13 Reactions
65 Replies
10K Views
SEHEMU YA KWANZA: UTANGULIZI Ingawa huu ni mdahalo, kuna mambo kadhaa muhimu ambayo yanahitaji kuwekwa sawa ili kuepuka upotoshwaji wa hoja. Hivyo nitaomba uvumilivu kidogo. Taifa lipo...
29 Reactions
185 Replies
19K Views
Viongozi vijana nchini Tanzania wamegawanyika katika makundi mawili. (1) Real Leaders and (2) Leaders Wannabees. Aina hizo mbili za viongozi wanaweza kutofautsiha kama ifuatavyo: Viongozi wa...
1 Reactions
0 Replies
6K Views
The Beautiful Young African Woman And The Old White Lover-A Sickening Trend? Have you taken a quiet stroll through the priced restaurants in town on a good day or night? Especially the Accramall...
7 Reactions
21 Replies
16K Views
Kwa mzalendo yeyote yule hamu yake kubwa ni kuona Taifa lake likipiga hatua. Mabadiliko haya sio mabadiliko ya mali tu bali total transformation of human being. Binadamu akibadilika kiakili na...
7 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwanza ningependa kumshukuru mungu muumba kunipa nafasi hii ya kuandika waraka huu kwenu ndugu zangu. Namuomba anielekeze fikra nilizonazo zitoke kama ninavyokusudia kutoka kichwani kwangu na...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu - Heshima Mbele Naomba kuuliza ni zipi tofauti za madaraka na mamlaka kati ya Meya, Mkuu wa Wilaya na Mbunge. Na mipaka yao ni ipi. Pia kati yao ni nani anaongoza vitengo na taasisi...
0 Reactions
6 Replies
11K Views
Kama ni ya Kisiasa je siasa gani tunataka? Na je siasa hiyo ndiyo itakayoweza kubadili hali duni ya wengi na kuleta hayo yanayodaiwa kuwa ni maisha bora? Na hayo masha bora ni yapi? Ni ya kisasa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Napendekeza nadharia tete (Hypotheses) zifuatazo, lengo kuu ikiwa ni kutupa sote nafasi ya kuzipima nadharia hizi tete, kwa kutumia uzoefu wetu na uelewa wetu juu ya utamaduni wa CCM, hasa kwa...
19 Reactions
84 Replies
16K Views
Somo la hisabati ni somo ambalo naweza kusema limekuwa ni daraja la mafanikio ya binaadamu kitaaluma (ambayo mpaka sasa duniani kote ndio kitu kinachochukuliwa kama mlango wa mafanikio ya kimaisha...
4 Reactions
99 Replies
21K Views
Lifuatalo ni zoezi la utabiri juu ya mshindi Urais uchaguzi Mkuu 2015 baina ya CCM na Chadema; Lakini kabla hatujaenda kwenye hatua nyingine yoyote, ningependa kuwasilisha takwimu za idadi ya...
19 Reactions
115 Replies
18K Views
Obama kafanikiwa kutetea kiti chake cha urais. Uchaguzi umeenda haraka na kwa uwazi na matokeo yametoka bila kigugumizi. Mshindani wake kakubali matokeo na mwisho wa siku maisha yanaendelea...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Na. Martin M. Malima Tangazo la Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe la kugombea Urais kama atapitishwa na Chama chake cha Chadema linaripotiwa na vyombo vya habari kuzua tafrani...
18 Reactions
115 Replies
13K Views
Wakuu inaweza kuwa ni rahisi sana kunyosheana vidole na kuumizana kutokana na hali inayoendelea sasa hapa Tanzania. Naona ni busara tukijadili THEORIES zinazoweza kutueleza ni kwanini hili...
18 Reactions
17 Replies
3K Views
Kwanza niseme RUSHWA kama neno lilivyo ni KOSA pale linapotawala jamii fulani Lakini kwa mantiki ya KUOMBA na KUPOKEA SIO kosa hata kama ulichoomba ni rushwa, kifo au Sumu! Bado wahusika...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom