Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

  • Sticky
Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea. Tuambiane; - Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako? - Ni ya aina gani...
49 Reactions
22K Replies
2M Views
  • Sticky
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies. Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
68 Reactions
23K Replies
2M Views
  • Sticky
Salama wakuu?,ni jumapili nyingine tulivu.... Leo naomba tujikumbushe bendi zetu zilizotamba sana miaka ya 80 na 90,bendi ambazo ama zimekufa ama zinaendelea kusuasua na ambazo ukisikiliza muziki...
41 Reactions
2K Replies
677K Views
  • Sticky
- Seven Pounds Official Movie Trailer HD
25 Reactions
5K Replies
514K Views
  • Sticky
Hii thread ni kwa wale wapenzi wote wa filamu hapa tutakuwa tunajadiliana kuhusiana na filamu tulizoziona, tunazotaka kuziona. Karibuni. Tuanze na Hangover 2. Kwa mujibu wa Rotten Tomatoes naona...
16 Reactions
2K Replies
239K Views
  • Sticky
YouTube - Kool & The Gang - Let's Go Dancing (Ooh, La, La, La) YouTube - Kool & The Gang - Get Down On It YouTube - Kool & The Gang - Celebration
45 Reactions
683 Replies
171K Views
  • Sticky
Album bora ya hiphop ya muda wote ni ipi? Msanii bora wa hiphop wa muda wote ni nani? Wimbo bora wa hiphop wa muda wote? History ya hiphop Records za hiphop Tafsri ya hiphop na utamaduni wa...
7 Reactions
261 Replies
85K Views
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
78 Reactions
13K Replies
3M Views
SEASON 1 SEHEMU YA KWANZA MTUNZI : PATRICK.CK Ni saa sita za usiku sasa bado jaji Elibariki chukuswa yuko sebuleni akiendelea kupitia kitabu chake cha sheria .Katika meza ndogo kulikuwa na vitabu...
83 Reactions
3K Replies
2M Views
  • Redirect
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
65 Reactions
Replies
Views
NILIEMDHANIA NI KAHABA KUMBE BIKRA MTUNZI:SINGANOJR . AGE:18+ NB:SIMULIZI HII NI YA KUTUNGA PDF KUTOKA SEHEMU YA KWANZA MPAKA YA 390 IPIO NITAFUTE WATSAPP 0687151346 PROLOGUE../DIBAJI...
31 Reactions
4K Replies
2M Views
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane!. Kwanza kabisa nipende kuwashukuru wote ambao mmeendelea kuwa na mimi bega kwa bega tangia mwanzo wakati naanza kusimulia visa vya maisha yangu ambayo...
123 Reactions
7K Replies
1M Views
kaeni mkao wa kula story nyingine toka kwa mtunzi yule yule aliyetunga peniela now kaja na kitu kiitwacho queen monica. kutana na kijana AUSTIN JANUARY mtanashati na jasusi hatari anafanya mambo...
51 Reactions
4K Replies
1M Views
Uzi huu utakuwa mahususi kwa ajili ya kutuma simulizi hizi mbili kwa wapenzi wasomaji wangu. Simulizi hizo nazo ni: ANGA LA WASHENZI na JOANA ANAONA KITU USIKU mpaka vikomo vyake. Karibu tufurahie.
29 Reactions
4K Replies
1M Views
SOMA EPISODE 2, POST # 282 SOMA EPISODE 3, POST # 655 SOMA EPISODE 4, POST # 852 SOMA EPISODE 5, POST # 1115 SOMA EPISODE 6, POST # 1656 SOMA EPISODE 7, POST # 1773 SOMA EPISODE 8, POST...
114 Reactions
5K Replies
784K Views
Habarini za kutwa wanajamvi ,bila shaka wote mko bìèn!. Kwanza kabisa nianze kwa kusema ninayo mikasa miwili ambayo nimewahi kuishuhudia kwa macho yangu na kuifanya kwa mikono yangu...
56 Reactions
3K Replies
744K Views
Kwetu sisi wafuatiliaji wa tamthilia hii maarufu sana, naamini toka Enzi hizo ikianza wengi tumekua tukiingia na kutoka lakini mwisho wa siku bado tunapata ule utamu wake. Basi tutumieni hili...
33 Reactions
9K Replies
705K Views
Jirani Yangu wa kule Goba Hakuwa Mtu wa Kawaida. Sasa ni miaka miwili imepita, nimehamia na ninaishi kwengine, lakini yale ya kule Goba nayakumbuka vema kana kwamba yametokea jana yake, na huenda...
132 Reactions
3K Replies
686K Views
SAA mbili kasorobo, Mustafa baada ya kufika ofisini, kabla ya kuanza kazi haja ilimshika na kuelekea msalani. Baada ya kumaliza kujisaidia alikwenda kwenye sinki la kusafishia mikono ili...
66 Reactions
546 Replies
665K Views
Download nyimbo mpya za bongo bure na pia upate habari nyingine zihusuzo muzic. bofya.
3 Reactions
12 Replies
599K Views
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane. Miaka ya fulani baada ya kumaliza shule ya sekondari,niliamua kwenda kumsalimia Ba'mdogo aliyekuwa mkuu wa shule fulani ya sekondari hapo kwenye hicho...
56 Reactions
2K Replies
529K Views
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane! Kwenye haya maisha kuna wakati huwa ninakaa chini na kusema "Kama sikufa kipindi kile,basi siwezi kufa mpaka Mungu atakaporuhusu" Nadhani wengi...
107 Reactions
2K Replies
525K Views
1. NEW VIDEO | Nay Wa Mitego - Wapo | DOWNLOAD Mp4 Song 2. NEW AUDIO | Mesen Selekta - Chata | DOWNLOAD Mp3 Song 3. NEW VIDEO | Mesen Selekta - Chata | DOWNLOAD Mp4 Song 4.AUDIO | Stamina Ft...
0 Reactions
6 Replies
521K Views
Habari wadau, kila kukicha wasanii wa bongo fleva wanaongezeka lakini hakuna cha maana wanachoimba zaidi ya kukopiana nyimbo, hebu tujikumbushe nyimbo za Bongo Fleva zilizotamba kipindi hiko. Mimi...
7 Reactions
672 Replies
461K Views
Mtunzi.Patrick CK Season 1.SIRI Simu.0764294499 Ndege ya shirika la ndege la Tanzania ilitua katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam ikitokea nchini jamhuri ya...
13 Reactions
1K Replies
449K Views
Katika karne za enzi zile, zile zamani kabisa, kitu cha thamani kilikuwa ni aidha dhahabu ama silva. Kila himaya ilijivuna kwa wingi wa dhahabu zao, utawala imara na shibe za watu. Si zaidi ya...
46 Reactions
2K Replies
442K Views
Hii simulizi, kwa namna moja au nyingine, ina link na simulizi yangu ya kwanza kabisa hapa jukwaani Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha... Maswali mengi ambayo hamkuyapatia majibu...
88 Reactions
3K Replies
422K Views
Back
Top Bottom