Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Mpaka sasa Js saoura anaongoza goli mo bila dhidi ya al ahly. Dakika ya 75. Matokeo yakiisha hivi simba atakuwa anaongoza kundi hata kabla mech ya pili hajacheza Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mshambuliaji wa timu ya soka ya Yanga Heritier Makambo ametoweka katika klabu hiyo bila uongozi kuwa na taarifa yeyote. Kwa mujibu wa taarifa inaelezwa kuwa Makambo ametoweka na mabegi yake...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Katika filamu chache za kijasusi nilizotazama nimeona mfululizo wa filamu ya Jason Bourne ni bora zaidi, wadau wa movie za kijasusi kuna movie kali yenye mfanano na huu mfululizo? Sent using...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
ni aina ipi ambayo unahisi wasanii tuimbe na inapendwa,itaendelea kupendwa daima kati ya hizi!? GOSPAL au R&B,HIPHOP,ROCK,INSPIRATION,DRUM, LEGAE na freva ya kibongo!? na tuimbe kuhusu nini...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
wakuu,,,,waheshimiwa na wadau heshima kwenu,,nipo hapa kuwaambia ukweri kuwa mimi ni msanii wa mziki wa kizazi kipya(bongo freva) kwa yeyote yule anayeweza kunisurpot kwa namna yoyote ile ikiwemo...
0 Reactions
6 Replies
906 Views
Kwa wale mnaopenda Hip Hop hii album ni MUST HAVE... The King is rightfully back on his throne according to Soundscan. T.I.'s Paper Trail wheeled in close to 570,000 copies it's first week...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuna habali nimekutana leo katika .kuperooz .hizi ndio bar zinazoongoza kuwa na wateja wengi vijana na wazee kuliko zingine..... 1.Corner bar...hii bar ipo sinza ndiyo bar inayoongoza kuwa na...
2 Reactions
248 Replies
65K Views
Nimezitafuta bila mafanikio hivyo nimekuja JF kwa wakongwe.Naomba msaada wa hizi nyimbo Old is good all the time
1 Reactions
26 Replies
12K Views
Baba wa Msanii wa Bongo Fleva Ali Kiba, Mzee Saleh Kiba amefariki dunia alfajiri ya leo katika Hospitali ya Taifa Ya Muhimbili alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu. Taarifa zaidi za mipango ya...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Assume we una kete hizo nyekundu halafu zamu yako kucheza je unafanyaje kukwepa kupigwa supa? huu mchezo ni british hauna kula kwa nyuma
2 Reactions
30 Replies
5K Views
unajua maana ya mwanamke kiswaswadu? fuatilia filamu hii kali mwaka 2019 bofya link hapa
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Japo wamefungwa ila wanasonga mbele..tofauti na atletico wao wameaga mashindano Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
0 Replies
370 Views
BENDI ya muziki wa dansi ya Extra Bongo ‘Next Level Wazee wa Kizigo’, imeibomoa bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ kwa kuwachukua wanamuziki Kalala Junior na Khalid Chuma ‘Chokoraa’...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za Jioni wadau, Leo nawaletea mjadala unaendelea katika vyombo vya habari nchini Kenya. Yapata wiki sasa kumekuwepo na mjadala motomoto huko Kenya, wakijadili kutokucheza miziki ya wageni...
6 Reactions
60 Replies
9K Views
INASISIMUA NA KUTISHA ILA INAFUNDISHA Katika kijiji cha Matare wilaya ya Mugumu Serengeti, bwana Wambura alikamatwa kwa kesi ya kusingiziwa na kuhukumiwa kwenda jela miaka mitatu. Huku nyuma...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Napenda video zake zinafurahisha. Ni actual original videos Ila maneno sio original yaliyozungumzwa kwenye tukio. ni sauti na maneno ambayo yanapandikizwa kwa kuangalia matendo na midomo ya...
0 Reactions
4 Replies
877 Views
Mwanzoni nilivyoisikiliza, nikajua anamdiss video queen, Tunda. Baada ya kuusikiliza sana, nimekuja kuhisi ni kama anamdiss young dee hasa katika verse ya mwisho. Je wewe mdau, umeuelwaje wimbo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamani naomba kuuliza huku jukwaani, nina ps 4 yangu haijahackiwa, nataka kununua game online, lakini nchi ya Tanzania haiko kwenye listi. naomba wajuzi wa mambo haya wanisaidie, ukunipa idea mm...
0 Reactions
4 Replies
674 Views
Habari za siku nyingi wakuu wangu...Heri ya mwaka mpya.... Baada ya kipindi kirefu cha kutokuwa hewani leo nimeona tuanze awamu nyingine ya 'Enzi Hizo' ambapo tunapata fursa ya kuzikumbuka nyimbo...
0 Reactions
81 Replies
32K Views
Wakuu, heshima zenu...Naulizia chimbo ninaloweza kupata vinywaji na nyama choma DODOMA. Chimbo lilipo mitaa ya kati mjini au na maeno ya karibu. Lililochangamka. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
50 Replies
8K Views
Back
Top Bottom